Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

Asante Doctor,lkn naona kamà chanzo kiko tofaut na maelezo yako hapo juu maana mm jasho huambatana na kuongezeka kwa heart beat kwa wakt mmja
 
Wakuu habarini ya mchana.

Kama mada inavyosema hapo juu niende moja kwa moja kwenye mada, naomba kujua ni jinsi gani naweza kuzuia kutokwa na jasho/maji mengi kwapani. Kama kuna mwenye anajua namba ya kuzuia hii basi itakuwa vizuri sana akatoa hilo darasa hapa.

Asante.
 
Tumia limao Kama dada alivyosema.

Pia kuna deodorant nzuri zinasaidia kupunguza Kasi kubwa ya jasho kwapani.

Anti perspirant zinakata kabisa jasho japo wataalamu wanashauri kutozitumia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu naomba msaada ni nini dawa ya kutokwa jasho kwapani. Yaani hili tatizo limekuwa linanisumbua sana, kila nikivaa tu kidogo nguo nikatoka kama dakika 12 tu tayari natokwa na jasho kali.

Naomba msaada katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uelewe kwanza kuwa kutoka jasho ni afya njema, ni njia ya mwili kupunguza joto. Vaa nguo nyepesi za pamba, kuoga mara mbili au zaidi kwa siku, Tumia deodorant ukitoka kuoga.
 
Uelewe kwanza kuwa kutoka jasho ni afya njema, ni njia ya mwili kupunguza joto. Vas nguo nyepesi za pamba, kuoga mara mbili au zaidi kwa siku, Tunis deodorant ukitoka kuoga.
Vipi kuhusu madhara yake kama ikitumiwa kwa muda mrefu haiwez kuleta shida yeyote ?

Nieleweshe tu mkuu tatizo hili linanikera sana, samahani kwa usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wa na JF

kama nilivyoeleza hapo juu nina hilo tatizo takriban mwaka wa 5 sasa hua linanitokea mara nyingi nikiwa niko kweny tension ya kufanya kitu flan au nikiwa bussy ndo mara nyingi linatokea... Sasa nimejaribu kufatilia mitandaoni lkn sijapata solution ya kueleweka coz hii hali siipendi sana ata wakati niko chuo marafiki zangu walikua wanannitania sana!

Kwaiyo naombenj ushauri wenu kwa yyte mwenye idea na hili tatizo! 🙍
 
Mkuu kama sio tatizo na kimaumbile (biological) basi hiyo ni shida ya HOFU/WASIWASI/FEAR/ANXIETY/low confidence/kutokujiamini.

linanitokea hasa nikiwa kwenye tension ya kufanya jambo fulani

Na hasa kuna mazingira yanayo fanya uwe na hiyo hali either kwenye kadamnasi/public au kwenye key point ambayo ilikuwafanya ukaathirika kisaikolojia pengine bila wewe kujua au unajua.

Kuna kitu kinaitwa Post Traumatic Stress Disorder, unaweza kuwa unaishi kwenye kumbukumbu fulani inayoleta hiyo shida.

Kwa usaidizi zaidi unaweza kunicheki.
 
Back
Top Bottom