Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wanakosaje watu yaani?Sababu kubwa ni kukosa watu
Si alipita written 😀😀😀😀😀😀Ili kupata kazi kupitia usahili, msahiliwa lazima afikie viwango vilivyowekwa katika usahili husika.
Kushindwa kufikiwa kwa viwango hivyo, nafasi lazma itangazwe tena.
Unapita written, unaenda oralSi alipita written 😀😀😀😀😀😀
Okay kwa mshahara wa sh ngapi?. Na wao walifanyiwa hivyo? Au wao walibakizwa tu.Unapita written, unaenda oral
Hao walimu/wakufunzi mara nyingi baada ya written hutakiwa kuandaa "presentation" kwa topic anayochagua candidate, ku-deliver mbele ya panel, shida kubwa ipo hapo.
Ntajibu sehem ya pili, matokeo ya sera ya kuajiri kwa ushindani na uwazi.Okay kwa mshahara wa sh ngapi?. Na wao walifanyiwa hivyo? Au wao walibakizwa tu.
😀😀😀😀😀We jamaa umemaliza comment. Ila kwasasa kuna masters zipo mtaani wengine hawapendi usumbufu wa kuhojiwa wakati walishafaulu. Hivi mtu ana GPA ya 4.5 na 4.4 unaanza kumhoji wa nini. Na amesoma kwenye chuo chako. Hapo ni kumwita na kuanza kufanya kazi.Kwa baadhi ya kada, watu wenye masters ni wachache sana.
Ni wachache kwa sababu kusoma masters ni gharama mno. Hata undergraduate ukiwaondoa bodi ya mikopo, wazalendo wengi hawataweza kujilipia gharama za masomo hayo.
Unashangaa kuona eti wanatafuta lecturer 8, yaani hizo ni PhD 8 ambazo ziko mtaani hazina kazi.... Unapataje kwa mfano ?
Wakati hao ndio wakuu wa idara na vitengo kwenye taasisi mbalimbali.... Ni vigumu sana kupata mtu anasoma digrii ya 1, ya 2 hadi ya 3 bila kuwa kwenye taasisi ambayo ina maslahi na kujiendeleza kwa msomi huyo.
Pia kuna watu wengine wana masters, wapo mtaani lakini hawana GPA zinazotakiwa. (Undergraduate kuanzia 3.8 na masters 4.0)
Tuajiri wageni ? Hapana.
Vyuo viajiri wakufunzi wasaidizi (tutorial assistants) hawa wapo wengi sana, na wawaendeleze wao wenyewe kielimu ili kuwapata hao wahadhiri wa ngazi za juu. Wasitegemee kuokota mtaani masters na PhD zinazozagaa.
Vinginevyo wata "re-advertise" hayo matangazo yao hadi akili ziwakae sawa.
Kwako Meneja
Meneja Wa Makampuni
Nadhani lengo la usaili ni pamoja na yafuatayo:-😀😀😀😀😀We jamaa umemaliza comment. Ila kwasasa kuna masters zipo mtaani wengine hawapendi usumbufu wa kuhojiwa wakati walishafaulu. Hivi mtu ana GPA ya 4.5 na 4.4 unaanza kumhoji wa nini. Na amesoma kwenye chuo chako. Hapo ni kumwita na kuanza kufanya kazi.
Soma aya ya mwisho boss kwenye uzi wangu juu ya sekta ya afya. Hivi unadhani hizo kazi zingekua chache wangekua wanafanya hivyo wanavyofanya??Nadhani lengo la usaili ni pamoja na yafuatayo:-
1. Kutenda haki ya uwazi na usawa (fairness and openness). Ukipigiwa simu watu watasema "ujomba ujomba" umetumika.
2. Kuchuja baina ya wengi (kama mko wengi mnaokidhi vigezo) ili kumpata aliye bora zaidi kwa ajili ya kazi husika.
3. Kujiridhisha juu ya uwezo wako wa kufundisha, kuelewesha, kulimudu darasa pamoja na kiwango chako cha kujiamini. Hivi ni vitu muhimu sana katika mkufunzi/mhadhiri lakini huwezi kuvitambua kwa kutumia ufaulu wa kwenye cheti (GPA).
Nadhani hapo unazungumzia ajira za halaiki (zile za afya zinazopitia TAMISEMI pamoja na ajira za ualimu wao kutokua na interview).Soma aya ya mwisho boss kwenye uzi wangu juu ya sekta ya afya. Hivi unadhani hizo kazi zingekua chache wangekua wanafanya hivyo wanavyofanya??
Boss umemaliza,Nadhani hapo unazungumzia ajira za halaiki (zile za afya zinazopitia TAMISEMI pamoja na ajira za ualimu wao kutokua na interview).
Mimi binafsi naamini katika ushindani wa wazi. Natamani sana ajira zote zitolewe kwa minajili hiyo (ya ushindani). Interview is the best tool to serve this purpose.
Lakini kuna mazingira mengine huwezi kufanyisha interview kulingana na wingi wa watu wanaotakiwa, muda wa kukamilisha mchakato huo wa ajira kuwa mfupi, n.k
Katika mazingira haya, unaweka vigezo fulani (specific criteria) utakavyotumia kumchukua huyu na kumuacha yule.
Hivyo basi, ili kutofanya upendeleo, unapaswa kuweka vigezo kweli vinavyopima merit, na kuvifuata vigezo hivyo.
