Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Jenga mazingira ya kuandaa matunda wakati wa mlo wake. Pia anywe maji ya kutosha. Kwasasa mpe papai.
 
Tafuta tunda linaloitwa PRUNES...ni jamii ya tunda damu lilokaushwa...Mpatie juice ya hayo matunda au ayale kawaida...Ni dawa maridhawa kwa watoto wanaosumbuliwa na choo kigumu!!
diet-with-prunes.jpg
 
Weka ramani ya nyumba yako hapa itakua rahisi kupata msaada..
 
Mapapai ndio kila kitu,tafuta juis ya papai na mapapai yenyewe kula/kunywa kwa wingi utaona.
 
Back
Top Bottom