Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

mm naona ungesema kwanza kwa siku nzima unakula kiasi gani na chakula cha aina gani?? Kuna vyakula ukila lazima tuuu uende haja kubwa baada ya mda mchache?? Kula msosi wa kushiba kunywa maji bila kusahau some matunda ambayo yanasaidia digestion. Jaribu kunywa juice ya ukwaju ni nzuri sana hii makitu??
 
Wanabodi, nimepata cmu mda c mrefu, kuna jamaa amempoteza baba mzazi baada ya kukosa choo muda wa siku sita, alienda hospital akapewa dawa ametumia kwa muda wa wiki mbili, aliendesha mara tatu alipofunga ndo kimoja, imeniuma sana, natamani ningejua mapema, ningemtumia tiba hii labda ingeokoa maisha yake.

Tatizo hili laonekana kuongezeka kwa mujibu wa takwimu za WHO, na hasa kwa wakazi wa mijini. Iwapo wapata milo mitatu kwa siku na wapitisha siku kadhaa kupata choo ujue una tatizo la Constipation, chukua tahadhari, kula mbogamboga na matunda kwa wingi sana, yashauriwa yawe 80% ya mlo wako, yaani 20% ndo kiwe chakula chako, la ikishindikana pata Shake-off au Splina Liquid Chlorophyll ili ku-balance kile ukosacho. Muwe na siku njema.
 
constipation ni kupata choo kigumu au kukosa kabisa

jinsi ya kufanya ni kujitahidi kunywa maji na matunda kwa wingi, matunda ambayo yanasaidia kulainisha choo ni maparachichi na mapapai.
 
nisaidieni dawa ya kuniwezesha kupata choo cha kawaida, maana ni miaka sasa imepita nimekuwa na hili tatizo la kuwa na choo kigumu kiasi kwamba nasikia haja kubwa na nikienda toilet kujisaidia napata taabu sana..

Nilienda hospitali kumuona daktari akanipatia dawa nikazitumia na zilinisaidia sana na akaniambia ninywe sana maji na kwa kweli sasa ivi nakunywa sana maji...

Nikikaa baada ya mda ilo tatizo huwa linanirudia nikinywa dawa huwa linaisha mimi ni mtu wa kunywa dawa....

Imefikia hatua kale kanyama kwenye haja kubwa kametokeza kwa sababu ya kupata taabu wakati wa haja..

Nisaidieni wanajamii wenzangu jinsi ya kuepukana na hili tatizo maana limekuwa kama ni sehemu ya maisha yangu naona kama litakuja kuniletea madhara makubwa mno...

wakati fulani niliwahi kuwa na tatizo kama lako nilijitibu kwa kutengeza juic ya tende na maziwa. Chukua tende kadhaa toa kokwa tia katika brenda changanya na maziwa kisha saga mpaka ipatikane juice. Tatizo lako litaponabaada ya kutumia kinywaji hiki kwa muda wa siku mbili tu. Ukiendelea kutumia kinywaji hiki mara kwa mara utasahau matatizo ya tumbo na choo.
 
Alooooo! hii kitu usiombe kunawakati unaweza kushindwa hata kutambea hii kitu balaaa! vyote vinawezekana ila kuwacha nyama nyekundu ndo mtihani mbuzi watamu bwana na hasa ukiwa mikoa ya kati mate full chaji.
kama walivyosema wachangiaji hapo juu japo mimi nishakuwa mteja wa doculas kwa dharura.
kuna tiba moja isiyosibitishwa na daktari inadaiwa inasaidia nayo ni kuchemsha magamba ya mkorosho ambayo yanasaidia kama ukwaju kazi kwako kama unaweza kujaribu.
 
Wadau,

Nna mdogo wangu wa kiume kwa mda sasa anasumbuliwa na taizo la kukosa choo, kupata choo kwa shida ama kupata choo aina ya mharo kidogo mara kwa mara. alishauriwa atumie papai pamoja na mbogamboga lakini bado tatizo lipo?Kuna mtu anasema eti ana chango.

