Civilian One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 246
- 189
Wazee wastaafu wa chumvini wanataftana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolonya laini lainiHabari wakuu ...Leo ni siku ya nane siskii harufu yoyote ..mwanzoni nilikuwa naona labda ni kawaida ila Leo nimeona huwenda litakuwa ni tatizo...
Hahaha hata mimi sijawahi KUSIKIA harufu, tumia pua siyo masikio kunusa harufu.Habari wakuu ...Leo ni siku ya nane siskii harufu yoyote ..mwanzoni nilikuwa naona labda ni kawaida ila Leo nimeona huwenda litakuwa ni tatizo...
Tangawizi mixer limao na kitunguu maji chemsha na kunywa kwa siku mara 3. Ila kafanye vipimo pia vya magonjwa like maralia, uti nk
Inasaidia nini?Wengine wanasema unakamulia maganda ya limao au chungwa puani..inasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi pia hali hii ilinikuta...nimetumia dawa ya nimr nilinunua kwa mfanyakazi wa nimr nao niko poa
Mi pia hali hii ilinikuta...nimetumia dawa ya nimr nilinunua kwa mfanyakazi wa nimr nao niko poa
Pole mkuu.Siku ya Tatu Sina homa wala Nini hapo kabla sijapoteza uwezo wa kunusa na kutaste, nilipata kihoma hivi nikaumwa Sana na kichwa, Sema malimao na tangawizi nimeanza kujipigilia kitambo Sana Ila uwezo wa kunusa na kutaste ndio hola...
Daaah, ahsanteh sana Mkuu wangu sahv nasikia kwà mbaliii sana hv!!!