Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
hakuna gharama yeyote.Desalination project ya kunywesha watu Milioni 7 kwa jiji kama la Dar Hakuna gharama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna gharama yeyote.Desalination project ya kunywesha watu Milioni 7 kwa jiji kama la Dar Hakuna gharama?
it's not expensive,Water desalination, very expensive
Ni mtu mjinga wa kiwango cha SGR anayeilinganisha Tanzania na hizo nchi ulizozitaja. Huoni hata aibu kujilinganisha na hizo nchi? Unajilinganishaje na nchi zinazokupa uji unywe uendelee kuishi?Kwaiyo Wewe unaona watu wakose mahali pa kuishi kisa mazingira, mbona Marekani, China,na Nchi za Ulaya hatuoni mapoli?na hatuoni shida ya maji na umeme! Wazungu wanawadanganya tu eti mtunze mapoli wakati wao wanafanya maendeleo, Sisi huku tunaambiwa kufuga mapoli uku wakiwapa viela kidogo ambavo vinaishia katika midomo ya viongozi.
Water desalination, very expensive
Mimi kwa umeme nitampa lawama Magu tuu,unajua kwamba Bwawa haliishi leo wala kesho,je in case of emergency kama ukame utapata wapi umeme?Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa
Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao
1. William Lukuvi
Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu imeshuhudia urasimishaji mkubwa sana wa Mapori ya akiba pamoja na hifadhi kuwa makazi ya watu!
Jambo hili limepelekea kuongezeka kwa kiasi kikubwa sana uharibifu wa Mazingira hasa ukataji Miti wa kutisha kwenye mapori mengi yaliyokuwa yanategemewa kuleta mvua uliofanywa na Jamii za wafugaji na wakulima hasa kwenye mikoa ya Katavi, Rukwa, Tabora, Morogoro, Pwani na kusini mwa Tanzania.
Mfano wa hili nimejionea kwenye Mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora inayoongoza kwa kuwa na Misitu mingi.
Kwenye mikoa hii kumekuwa na uvamizi sana wa maeneo yenye mapori na misitu ya asili unaofanywa na Jamii za watu wa mikoa ya kanda ya ziwa na nchi jirani za Rwanda na Burundi. Watu hawa wamekuwa wakikata miti kwenye mapori kwa Kiwango cha kutisha na hata sasa takwimu zimeanza kuonesha hivi karibuni mito iliyokuwa ikititirisha maji mwaka mzima kwenye mikoa ya Kigoma na Katavi bila kusahau Rukwa imeanza kukauka kutokana na shughuli hizi za binadamu.
Waziri Lukuvi akiwa waziri wa Ardhi badala ya kushauri Serikali watu hawa waondolewe kwenye maeneo haya na kurudishwa kwenye maeneo yao ya asili yeye amezidi kushauri serikali watu hawa kurasinishwa kwenye maeneo hayo. Hivyo tusilaumu mtu. Tatizo ni Lukuvi
2. Mawaziri wa Mazingira kuanzia Awamu ya 3, 4, 5 na huyu wa Awamu ya 6
Hii ni Kwa sababu Nchi yetu imekuwa na Mawaziri wa Mazingira kwenye Awamu zote. Ila kamwe nchi hii haijawai kuwa na kampeni kubwa ya upandaji Miti.
Kila siku watu wamekuwa wakisema juu ya ukame na ukataji mkubwa wa Miti Ila kusema kweli Mawaziri wa Mazingira hawajawai kuanzisha kampeni ya Kitaifa kubwa inayohusu upandaji miti yenye lengo la kuhakikisha nchi inakuwa na misitu mingi, mapori mengi ivyo kuwa salama dhidi ya majanga ya ukame.
Kwa Waziri wa Sasa wa Mazingira Suleiman Jaffo huyu ndo naona ameshindwa kabisa kazi yake maana hata suala la mifuko ya plastiki naona linaanza kurejea kwa kasi sana. Ukitembea kwa basi kutoka Dar kuelekea mikoani hali unayoikuta barabarani inasikitisha. Kuna mifuko mingi ya plastic na materials nyingine za plastiki zimetupwa kando ya Barabara hadi unafikia kujiuliza Kama kucontrol plastiki au usafi tu inatushinda kwa nini tuwe wa Waziri wa Mazingira au Wakuu wa Mikoa na Wilaya?