  • Jee chango ni nini?
  • Kuna uhusiano gani kati ya chango na ngiri na tatizo la kutopata choo?
  • Jee atumie dawa wanazotangaza waganga wengi walioibuka hivi karibuni kwamba wanatibu matatizo hayo mf. ngiri, constipation (bahusi zina side effects)
  • Naamini nitapata majibu ya haya maswali hapa jamvini.
Mkuu MKUNGA hakuna uhusiano kati ya Chango na ngiri na tatizo la kutopata choo ni vitu tofauti kabisa.

Ngiri (ugonjwa)
Hernia​


​

​


Ngiri hiyo





Chango ni la akina mama au akina dada.

Chango la uzazi ni ugonjwa unaosumbua na wenye maumivu makali. Upo “first” na “second”, “first” ni ule ambao binti anaupata mara baada ya kuwa msichana, na huu “second” ni ule ambao anaupata mwanamke kutokana na “Infection” na mabadiliko ya “homon”. Akasema kuwa “Infection” ni rahisi kupatikana kutokana na ukaribu baina ya sehemu ya choo kikubwa na sehemu ya uzazi, pia kutokana na hifadhi ya kila mwezi inayolazimisha eneo la uzazi kuwa na kifaa cha kupokea uchafu kinachokaa katika eneo lile kwa muda mrefu. ​
 
Last edited by a moderator:
Mzizimkavu,

Mimi huwa nina tatizo moja. Naweza kuamka asubuhi naenda mbwewe nasikia harufu mbaya balaa.

Je hii husababishwa na nini na dawa yake?
 
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda ******. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil’ muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.

Sawa! Ila kama umedanganya sana coz kwa mimi na elimu yangu ya kibaolojia sijawahi kutana na unachodai kua ni madhara ya kutopata choo ni ule uchafu kuingia katika mfumo wa dam(blood system). Swali langfu ni je unajua mfumo wa umeng'enyaji chakula (Digestive system)? na ni kipi hua kinachukuliwa kuingia katika mfumo wa damu katika utumbo mwembamba kwa VILLI?.

Kingine ni tiba pia imenishangaza, ungesema hii yako ni ya jadi wala nisingekua na shida. Ila kama ni kitaalam basi nilitegemea ushauri wako uwe mi MLO WEMYE MBOGA ZENYE ASILI YA MAJANI (Hapa mchina hua na umuhimu mkubwa, pia uchemshwe kidogo na kuliwa peke yake). Ni hayo tu ss wanasayansdi hatuna longolongo nyiiiingi kama katika maelezo yako.
 
Mzizimkavu,

Mimi huwa nina tatizo moja. Naweza kuamka asubuhi naenda mbwewe nasikia harufu mbaya balaa.

Je hii husababishwa na nini na dawa yake?
Mkuu Maundumula pole sana una matatizo ya Gesi tumboni jaribu kumona Daktari kumuona Daktari akupe dawa ikishindikana Dawa ukitumia usipoona nafuu yoyote ile rudi hapa unipe Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Sawa! Ila kama umedanganya sana coz kwa mimi na elimu yangu ya kibaolojia sijawahi kutana na unachodai kua ni madhara ya kutopata choo ni ule uchafu kuingia katika mfumo wa dam(blood system). Swali langfu ni je unajua mfumo wa umeng'enyaji chakula (Digestive system)? na ni kipi hua kinachukuliwa kuingia katika mfumo wa damu katika utumbo mwembamba kwa VILLI?.

Kingine ni tiba pia imenishangaza, ungesema hii yako ni ya jadi wala nisingekua na shida. Ila kama ni kitaalam basi nilitegemea ushauri wako uwe mi MLO WEMYE MBOGA ZENYE ASILI YA MAJANI (Hapa mchina hua na umuhimu mkubwa, pia uchemshwe kidogo na kuliwa peke yake). Ni hayo tu ss wanasayansdi hatuna longolongo nyiiiingi kama katika maelezo yako.
Mkuu Mzalendo JR sawa ikiwa nimedanganya kwako itabidi kila nilichokiandika usikiamini au sivyo ? Ushauri wangu usiufuate unasemaje Mkuu?
 
