Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

angalia diet yake...maulezi mengi ,na mawanga mengi si mazuri kwa mtoto kwa upande wa choo
 
Pamoja na ushauri wa mapapai, maji n.k, usisahau kumpa dawa za minyoo anglau kila baada ya miezi 6.
 
habari wakuu...
napata shida wakati wa kujisaidia haja kubwa choo kinakua kigumu sana,
naomba msaada kwa hiyo ishu nile vyakula vya aina gani au niepuke vyakula vya aina gani
siku za karibuni nimeamza kula ugali wa dona lakini naona kama haisaidii sana.
be blessed guys...
 
kwa siku 2 mfululizo kula tu matunda na juisi za matunda (juisi ya matunda uliyoitengeneza mwenyewe siyo ya dukani, kwenye hizo juisi isikosekane juisi ya ukwaju), ukisikia njaa zaidi pika tu mboga majani mchanganyiko na uzile kama sahani nzima hivi bila ugali (mboga majani pekee).

Halafu baada ya hizo siku 2 kupita njoo niambie unavyoendelea.
 
Kunywa maji ya uvuguvigu glass kubwa robo saa kabla hujaamka na kisha rudi kitandani. husaidia kuyeyusha "mav.i" yanayokuwa yanaganda kwenye utumbo mpana. utapata hamu ya kuny.wa baada ya muda mfupi
 
habari wakuu...
napata shida wakati wa kujisaidia haja kubwa choo kinakua kigumu sana,
naomba msaada kwa hiyo ishu nile vyakula vya aina gani au niepuke vyakula vya aina gani
siku za karibuni nimeamza kula ugali wa dona lakini naona kama haisaidii sana.
be blessed guys...

Natunda na mboga za majani kwa wingi. Papai, ndizi mbivu na embe linamaliza kabisa hilo tatizo. Nyama choma/ndizi roast/ugali ni hatari
 
Nenda pharmacy ulizia dawa moja inaitwa "contispation relief" imechorwa picha ya mtu anajikakamua unakunywa asubuhi mill 15 na jioni lazima tatizo litaisha NB: Penda kutumia matunda Pala chichi, papa nk pamoja na mboga mboga.
 
habari wakuu...
napata shida wakati wa kujisaidia haja kubwa choo kinakua kigumu sana,
naomba msaada kwa hiyo ishu nile vyakula vya aina gani au niepuke vyakula vya aina gani
siku za karibuni nimeamza kula ugali wa dona lakini naona kama haisaidii sana.
be blessed guys...

Castro oil
onyo:kunywa ukiwa nyumbani la sivyo utaubuka mtaani!
 
thanks you guys nitazingatia ushauri wenu..
 
HAhahaha!

Mkuu hii nitamtegea Boss wangu siku moja.

hahahahahahahahah MKUU akikubaini huna kaz! haya mafuta hayana mchezo ukiyanywa tu dakika 5 nyingi unakimbilia chooni yaani 'choo' chote kinatolewa unakuwa 'mpya'!
 
kwa siku 2 mfululizo kula tu matunda na juisi za matunda (juisi ya matunda uliyoitengeneza mwenyewe siyo ya dukani, kwenye hizo juisi isikosekane juisi ya ukwaju), ukisikia njaa zaidi pika tu mboga majani mchanganyiko na uzile kama sahani nzima hivi bila ugali (mboga majani pekee).

Halafu baada ya hizo siku 2 kupita njoo niambie unavyoendelea.

Jenga pia tabia ya kula vyakula vyenye mizizi yaani fiber kwa wingi kama mihogo na viazi. acha kula vyakula vilivyokobolewa kunywa juce ya ukwaju na kula maembe. kula mboga mboga kwa sababu zina alkaline ili kubalance na vyakula vya gesi (acid) . Kama utapata juice ya alovera itasadia pia.
 
Back
Top Bottom