Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

Pole kwa tatizo kwa sababu ni wa kiume jitahidi kula vyakula visivyo jaza gas sana tumboni kama karanga,njugu kula kwa wastani.

vilevile tumia vitunguu swaumu punje mbili kila asubuhi kwa wiki hivi ili mzunguko wa damu uongeze unywe na maji mengi ila utaendelea kujamba kama kawaida ila baadae itapungua kwa dawa za hospitalini tumi magenisium.

Ungekua mwanamke bila shaka tungesema una michezo ya nyuma maana huwa huwana dogo na aibu hawana.
 
Itoshe kusema unasumbuliwa na madonda ya tumbo. Namna ya kushughulika na madonda ya tumbo ikiwemo kuachana na aina nyingi ya vyakula ndo tiba yako ya kudumu.
 
MMkA

Tatizo linaanzia hapo kwenye 'Mkaka' na ndo Maana unajamba hovyo, achana na hizo pigo dogo
 
Tatizo linaanzia kwenye "mkaka" "khaa" "na mie", badili muandiko kwanza mtoto wa kiume wewe

Kingine huo uzito punguza, unakua na kilo 800 wewe ni Mwakalebela?
Mwanaume ndo alivyokwambia!?
 
Amka mapema unywe maji vugu vugu glasi mbili ..changanya na asali kidogo na habat sawda.. ..

Utajamba..uende miayo na baada ya MDA mfupi itakwenda haja kubwa.

Wiki tu ..Safi Ila punguza ulafi na mivyakula yenye asid!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Ushapata msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…