Last edited by a moderator:




Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua
Watoto wadogo hasa wale ambao bado wananyonya na ndio kwanza wamenzishwa vyakula vinginevyo zaidi ya maziwa, mara nyingi

hupatwa na choo kigumu au kukosa choo kabisa hali tunayoiita kimombo, constipation. Hali hiyo huanza pale mtoto anapoachishwa

maziwa ya mama na kuanza kunyweshwa maziwa ya kopo au mengineyo au pia anapoanzishwa kula vyakula vingine zaidi ya maziwa.

Mara nyingi watoto wanaonyonya maziwa ya mama huwa hawasumbuliwa na tatizo hilo, bali tatizo hilo huanza kujitokeza pale

wanapoanza kulishwa vyakula vingine zaidi ya maziwa ya mama. Pia mama ambaye tayari mwenyewe anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo, huenda mwanae pia akasumbuliwa na tatizo hilo.

Mtoto mwenye tatizo la kukosa choo huwa anapata choo wa shida huku akisumbuliwa na tumbo na kupata choo kigumu. Wakati mwingine hulia wakati akipata choo huku akijiminya na kukunja uso. Muone daktari iwapo mtoto ana umri wa chini ya mwezi mmoja na hajapata choo kwa siku 4.

Iwapo mtoto wako mchanga au mdogo ana tatizo la kukosa choo au kupata choo kigumu kwanza wasiliana na daktari au mpeleke hospitalini ili upate ushari wa daktari. Pia unashauriwa kujaribu njia zifuatazo:

1. Jaribu kumpa mtoto wako maji safi na salama kuanzia mililita 60 hadi 120 kwa siku. Punguza au ongeza kiasi hicho kwa kuzingatia jinsi hali ya mwanao inavyokuwa. Ni bora maji ya mtoto yachemshwe na kufunikwa vyema.

2. Iwapo maji hayasaidii, jaribu pia kumpa juisi za matunda. Mpe mtoto wako juisi ya tufaha (apple), pea au prune iliyotengenezwa kwa kutumia maji salama na safi kila siku. Anza kwa mililita 60 hadi 120 kwa siku na punguza au ongeza kiasi hicho kwa kuzingatia jinsi hali ya mwanao inavyokuwa.

3. Jitahidi kumpa mwanao chakula chenye ufumwele au fiber. Iwapo mwanao ameanza kula vyakula vigumu, basi mpe vyakula vyenye ufumwele kuliko vyakula vyenye wanga, kama vile tumia unga wa shayiri au tunda la apple na pea lililopondwa pondwa vyema na kuwa kama uji. Epuka kumpa mtoto cereal ya mchele au uji wa mchele kama anatatizo la kukosa choo au kufunga choo.

4. Jiepushe kumpa mtoto wako vyakula vyenye wanga na sukari na vyakula vinavyotengenezwa kwa unga uliokobolewa.

5. Mpake mwanao mafuta kidogo sehemu inayotoka choo kikubwa ili kurahisisha utokaji wa kinyesi. Usitumia mafuta ya madini (mineral oil) au dawa za kulainisha choo na za kuharishwa katika kutibu tatizo hilo la kukosa choo la mtoto.

6. Kukosa choo watoto wadogo mara chache huwa kunasababishwa na magonjwa kama vile Hirschsprung ugonjwa wa kumee neva katika utumbo, au Cystic Fibrosis. Muone daktari au mpeleke mtoto wako hospitalini kama tatizo hilo la kukosa choo linaendelea hata baada ya kubadilisha aina ya chakula cha mtoto au linaambatana na dalili nyingine kama vile kutapika au mtoto kukosa utulivu na kuhangaika.

7. Kuna baadhi ya watoto wanakosa choo au kuwa na choo kigumu kutokana na kutumia maziwa ya ng’ombe. Iwapo umetumia dawa na umefuata maelekezo ya kuondoa ukosefu wa choo na hukufanikiwa. Katisha kumpa mtoto maziwa ya ng’ombe kwa siku mbili au tatu, baada ya siku hizo iwapo bado hajaacha choo badi endelea kumpa maziwa hayo, na pengine tatizo hilo halisababishwi na maziwa ya ng’ombe.

