Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

habari wakuu...
Napata shida wakati wa kujisaidia haja kubwa choo kinakua kigumu sana,
naomba msaada kwa hiyo ishu nile vyakula vya aina gani au niepuke vyakula vya aina gani
siku za karibuni nimeamza kula ugali wa dona lakini naona kama haisaidii sana.
Be blessed guys...
kushikwa na choo au kupata choo kigumu. (Costipation)


UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida.

Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu.

Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.


MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?

Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa.

Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?

Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.
SABABU ZA MARADHI HUSIKA(

1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B. (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. (3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. (4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga. (5) Kutokunywa maji ya kutosha. (6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. (7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.


NINI KIFANYIKE?

Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo:

Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda Choo. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi.

Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil' muda mfupi kabla ya kwenda kulala.

Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula

mboga na matunda kwa wingi kila siku na kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa

virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari

nyingi na vyakula vingine vitamu.
 
Habari zenu wana JF forum, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 18 anasumbuliw kutopata haja kubwa na akipata kina kuwa kigumu sana ina mpelekea kupata maumivu makali na kuchanika. msaada atumia dawa gani maana mpaka analia
 
Ajaribu kula mapapai angalau kila mara kabla ya mlo wake au hata juice yake na je huwa akila chakula chochote hali inakua hiyo hiyo? Isije ikawa anakula ugali wa mtama maana ule ni nux kweli kweli kwa upande wa nnya
 
habar zenu wana jm forum, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 18 anasumbuliw kutopata haja kubwa na akipata kina kuwa kigumu sana ina mpelekea kupata maumivu makali na kuchanika. msaada atumia dawa gan maana mpaka analia

Hilo ni tatizo la kukosa choo ama Constipation kwa kitaalamu ambalo utokana na mlundikano wa taka kwenye utumbo mpana ama COPROSTASIS.

Sababu zake ni nyingi lakini baadhi ya maradhi anayoweza kupata mtu mwenye tatizo hilo ni pamoja na haya:-
- Colon Cancer (Saratani ya Utumbo Mpana)
- Arteriosclerosis
- Hypertension
- Heart Diseases
- Liver Diseases
- Kidney Diseases
- Diabetes, etc

Hii ni kwa kifupi, FUATILIA LINK HII for more details.
 
Yes anahitaji vyakuwa vyenye fiber na apunguze kula vyakula vikavu mikati, wali mkavu, mandazi. n.k. Kula matunda na maganda yake kama apple.
 
Ajaribu kula mapapai angalau kila mara kabla ya mlo wake au hata juice yake na je huwa akila chakula chochote hali inakua hiyo hiyo? Isije ikawa anakula ugali wa mtama maana ule ni nux kweli kweli kwa upande wa nnya

Umeniwahi mkuu! Papai ni kiboko ya tatizo ilo ajaribu tu then alete f.bck
 
habar zenu wana jm forum, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 18 anasumbuliw kutopata haja kubwa na akipata kina kuwa kigumu sana ina mpelekea kupata maumivu makali na kuchanika. msaada atumia dawa gan maana mpaka analia
Anywe Juice ya Ukwaju asubuhi kila siku glasi moja itamsaidia sana,Ukwaju upo mwingi tu sokoni Kariakoo.
 
Anywe Maji zaidi ya liter 2 kwa siku ,atumie matunda hususan yenye fiber kwa wingi mfano papai pia ale vuakula laini kama viazi vya mchuzi na supu kwa mfululizo kikubwa Maji na matunda itakufaa
 
habar zenu wana jm forum, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 18 anasumbuliw kutopata haja kubwa na akipata kina kuwa kigumu sana ina mpelekea kupata maumivu makali na kuchanika. msaada atumia dawa gan maana mpaka analia


Tabu ya kutopata choo kiurahisi

MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION):
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au

mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama cha mbuzi. Wagonjwa

wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.

Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo.


SABABU ZA MARADHI HUSIKA:
1. Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B.

2. Maradhi ndani ya utumbo mpana.

3. Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano.

4. Upungufu wa ulaji matunda na mboga.

5. Kutokunywa maji ya kutosha.

6. Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. 7)


7.Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.


TIBA:

Kanuni ya kwanza

1.Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habitsoda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.


Kanuni ya pili:
2.Unga wa sanamaki kijiko kimoja kikubwa, Unga wa tangawizi kijiko kimoja kikubwa, Unga wa habasoda kijiko kimoja kikubwa, na Asali robo lita. Dawa hizi zote zichanganye pamoja kwa kukoroga kwa kijiko. Kula kijiko kimoja kutwa mara tatu.