Nilikuwa Mkoani Dodoma siku si nyingi nikaona hadi Kuna vibanda vya chips vimeanza kuwafungia wateja wake chips kwenye mifuko ya plastiki. Waziri Jafo lawama zangu haziwezi kukuacha kwenye hili maana unamuangusha Mama Samia. Kama huwezi kazi sema.
Hatari ninayoiona mbeleni
1. Sasa tumeanza ona baadhi ya sehemu zinapata mgao wa maji na umeme kutokana na ukame unaosababishwa na maamuzi mabovu pamoja na usimamizi mbovu ubaofanywa na watu walioaminiwa na kupewa madaraka. Hali ikienda hivi ninaona nchi ya Tanzania ikishindwa kuzalisha umeme wa kutosha na baadae chakula cha kutosha.
Tukishindwa kuzalisha umeme wa kutosha kutokana na ukame Mradi wa Bwawa la Nyerere utaonekana rasmi kuwa mradi ulioliingizia Taifa hasara kutokana na kushindwa kuzalisha umeme uliotarajiwa pamoja na kujengwa kwa gharama kubwa.
2. Naona baadae Taifa litakuwa tegemezi na gharama za maisha kuongezeka maradufu jambo linaloweza kuleta hatari kwa kuongezeka kwa matukio ya uhalifu kutokana na nchi kuanza kuwa tegemezi kwenye nishati na chakula!
Tuchukue hatua sasa
Kwani wao walifikaje uko;unafikiri walizaliwa wakakuta nchi zao ziko hivo? walituma akili na utashi,na maamuzi magumu kujiletea maendeleo, Wewe tegemea research za wazungu uone kama utatoka,kila nchi Mungu aliwapa lasmali kuweza kumsaidia watu wake, Wewe tegemea mzungu wako uoneNi mtu mjinga wa kiwango cha SGR anayeilinganisha Tanzania na hizo nchi ulizozitaja. Huoni hata aibu kujilinganisha na hizo nchi? Unajilinganishaje na nchi zinazokupa uji unywe uendelee kuishi?
Umesema kweli.Akili zetu zimelaluka kwelikweli.Nchi zinazoongoza kuharibu mazingira duniani ni China, Marekani, India, Urusi na Japan ila hazina mgao wa umeme wala maji.
Sisi tuna vyanzo vyote vya maji ila hatujawahi kuacha kuwa na shida ya maji, hili ni tatizo la kiakili zaidi kuliko mazingira.
Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa
Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao
1. William Lukuvi
Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu imeshuhudia urasimishaji mkubwa sana wa Mapori ya akiba pamoja na hifadhi kuwa makazi ya watu!
Jambo hili limepelekea kuongezeka kwa kiasi kikubwa sana uharibifu wa Mazingira hasa ukataji Miti wa kutisha kwenye mapori mengi yaliyokuwa yanategemewa kuleta mvua uliofanywa na Jamii za wafugaji na wakulima hasa kwenye mikoa ya Katavi, Rukwa, Tabora, Morogoro, Pwani na kusini mwa Tanzania.
Mfano wa hili nimejionea kwenye Mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora inayoongoza kwa kuwa na Misitu mingi.
Kwenye mikoa hii kumekuwa na uvamizi sana wa maeneo yenye mapori na misitu ya asili unaofanywa na Jamii za watu wa mikoa ya kanda ya ziwa na nchi jirani za Rwanda na Burundi. Watu hawa wamekuwa wakikata miti kwenye mapori kwa Kiwango cha kutisha na hata sasa takwimu zimeanza kuonesha hivi karibuni mito iliyokuwa ikititirisha maji mwaka mzima kwenye mikoa ya Kigoma na Katavi bila kusahau Rukwa imeanza kukauka kutokana na shughuli hizi za binadamu.
Waziri Lukuvi akiwa waziri wa Ardhi badala ya kushauri Serikali watu hawa waondolewe kwenye maeneo haya na kurudishwa kwenye maeneo yao ya asili yeye amezidi kushauri serikali watu hawa kurasinishwa kwenye maeneo hayo. Hivyo tusilaumu mtu. Tatizo ni Lukuvi
2. Mawaziri wa Mazingira kuanzia Awamu ya 3, 4, 5 na huyu wa Awamu ya 6
Hii ni Kwa sababu Nchi yetu imekuwa na Mawaziri wa Mazingira kwenye Awamu zote. Ila kamwe nchi hii haijawai kuwa na kampeni kubwa ya upandaji Miti.
