Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Mzee wa IT Tanesco kibarua kishaota siyo.... laaah pole sana na karibu mtaani, huku sheikh ni kula wa urefu wa kamba yako.
 
Amesimamishwa kazi Kwa Siku 10. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wanaingiza siasa hapo.. issue za ma data center kama serikali haikuwapa budget nzuri ya ki teknolojia na backup center zingine ndogo ndogo huo ni utafuta kiki..
 
Kwanini wasielezee ndani ya masaa matatu? Siku kumi ni kuwapa mwanya kupanga mengi ya kudanganya tu..
TEHAMA ni papo papo.. hakuna ya masiku


Poleni msio na umeme majumbani kwenu.

Kazi iendelee..
Hujui kitu kinacho itwa data center. usifikiri una click tu next
 
Najaribu kuwaza hivi JIWE/CHUMA angekuwepo hayo mambo ya LUKU yangetokea kweli?au kuna pahala watu munkari ya kuchapa kazi imeisha πŸ˜€
 
Tangu tupate Uhuru sijawahi kusikia mtumishi anasimamishwa kaxi kwa siku 10. Sheria unasemaje? Medard kalemani na doto biteko mtamsumbua huyu mama sana.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimecheka kwa sauti hata mm hilo lakusimamishwa siku kumi limenishangaza.....tatizo nchi ina unafiki mwingi unaopelekea kuoneana aibu kama unasimamisha mtu simamisha bora hata sijui wangetumia lugha gani ila kusimamisha kwa siku 10 hicho kitu hakipo.
 
Aliyemsimamisha kaxi kwa siku 10 ana PhD
 
Duh inamaana hakuna kununua umeme kwa siku nyingine 10 na zaidi au sio?πŸ€£πŸ’
 
Wakisimamishwa nani atafanya kazi wanayopaswa kuifanya kipindi hiki Cha Dharura??
Tunawasihi muwe wavumilivu wakati mabosi wa tehama wakibadilishana mafaili ya tatizo lenyewe, shida ya matatizo ya tehama yanaweza kutatuliwa ndani ya dakika 10 au siku 10 au miezi 10, mkituharakisha ndio tunaweza kuharibu zaidi πŸ€£πŸ’πŸ€Έ
 
Pimeni tu kina cha maji...huko Tanesco mikoani na wilayani si kwa foleni hizo..mnaturudisha kwenye foleni ndefu tena..lol
 
Nimepita buguruni sheli kuna foleni kubwa,sikujua ni ya nini baada ya kuingia humu ndipo nikajua ni ya LUKU.

Bibi mkubwa naona ana endelea kucheka kima atayavuna mabua.Bandarini foleni,Tanesco system zimezingua ,sijui na kesho kitatokea nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…