Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.

Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
 
Pole kamanda. Ukipokea jua na kuaga.

Suitukane tu
 
Kweli Mbowe ndio amekiua Chama

Sababu Mbowe aliwapa MaDED mamlaka kusimamia chaguzi...

Mbowe ndio aliwateua MaDC...

Mbowe ndio amiri jeshi mkuu ambaye majeshi yote yanamtii...

IMG_20201028_173703.jpg
 
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka Ccm ambao walikuja kuharibu molali na nguvu tuliokuwanayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.

Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Naunga mkono tumpendekeze bilionea Sugu awe Mwenyekiti!
 
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka Ccm ambao walikuja kuharibu molali na nguvu tuliokuwanayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.

Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Wewe kibaka wa CCM usitupigie kelele.
 
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.

Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Kwanini usihamie CCM mkuu?
 
🤣🤣🤣 Kwahiyo tumrudishe Mwambe aje agombee na mwenyekiti?
 
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.

Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Siku Mbowe anatoka CDM haitabaki kuwa CDM tena!
 
Back
Top Bottom