Kanuni ya tatu:
3.Asali robo lita, na Unga wa Arki susi vijiko vinne vikubwa. Kula vijiko viwili vikubwa kutwa mara mbili.


Kanuni ya nne:
4.Kunywa kwa wingi maji ya Uvuguvugu ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga.


Kanuni ya tano:
5.Kula kila siku asubuhi tende saba kabla ya chakula cha asubuhi. Tende hufanya choo kuwa laini. INSHAALLAH UTAPONA.

CHAGUWA TIBA MOJAWAPO KWAKO WEWE ITAKUWA NI RAHISI KUIPATA TUMIA KWAMUDA WA SIKU 3 HUKUPONA

CHUKUWA MAELEZO YA TIBA INGINE HAPO FANYA HIVYO HIVYO MPAKA UTAKAPO PONA.
 
habar zenu wana jm forum, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 18 anasumbuliw kutopata haja kubwa na akipata kina kuwa kigumu sana ina mpelekea kupata maumivu makali na kuchanika. Msaada atumia dawa gan maana mpaka analia

anywe juice ya ukwaju nzito,reaction after 30 mins
 
Inashauriwa kusafisha tumbo lako walau mara moja kwa mwaka ili kujikinga na asilimia 90 ya magonjwa sugu, kwani tafiti zaonesha kuwa magonjwa mengi chanzo chake kikuu ni kutokana na sumu zilizolundikana katika utumbo mpana, kukosa choo ni dalili moja wapo, zoezi hili waweza kulifanya kwa kuamua kula matunda mengi sana yenye utembwe ama fiber au tumia Shake off Phyto fiber
kusafisha tumbo.

Pia kwa kuwa sumu hizo zinakuwa zimeingi katika mzunguko wa damu, inashauriwa kusafisha damu kwa kutumia SPLINA LIQUID Chlorophyly,



SHAKE OFF PHYTO FIBER
Our health is closely linked to the state of our intestines. When one is living an unhealthy lifestyle with poor quality of food and water, drinking and smoking, and insufficient intake of high fiber foods, he is bound to have intestinal tract crisis. The digestive tract gets clogged with fats and toxins and infested with harmful bacteria. This leads to obesity and chronic diseases such as colon cancer, arteriosclerosis, hypertension, liver and kidney diseases, diabetes and heart problems. It is important to cleanse and detoxify our intestines to maintain good health and promote longevity. Health experts have proven that fiber helps a great deal not only in keeping the digestive tract clean and healthy, but also in losing weight by giving the feeling of fullness, absorbing fat, and facilitating metabolism. Thus, we recommend Shake Off Phyto Fiber.


ACTIVE INGREDIENTS
  • PLANT FIBER Provides a feeling of fullness, and helps relieve intestinal toxins like Coprostasis. It relieves diarrhea and absorbs excess water in the intestine.
  • ROSELLE Rich in vitamin C, calcium, iron, riboflavin, niacin, fiber and has anti-oxidants that enhances the beauty of the skin.
  • OATS It acts like a sponge that absorbs the cholesterol. It is rich in bran and fiber which prevents colon cancer.
  • GARCINIA CAMBOGIA Aids in slimming as it suppresses the appetite and increases the body's metabolism. It also regulates blood sugar levels and lowers the blood cholesterol.
  • INULIN Acts as a prebiotic that stimulates the production of good bacteria such as bifidus in the intestines. It also relieves diabetes mellitus by reducing the body's need to produce insulin.


KEY CHARACTERISTICS
  • FAST & EFFECTIVE: See the results in just eight hours.
  • MARVELOUS TASTE: Shake Off comes in two delicious flavors, pandan and strawberry.

  • RELAXES WITHOUT BURDEN: Relief from toxins and excess fats result in an amazing comfort and a relaxing feeling –


shakeoffimg.jpg



Splina Liquid Chlorophyll
Edmark Splina Liquid Chlorophyll Our daily diet should consist of20% acidic and 80% alkaline food to maintain a healthy body. A healthy body should have an alkaline PH level of about 7.3 to 7.4.Diets based on acidic food will cause high acid levels in our body. In the long run, this will cause various illnesses such as diabetes, high cholesterol and stroke. To ensure your daily alkaline needs, we recommend Splina Liquid Chlorophyll.
HEALTH BENEFITS
EXCELLENT SOURCE OF NUTRIENTS It is very high in RNA and DNA and has been found to protect against the effects of UV radiation.

