Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mimi niko vizuri siwezi kuchoka.Kamanda uliyechoka,pumzika ukipata nguvu najua utarejea uwanja wa mapambano.
Pumbavu mkubwaSawa Halima mdee naona kampeni za uenyekiti zimeanza
Unajitesa sana dada.Pumbavu mkubwa
Naunga mkono tumpendekeze bilionea Sugu awe Mwenyekiti!Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka Ccm ambao walikuja kuharibu molali na nguvu tuliokuwanayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Wewe kibaka wa CCM usitupigie kelele.Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka Ccm ambao walikuja kuharibu molali na nguvu tuliokuwanayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Ahaaaaa.Naunga mkono tumpendekeze bilionea Sugu awe Mwenyekiti!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumbavu mkubwa
Punguani mkubwa.Unajitesa sana dada.
Kwanini usihamie CCM mkuu?Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
🤣🤣🤣 Kwahiyo tumrudishe Mwambe aje agombee na mwenyekiti?Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Siku Mbowe anatoka CDM haitabaki kuwa CDM tena!Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema Mbowe hatufai sisi makamanda wenye uchungu
Pumbavu zako. Hapo alipo amesaidia nini?Siku Mbowe anatoka CDM haitabaki kuwa CDM tena!
Nyumbu baba yako.