naturaltree
Member
- May 25, 2016
- 34
- 47
Pole sana. Jaribu kufuata ushauri hapo juu kama nilivyokwisha elekeza.Asante doctor,mm nnatokwa na jasho nnapokuwa mbele za watu,nakunywa chai,na chakula pia
Mm nakumbuka nilikuwa natumia limao na likanisaidia, nilikuwa nakata kipande cha limao napaka kwapani likikauka Naenda zangu kuoga, fanya hvyo hadi uone mabadiliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu madhara yake kama ikitumiwa kwa muda mrefu haiwez kuleta shida yeyote ?Uelewe kwanza kuwa kutoka jasho ni afya njema, ni njia ya mwili kupunguza joto. Vas nguo nyepesi za pamba, kuoga mara mbili au zaidi kwa siku, Tunis deodorant ukitoka kuoga.