    • INCREASES BLOOD COUNTS Assists red blood cell generation to ensure sufficient oxygen and nutrients for cell renewal. It helps to either cool or warm the body and adapt to environmental changes.
    • BOOSTS THE IMMUNE SYSTEM Accelerates tissue cell activity and normal re-growth of cells to help the body heal faster.
    • INCREASES OXYGEN SUPPLY IN THE BLOOD This helps maintain optimum blood flow all throughout the body, and regulates blood pressure to healthy levels.
    • REDUCES WRINKLES AND AGING The results are smoother skin, clearer complexion and youthful looks.
3 MAIN FUNCTIONS
· BALANCING Balances acid-alkali levels, and enhances immunity.
· CLEANSING Cleanses the digestive system, assists in purifying blood.
· NOURISHING Splina is rich in vitamins A, C and E, Zinc, Folic Acid, Calcium, Magnesium and Iron.


splinaimgcenter.jpg

VIrutubisho hivi kwa sasa vinapatikana katika maduka kadhaa ya madawa, mahitaji yamekuwa mengi, vimekuwa na msaada kwa watu wengi, waweza kuvipata RHODE PARMACY Kariakoo, mtaa wa Congo na Kipata, Core Pharmacy Mtaa wa Lindi na Congo, Grat Pharmacy Mtaa wa Kipata na Mishangu Pharmacy.

Kampuni inatafuta wadau wa kuingia nao ubia kusambaza bidhaa hizi kwa watu wengi zaidi, wasiliana na Mr Bernard 0716927070. Inatoa punguzo kubwa kwa wenye maduka ya madawa ikiwa ni pamoja na bonasi ya gari na nyumba pia.
 
Mpeleke maabara akachukue vipimo ujue ni minyoogan wanamsumbua then mpleke kawa doctor kwa tiba.kama huwezi wasiliana nami nimetibu wengi wenye shida kama hizo hata ambao haja kubwa na ndogo hazitoki wakapona na wana afya nzuru hadi sasa.0759217720
 
chukua maji lita moja na nusu changanya na ukwaju kilo moja koroga kisha weka sukari kidogo ili usiumie meno wakat wa kunywa hakikisha sukari ni kidogo ili isiwe kama juice za ukwaju za madukan yaan iwe concentrated na ukwaju.TAHADHARI utaenda aja kubwa mara kwa mara bila ridhaa yako Ushauri kaa karibu na choo na baada ya hilo zoezi la siku nzima kunywa maji ya kutosha
 
mpe maziwa glasi 1 then changanya na asali vijiko vitatu vya chakula.asubh,mchana na jioni kwa cku tatu.maziwa yawe yabaridi na asali iwe mbichi.utakuja kunipa jb
 
mpe maziwa glasi 1 then changanya na asali vijiko vitatu vya chakula.asubh,mchana na jioni kwa cku tatu.maziwa yawe yabaridi na asali iwe mbichi.utakuja kunipa jb

ona sasa umeshanikorofisha mpaka yamenidondokea hapo ukichanganya na konyagi unapata amarula safi kabisa
 
ona sasa umeshanikorofisha mpaka yamenidondokea hapo ukichanganya na konyagi unapata amarula safi kabisa

ss nimekukorofisha wapi tena aisee.fanya mpango ukishaitengeneza hiyo amarula unipostie na mie
 
naona watu wametoka nje ya mada. hatuwezi kusaidiana namna hii. anyway hii inatokana na ulaji wa mtu. kama hali matunda kama mapapai,machungwa ambayo husaidia choo kuwa laini.
pili kama system ya chakula inashindwa kudigest kama ilinavyotakiwa. inaotokana na kula then kunywa maji ya kunywa hapohapo. au kula matunda baada ya kula.
cha mwisho ni kama sumu zimejaa mwilini husababisha system ya taka utumbo mpana kutokufanya kazi ifuatavyo. sumu mwilini zinaingia kwa njia ama ya vyakula kupitia vyakula vilivyowekwa mbolea za kemikali. au vipodozi vya akina mama. sabuni za kuoga,mafuta ya kula na kupaka. but asilimia kubwa ni what we take inn.
sasa tunafanyaje?
ukipata good antidioxide ambayo itaondoa sumu,mabaki ya vyakula,mgando wa mafuta katika tumbo. na kuruusu utumbo kijisafisha vizur pamoja na kufuata maelekezo jinsi tunavyokula hapo juu. basi asilimia kubwa ya hii tatizo huondoka. binafsi nilikuwa na tatizo hili sasa limeisha.
nilitumia juice ya asili. iitwayo kitaalamu barberdensis miller- inayotokana na spieces za mmea wa alovera. kama unahitaji 0789896920-uyo ndio nanunua kwake.
nawakilisha.
 
Back
Top Bottom