Kwanza kabisa karibu jijini mkuu..!!! Tatizo lako kitaalam lina julikana kama "constipation" a condtion in which stool(choo)are more difficults for the muscles of the rectum to push out of the body..!! Tatizo la constipation husababishwa na ulaji wa vyakula visivyo na kamba kamba(diet low in fiber) kutofanya physical activity hii mara nyingi huwatokea wazee na waja wazito,medication kama antacids ambazo huwa zme contain alluminium&Ca, sababu nyingine ni life changes kutoka mazingira fulani adi mengine nayo huweza sababisha constipation japo kwa passentage ndogo,GI tract problems kama adhesion,tumors.
Treatment za constipation ni pamoja na change in eating fiet and nutrition(vyakula vyenye kamba kamba kama ndizi mbivu,nyama, juice na unywaji mwingi wa maji,)medication&surgery
Diagnosais za constipation ni pamoja na blood test kwani yawezekana kukawa na undelying lower typhod ambayo huweza sababisha ufwonzaji wa maji kwenye utumbo kuwa mdogo naku sababisha constipation,x-ray.pia constipation huweza sababisha HEMORRHOIDS( ku bleed internal ambayo huchangia kinyesi kuwa na damu damu.. Hambapo mgonjwa hujihisi kama ana amoeba kumbe ni constipation) pia constipation huweza kuleta RECTAL PROLAPASE hambayo husababisha mucas(makamasi)leak.
Natumaini mpaka hapo mkuu umesha jitambua una tatizo gani na utaweza li control vp.