mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
CSOM - chronic supurative otitis media.
see ENT specialist kwa utaalam na matibabu zaidi. muhimbili kuna dk. kimario
see ENT specialist kwa utaalam na matibabu zaidi. muhimbili kuna dk. kimario
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata exposure kwenye kelele ambazo zinazidi kiwango kinachotakiwa (dBA 85). Ukiondoka kwenye kelele unapata nafuu lakini unasikia kelele kwenye masikio (google tinnitus ujisomee zaidi).
unahitaji kupimwa masikio na uwezo wako wa kusikia kwa sababu hiyo ni dalili ya kuathiriwa na kelele. Kama uko tanzania, nitumie PM nikuelekeze mahali utakapopata msaada kwa gharama nafuu, japokuwa jama umeajiriwa basi mwajiri wako atalazimika kulipia gharama za matibabu yako na vipimo. Fikiria kubadilisha kazi pia kama umejiajiri
Hiyo inaitwa Tinnitus kizungu na ni ugonjwa usiokuwa na tiba, mimi ninao ni sauti ambayo naisikia sikio la kulia tu inatokana na mambo mengi kwa kila mtu, inakera sana wakati mwingine unakosa raha kabisa wengine huwa ni wax imezidi na wengine ni blood pressure, au ngoma ya sikio imeharibika au kuwa na tundu dogo kwa uelewa mzuri jaribu Ku Google (Tinnitus
habari ,
Nna matatizo na sikio langu la kushoto tangu nipo mdg, niipima n kupewa "hearing aid" bt nkashndwa kuitumia kwa mda mrefu maana nilkua naskia saut kuubwaa ad kichwa kinauma,,, so nkaamua kuvaa darasan af nikitoka navua .
Tatizo langu ss lmezd kdg,yan sikio la kulia pia lnauma istoshe nackia saut za ""zyiiiiiiiiiiiiii"" , nijuavo mimi ,hii hali ya kupata hii saut maskion huitwa TITTUNIS .Mnisadie ni vip naeza kupona hii hali n pia ka kuna uwezekano wa kupata matibabu ili nipone n kuweza kusikia vzr kama wenzangu.
MziziMkavu tunaomba msaada tafadhalihabari ,