Kila siku watu wamekuwa wakisema juu ya ukame na ukataji mkubwa wa Miti Ila kusema kweli Mawaziri wa Mazingira hawajawai kuanzisha kampeni ya Kitaifa kubwa inayohusu upandaji miti yenye lengo la kuhakikisha nchi inakuwa na misitu mingi, mapori mengi ivyo kuwa salama dhidi ya majanga ya ukame.
Kwa Waziri wa Sasa wa Mazingira Suleiman Jaffo huyu ndo naona ameshindwa kabisa kazi yake maana hata suala la mifuko ya plastiki naona linaanza kurejea kwa kasi sana. Ukitembea kwa basi kutoka Dar kuelekea mikoani hali unayoikuta barabarani inasikitisha. Kuna mifuko mingi ya plastic na materials nyingine za plastiki zimetupwa kando ya Barabara hadi unafikia kujiuliza Kama kucontrol plastiki au usafi tu inatushinda kwa nini tuwe wa Waziri wa Mazingira au Wakuu wa Mikoa na Wilaya?
Nilikuwa Mkoani Dodoma siku si nyingi nikaona hadi Kuna vibanda vya chips vimeanza kuwafungia wateja wake chips kwenye mifuko ya plastiki. Waziri Jafo lawama zangu haziwezi kukuacha kwenye hili maana unamuangusha Mama Samia. Kama huwezi kazi sema.
Hatari ninayoiona mbeleni
1. Sasa tumeanza ona baadhi ya sehemu zinapata mgao wa maji na umeme kutokana na ukame unaosababishwa na maamuzi mabovu pamoja na usimamizi mbovu ubaofanywa na watu walioaminiwa na kupewa madaraka. Hali ikienda hivi ninaona nchi ya Tanzania ikishindwa kuzalisha umeme wa kutosha na baadae chakula cha kutosha.
Tukishindwa kuzalisha umeme wa kutosha kutokana na ukame Mradi wa Bwawa la Nyerere utaonekana rasmi kuwa mradi ulioliingizia Taifa hasara kutokana na kushindwa kuzalisha umeme uliotarajiwa pamoja na kujengwa kwa gharama kubwa.
2. Naona baadae Taifa litakuwa tegemezi na gharama za maisha kuongezeka maradufu jambo linaloweza kuleta hatari kwa kuongezeka kwa matukio ya uhalifu kutokana na nchi kuanza kuwa tegemezi kwenye nishati na chakula!
Tuchukue hatua sasa
RO plant kwa ajili ya desalination zipo hata zinazotumia solar power.Kwenye maji wanatumia teknolojia inaitwa desalination. Ni teknolojia ya kusafisha maji chumvi hasa ya Bahari Kwa matumizi ya kunywa. Hii inatumika Israël, Saudia, Qatar, Kuwait na Dubai.
Ni teknolojia aghali sana inayohitaji fedha nyingi sana. Swali ni Je sisi tutaiweza na hali yetu ya kiuchumi?
Sema sasa tatizo letu ni nini? CCM imetutawala mwanzo mwisho, ina maana imeshindwa kuunda serikali ya kuyafanya hayo usemayo? Kama jibu ni ndiyo, kwanini watanzania wanaendelea kuichagua miaka na miaka?Kwani wao walifikaje uko;unafikiri walizaliwa wakakuta nchi zao ziko hivo? walituma akili na utashi,na maamuzi magumu kujiletea maendeleo, Wewe tegemea research za wazungu uone kama utatoka,kila nchi Mungu aliwapa lasmali kuweza kumsaidia watu wake, Wewe tegemea mzungu wako uone
Sema sasa tatizo letu ni nini? CCM imetutawala mwanzo mwisho, ina maana imeshindwa kuunda serikali ya kuyafanya hayo usemayo? Kama jibu ni ndiyo, kwanini watanzania wanaendelea kuichagua miaka na miaka?
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Hivi lini ulifanyika uchaguzi TZ?
Unaofanyika ni uchafuzi