Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

Ni mtu mjinga wa kiwango cha SGR anayeilinganisha Tanzania na hizo nchi ulizozitaja. Huoni hata aibu kujilinganisha na hizo nchi? Unajilinganishaje na nchi zinazokupa uji unywe uendelee kuishi?
 
Mimi kwa umeme nitampa lawama Magu tuu,unajua kwamba Bwawa haliishi leo wala kesho,je in case of emergency kama ukame utapata wapi umeme?
 
Ni mtu mjinga wa kiwango cha SGR anayeilinganisha Tanzania na hizo nchi ulizozitaja. Huoni hata aibu kujilinganisha na hizo nchi? Unajilinganishaje na nchi zinazokupa uji unywe uendelee kuishi?
Kwani wao walifikaje uko;unafikiri walizaliwa wakakuta nchi zao ziko hivo? walituma akili na utashi,na maamuzi magumu kujiletea maendeleo, Wewe tegemea research za wazungu uone kama utatoka,kila nchi Mungu aliwapa lasmali kuweza kumsaidia watu wake, Wewe tegemea mzungu wako uone
 
Nchi zinazoongoza kuharibu mazingira duniani ni China, Marekani, India, Urusi na Japan ila hazina mgao wa umeme wala maji.
Sisi tuna vyanzo vyote vya maji ila hatujawahi kuacha kuwa na shida ya maji, hili ni tatizo la kiakili zaidi kuliko mazingira.
Umesema kweli.Akili zetu zimelaluka kwelikweli.
 
Hivi kulazimisha ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge, miti milioni ngapi tena vile ilikatwa? Na hilo likafanyika kwa ubabe mkubwa licha ya taarifa lukuki za ongezeko kubwa la hewa ya ukaa duniani!!!! Tukiitwa "shithole country" tunavimba kama vifutu
 
RO plant kwa ajili ya desalination zipo hata zinazotumia solar power.
Hata hivyo, kuna changamoto ya gharama za ununuzi na uendeshaji mitambo hiyo kuwa kubwa kulingana na uwezo wa wananchi kununua maji.
 
Sema sasa tatizo letu ni nini? CCM imetutawala mwanzo mwisho, ina maana imeshindwa kuunda serikali ya kuyafanya hayo usemayo? Kama jibu ni ndiyo, kwanini watanzania wanaendelea kuichagua miaka na miaka?
 
Dawa ni kutafuta njia mbadala ya kuzalisha umeme! Vinginevyo tutaishia kulaumiana sisi kwa Siasa.
 
Sema sasa tatizo letu ni nini? CCM imetutawala mwanzo mwisho, ina maana imeshindwa kuunda serikali ya kuyafanya hayo usemayo? Kama jibu ni ndiyo, kwanini watanzania wanaendelea kuichagua miaka na miaka?

Hivi lini ulifanyika uchaguzi TZ?

Unaofanyika ni uchafuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…