8. Mwogeshe au mweke mwanao katika beseni la maji ya uvuguvugu na hakikisha maji yanafika hadi kifuani. Mkande mtoto tumbo lake wakati akiwa majini na njia hiyo husaidia kulegeza misuli ya mwili wa mtoto, na kumsaidia kupata chook wa urahisi.

N.B Ukosefu wa choo kwa watu wazima baadhi ya wakati huandamana na magonjwa kama vile Arthritis, Appendicitis, Cataract, saratani, shinikizo la damu, Rheumatism na kadhalika lakini kwa watoto huenda tatizo hilo likawa halisababishwi na maradhi hayo.

Utafiti unaonyesha kuwa hakuna uhusiano wowote kuhusu kukosa choo mtoto na kupewa nyongeza ya chuma au Iron Supplement.

Hivyo usimkatishe kumpa mwanao chuma iwapo anakosa choo. Kwani chum ni muhimu sana katika kuzuia upungufu wa damu mwilini kwa mtoto wako mdogo.
http://kona-ya-afya.blogspot.com/
 
asante sana mkuu kwa darasa zuri. VIpi niliwahi kupewa ushauri na daktari mmoja kuwa naweza kumpa maji ya nyanya kidogo kutegemeana na umri wa mtoto. nami nkmekuwa nikiwashauri hivyohivyo marafiki na majirani zangu pale watoto wao wanaposumbuliwa na tatizo hili. vipi inasemaje kuhusu nyanya hivi inaweza kuwa inasaidia kweli?
 
asante sana mkuu kwa darasa zuri. VIpi niliwahi kupewa ushauri na daktari mmoja kuwa naweza kumpa maji ya nyanya kidogo kutegemeana na umri wa mtoto. nami nkmekuwa nikiwashauri hivyohivyo marafiki na majirani zangu pale watoto wao wanaposumbuliwa na tatizo hili. vipi inasemaje kuhusu nyanya hivi inaweza kuwa inasaidia kweli?
Mkuu MAYOO inasaidia pia poa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wote wenye matatizo ya kupata shida wakati wa kujisaidia yan choo kigumu na maumivu makali pia kushindwa kukaa kutokana uvimbe unaojitokeza sehemu ya haja kubwa:bas tatizo lako kwisha kabisa! Nipigie kupitia no.0758903566
 
Wakuu, Salaam.

Poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku ya ujenzi wa Taifa.

Leo, hebu tuangalia hapa jinsi sumu zinavyojaza matumbo/ vitambi kutokana na tatizo la kukosa choo mara kwa mara (Constipation) bila kusahau madhara yake. Halafu tuchukue hatua kusafisha matumbo yetu kwa kutumia SHAKE OFF PHYTO FIBER tuondokane na madhara.

Maswali mawili ya MSINGI tupasayo kujiuliza:

1. Kama tuna kula milo mitatu au zaidi kwa siku na mara nyingi tunapata choo mara moja kila baada ya siku moja. Je?, sehemu kubwa ya chakula tunachokula kinaenda wapi? kinasagwa na kumeng'enywa chote na mwili au ndo matokeo ya matumbo / vitambi tunavyoviona kila kukicha ikiwa ni ushahidi kwamba tunatembea na kilo kadhaa za vyakula visivyosagwa na kumeng'enywa na mwili kwenye matumbo yetu?!!

2. Kama tunaoga mara mbili au zaidi kwa siku ili kuweka sehemu ya nje ya mwili (outside) safi, tuna fanya nini kusafisha sehemu ya ndani ya mwili? Kuna maana gani kusafisha sehemu ya nje ya mwili na kuacha sehemu ya ndani ya mwili chafu?! Hivi, AFYA na MUONEKANO MZURI huanzia NJE kwenda NDANI (out - inside) au huanzia NDANI kwenda NJE (inside - Out)?!!

TAFAKARI. CHUKUA HATUA.

SHAKE OFF Phyto Fiber

Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin, na gacnia cambogia) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off



  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhara kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salama, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi, kitambi (tumbo) na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.



Ni hayo tu wakuu.

Mawasiliano. 0767 277 223 au 0713 366 473


<strong>






Edit Post Reply Reply With Quote Send PM


​
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom