Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
naona watu wametoka nje ya mada. hatuwezi kusaidiana namna hii. anyway hii inatokana na ulaji wa mtu. kama hali matunda kama mapapai,machungwa ambayo husaidia choo kuwa laini.
pili kama system ya chakula inashindwa kudigest kama ilinavyotakiwa. inaotokana na kula then kunywa maji ya kunywa hapohapo. au kula matunda baada ya kula.
cha mwisho ni kama sumu zimejaa mwilini husababisha system ya taka utumbo mpana kutokufanya kazi ifuatavyo. sumu mwilini zinaingia kwa njia ama ya vyakula kupitia vyakula vilivyowekwa mbolea za kemikali. au vipodozi vya akina mama. sabuni za kuoga,mafuta ya kula na kupaka. but asilimia kubwa ni what we take inn.
sasa tunafanyaje?
ukipata good antidioxide ambayo itaondoa sumu,mabaki ya vyakula,mgando wa mafuta katika tumbo. na kuruusu utumbo kijisafisha vizur pamoja na kufuata maelekezo jinsi tunavyokula hapo juu. basi asilimia kubwa ya hii tatizo huondoka. binafsi nilikuwa na tatizo hili sasa limeisha.
nilitumia juice ya asili. iitwayo kitaalamu barberdensis miller- inayotokana na spieces za mmea wa alovera. kama unahitaji 0789896920-uyo ndio nanunua kwake.
nawakilisha.
Kojoa ulale mkuuu tayar washamsaidia,ww umefanya marudio