Kwa ujumla ni kwamba wahitimu wote wa kozi za afya, wanao uwezo wa kufanya kazi za afya (wakiajiriwa). Wahitimu wote wa ualimu, wanao uwezo wa kufundisha (wakiajiriwa). Hili ni suala ambalo halina mashaka kabisa. Ila unapotakiwa kupata watu 20 kati ya 1000 waliosomea kozi fulani na kuihitimu, na ukaweka vigezo vya kuwachuja, kamwe haitamaanisha wale 980 watakaobaki wasingeweza kufanya kazi hiyo.
Tukirudi specific kwenye suala lako.
Let say wewe una shahada ya kwanza ya "kupika uji" yenye GPA 4.5 na baadae ukahitimu shahada ya umahiri katika "kupika uji" na kupata GPA ya 4.4
Sasa hutaki kuhojiwa (kufanyiwa interview), bali unataka kuitwa na kupewa mkataba uanze kufundisha. (Kama nimekuelewa).
Maswali yangu kwako:-
What if kuna watanzania wengine wana vigezo kama vyako.... Huoni kama wao watakua wamenyimwa fursa kwa wewe kupigiwa simu personally ukaanze kazi. (Tuchukulie nafasi ni hiyo hiyo moja).
Je, mambo (ya kupigiana simu mtu ukaanze kazi moja kwa moja) yakienda against your favour, nikapigiwa simu mimi badala ya wewe, huoni kama huo utaratibu utakua umekunyima wewe fursa ?
Kama nauliza vitu irrelevant na hoja yako, naomba niambie boss wangu.
Kwa sasa niishie hapa.
We ndo umeongea ukweli mtupu.Kwa baadhi ya kada, watu wenye masters ni wachache sana.
Ni wachache kwa sababu kusoma masters ni gharama mno. Hata undergraduate ukiwaondoa bodi ya mikopo, wazalendo wengi hawataweza kujilipia gharama za masomo hayo.
Unashangaa kuona eti wanatafuta lecturer 8, yaani hizo ni PhD 8 ambazo ziko mtaani hazina kazi.... Unapataje kwa mfano ?
Wakati hao ndio wakuu wa idara na vitengo kwenye taasisi mbalimbali.... Ni vigumu sana kupata mtu anasoma digrii ya 1, ya 2 hadi ya 3 bila kuwa kwenye taasisi ambayo ina maslahi na kujiendeleza kwa msomi huyo.
Pia kuna watu wengine wana masters, wapo mtaani lakini hawana GPA zinazotakiwa. (Undergraduate kuanzia 3.8 na masters 4.0)
Tuajiri wageni ? Hapana.
Vyuo viajiri wakufunzi wasaidizi (tutorial assistants) hawa wapo wengi sana, na wawaendeleze wao wenyewe kielimu ili kuwapata hao wahadhiri wa ngazi za juu. Wasitegemee kuokota mtaani masters na PhD zinazozagaa.
Vinginevyo wata "re-advertise" hayo matangazo yao hadi akili ziwakae sawa.
Kwako Meneja
Meneja Wa Makampuni
Uko sahihiNadhani hapo unazungumzia ajira za halaiki (zile za afya zinazopitia TAMISEMI pamoja na ajira za ualimu wao kutokua na interview).
Mimi binafsi naamini katika ushindani wa wazi. Natamani sana ajira zote zitolewe kwa minajili hiyo (ya ushindani). Interview is the best tool to serve this purpose.
Lakini kuna mazingira mengine huwezi kufanyisha interview kulingana na wingi wa watu wanaotakiwa, muda wa kukamilisha mchakato huo wa ajira kuwa mfupi, n.k
Katika mazingira haya, unaweka vigezo fulani (specific criteria) utakavyotumia kumchukua huyu na kumuacha yule.
Hivyo basi, ili kutofanya upendeleo, unapaswa kuweka vigezo kweli vinavyopima merit, na kuvifuata vigezo hivyo.
Kwa ujumla ni kwamba wahitimu wote wa kozi za afya, wanao uwezo wa kufanya kazi za afya (wakiajiriwa). Wahitimu wote wa ualimu, wanao uwezo wa kufundisha (wakiajiriwa). Hili ni suala ambalo halina mashaka kabisa. Ila unapotakiwa kupata watu 20 kati ya 1000 waliosomea kozi fulani na kuihitimu, na ukaweka vigezo vya kuwachuja, kamwe haitamaanisha wale 980 watakaobaki wasingeweza kufanya kazi hiyo.
Tukirudi specific kwenye suala lako.
Let say wewe una shahada ya kwanza ya "kupika uji" yenye GPA 4.5 na baadae ukahitimu shahada ya umahiri katika "kupika uji" na kupata GPA ya 4.4
Sasa hutaki kuhojiwa (kufanyiwa interview), bali unataka kuitwa na kupewa mkataba uanze kufundisha. (Kama nimekuelewa).
Maswali yangu kwako:-
What if kuna watanzania wengine wana vigezo kama vyako.... Huoni kama wao watakua wamenyimwa fursa kwa wewe kupigiwa simu personally ukaanze kazi. (Tuchukulie nafasi ni hiyo hiyo moja).
Je, mambo (ya kupigiana simu mtu ukaanze kazi moja kwa moja) yakienda against your favour, nikapigiwa simu mimi badala ya wewe, huoni kama huo utaratibu utakua umekunyima wewe fursa ?
Kama nauliza vitu irrelevant na hoja yako, naomba niambie boss wangu.
Kwa sasa niishie hapa.
Kuna Uzi nimelieleza hili, Kama wanaokuwa shortlisted for interview Ni wachache basi sababu kubwa ni ukosefu wa waombajiWanakosaje watu yaani?
Ukweli mtupuKwa baadhi ya kada, watu wenye masters ni wachache sana.