Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

CSOM - chronic supurative otitis media.
see ENT specialist kwa utaalam na matibabu zaidi. muhimbili kuna dk. kimario
 
Wakuu, huwa ninapata au kusikia sauti fulani masikioni mwangu si muda wote lakini, ila kwa sasa zimezidi. Kuna sauti naweza kusema kama filimbi lakini zenye mlio mdogo zinakuwa kama zinapuliza feeeeeee.

Nafikiri wapo pia wanaofahamu hili kwani watu huwa wanasema ukisikia hivyo basi kuna watu wanakusema, ni common sana kusikia watu wakisema hivyo. sasa kinachonishangaza ni jinsi ambavyo zimezidi kwa hivi sasa hasa tangu mwaka jana nilipoamua kujikabidhi kwa Mungu na kuanza kuwa mtu wa maombi sana. (mimi ni mkristo).

Kinachonishangaza ni pale ninapokuwa ninaomba au ninapojiandaa kusema ngoja sasa niombe, basi ghafla nasikia masikio yakianza kufanya hivyo na inaweza kuchukua dk kadhaa. Mara nyingine huwa mpaka nahisi kama masikio yanakuwa mazito. Je kuna mwenye uzoefu hii inaweza ikawa inasababishwa na nini?
 
Kuna ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia una dalili kama hizo nenda hosipitali yako ya wilaya wakuandikie rufaa uende kwenye hosipitali yako ya rufaa ya mkoa husika ukawaone wataalamu wa magonjwa ya akili kabla hali haijakuwa mbaya pole ila wahi matibabu.
 
Uzima wako uko ndani yako.kataa hizo sauti.kifikra hata zinapotokea.kemea kwa Imani timilifu pindi zinzpotokea.
 
Unapata exposure kwenye kelele ambazo zinazidi kiwango kinachotakiwa (dBA 85). Ukiondoka kwenye kelele unapata nafuu lakini unasikia kelele kwenye masikio (google tinnitus ujisomee zaidi).

unahitaji kupimwa masikio na uwezo wako wa kusikia kwa sababu hiyo ni dalili ya kuathiriwa na kelele. Kama uko tanzania, nitumie PM nikuelekeze mahali utakapopata msaada kwa gharama nafuu, japokuwa jama umeajiriwa basi mwajiri wako atalazimika kulipia gharama za matibabu yako na vipimo. Fikiria kubadilisha kazi pia kama umejiajiri
 
Hebu kuwa mtulivu, punguza sauti ya radio au tv yako....
 
Umemshauri vizuri mimi nina matatizo ya kusikia na hizo kelele kuna muda huwa nazisikia sana hasa nikitulia.
Unapata exposure kwenye kelele ambazo zinazidi kiwango kinachotakiwa (dBA 85). Ukiondoka kwenye kelele unapata nafuu lakini unasikia kelele kwenye masikio (google tinnitus ujisomee zaidi).

unahitaji kupimwa masikio na uwezo wako wa kusikia kwa sababu hiyo ni dalili ya kuathiriwa na kelele. Kama uko tanzania, nitumie PM nikuelekeze mahali utakapopata msaada kwa gharama nafuu, japokuwa jama umeajiriwa basi mwajiri wako atalazimika kulipia gharama za matibabu yako na vipimo. Fikiria kubadilisha kazi pia kama umejiajiri
 
Hiyo inaitwa Tinnitus kizungu na ni ugonjwa usiokuwa na tiba, mimi ninao ni sauti ambayo naisikia sikio la kulia tu inatokana na mambo mengi kwa kila mtu, inakera sana wakati mwingine unakosa raha kabisa wengine huwa ni wax imezidi na wengine ni blood pressure, au ngoma ya sikio imeharibika au kuwa na tundu dogo kwa uelewa mzuri jaribu Ku Google (Tinnitus.
 
Uchafu wa masikio wa muda mrefu ( nta) inaweza kuwa sababu ya hali hiyo. tafadhali pata ushauri wa daktari.
 
Hiyo inaitwa Tinnitus kizungu na ni ugonjwa usiokuwa na tiba, mimi ninao ni sauti ambayo naisikia sikio la kulia tu inatokana na mambo mengi kwa kila mtu, inakera sana wakati mwingine unakosa raha kabisa wengine huwa ni wax imezidi na wengine ni blood pressure, au ngoma ya sikio imeharibika au kuwa na tundu dogo kwa uelewa mzuri jaribu Ku Google (Tinnitus

Asante mkuu wacha ni google nione.
 
Yaweza kuwa ni dalili ya ukiziwi mkuu hivyo ni bora ukaanza kujifunza . L. A. T(. Lugha ya alama ya . Tanzania) ukihitaji kujifunza kwa faida yako hii lugha ni pm.
 
habari ,

Nina matatizo na sikio langu la kushoto tangu nipo mdg, niipima n kupewa "hearing aid" bt nkashndwa kuitumia kwa mda mrefu maana nilkua naskia saut kuubwaa ad kichwa kinauma,,, so nkaamua kuvaa darasan af nikitoka navua.

Tatizo langu ss lmezd kdg,yan sikio la kulia pia lnauma istoshe nackia saut za ""zyiiiiiiiiiiiiii"" , nijuavo mimi ,hii hali ya kupata hii saut maskion huitwa TITTUNIS .Mnisadie ni vip naeza kupona hii hali n pia ka kuna uwezekano wa kupata matibabu ili nipone n kuweza kusikia vzr kama wenzangu.
 
habari ,
Nna matatizo na sikio langu la kushoto tangu nipo mdg, niipima n kupewa "hearing aid" bt nkashndwa kuitumia kwa mda mrefu maana nilkua naskia saut kuubwaa ad kichwa kinauma,,, so nkaamua kuvaa darasan af nikitoka navua .

Pole san dada angu hebu mcheki Mzizi mkavu anaweza kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
habari ,
Nna matatizo na sikio langu la kushoto tangu nipo mdg, niipima n kupewa "hearing aid" bt nkashndwa kuitumia kwa mda mrefu maana nilkua naskia saut kuubwaa ad kichwa kinauma,,, so nkaamua kuvaa darasan af nikitoka navua .
Tatizo langu ss lmezd kdg,yan sikio la kulia pia lnauma istoshe nackia saut za ""zyiiiiiiiiiiiiii"" , nijuavo mimi ,hii hali ya kupata hii saut maskion huitwa TITTUNIS .Mnisadie ni vip naeza kupona hii hali n pia ka kuna uwezekano wa kupata matibabu ili nipone n kuweza kusikia vzr kama wenzangu.
MziziMkavu tunaomba msaada tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom