Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Pole sana, chuma majani ya mgagani yafikiche na yakishalainika weka matone ya maji kidogo. Changanya thn dondshea matone mawili sikioni. Ila yatatokea maumivu kiasi usijali.
 
Dawa nzuri isiyo na maumivu ni mafuta ya kuku wa kienyeji. Chemsha nyama ya kuku engua mafuta weka matone matatu kila asubuhi na usiku kwa siku 3. Utanitafuta najua
 
Pole sana, chuma majani ya mgagani yafikiche na yakishalainika weka matone ya maji kidogo. Changanya thn dondshea matone mawili sikioni. Ila yatatokea maumivu kiasi usijali.
Nashukuru kwa ushauri wako ndugu,majani ya mgagani naweza yapata wapi kama unaweza kunisaidia nitashukuru.
 
Dawa nzuri isiyo na maumivu ni mafuta ya kuku wa kienyeji. Chemsha nyama ya kuku engua mafuta weka matone matatu kila asubuhi na usiku kwa siku 3. Utanitafuta najua
Asante nitafanyia kazi ushauri wako,sitaacha kuleta feedback.Ubarikiwe.
 
Ni otitis media nenda kapate dawa..as no 1 cause ya otlagia
 
Habari wana jf,mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 26,mwaka 2012 mwezi wa tano niliumwa sikio sana kiasi kwamba ukipita upepo kwangu ni maumivu.Nikaenda hospitali wakaniambia uchafu umejaa,wananisafisha,nikapona kabisa..Mwaka jana desemba likauma sikio la kushoto mana la mwanzo lilikuwa la kulia,maumivu na dalili zilzile,nikaenda hospitali tofauti na ya mwanzo,pia wakaniambia ni uchafu umejaa,nikauliza chanzo ni nini wakaniambia inatokea tu.Basi nikasafishwa nikapona,sasa tangu juzi limenianza la kushoto tena,linaniuma kwelikweli,tayari nimeshawaza kwamba utakuwa ni uchafu tu.Jamani mwenye kujua jinsi ya kuzuia uchafu usiingie sikioni naomba aniambie ili niepukane na hii adhabu.asanteni.

Pole, usisumbuke na sikio, nenda ukacheki meno yako esp meno ya magigo. Hilo siyo tatizo la masikio utakuwa na meno yametoboka. Pole sana kwa kudanganywa na watalaamu. Nina uhakika ya hiki nilichoandika!!

Tena uende ucheki mapema kwani infection ya meno kutoboka isije fika kwenye ubongo. Tafuta mtalasm mzuri wa meno kwa dar pale kariakoo yupo jamaa mmoja hospital ya AAR ni mzuri sana ingawa sina hakika kama bado yupo, otherwise kuepuka complications za meno unaweza meza antibiotic before kwenda kuong'oa. All the best!
 
Jamani wengine wenye kujua madawa mtujuze,maana mie ndio nimegongewa chumbani masaa mawiili yaliopita na mwanangu analalamika sikio linamuuma vibaya mpaka sasa hatujalala ingawa anaanza kupata kausingizi nimempa Panadol ili imsaidie kupunguza maumivu.
 
Habari wana jf,mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 26,mwaka 2012 mwezi wa tano niliumwa sikio sana kiasi kwamba ukipita upepo kwangu ni maumivu.Nikaenda hospitali wakaniambia uchafu umejaa,wananisafisha,nikapona kabisa..Mwaka jana desemba likauma sikio la kushoto mana la mwanzo lilikuwa la kulia,maumivu na dalili zilzile,nikaenda hospitali tofauti na ya mwanzo,pia wakaniambia ni uchafu umejaa,nikauliza chanzo ni nini wakaniambia inatokea tu.Basi nikasafishwa nikapona,sasa tangu juzi limenianza la kushoto tena,linaniuma kwelikweli,tayari nimeshawaza kwamba utakuwa ni uchafu tu.Jamani mwenye kujua jinsi ya kuzuia uchafu usiingie sikioni naomba aniambie ili niepukane na hii adhabu.asanteni.

Nenda sehemu moja pale magomeni dsm kuna daktar bingwa wa masikio anaitwa dr.OLE katka hospital inaitwa EKENYWA ENT.MEDICAL SURGEON,mimi nilisumbuliwa kwa mwka mmoja lakini alinitibu na ss ni mwaka m1 cjawah pata hata dalili tu,haZo tba Zengn zlizosemwa hapo nilikuw nimejaribu na zilifeli
 
Pole Sana! Chukua Majan Ya Mmea Wa Mbaazi, Ponda,kamulia Matone Matatu Kwenye Sikio.
 
Kama kwa mganga yaani, kila mtu ana jibu lake.

nenda hospital, muulize dr vizuri why inakutokea na ikibidi upigwe bomba tena.
 
Hata mimi nilishawahi kuumwa ugonjwa wa masikio kuna vitu vilikuwa kama vinaziba masikioni na nilikuwa nahisi mingurumo.Lakini baada ya muda mrefu kiasi yakazibuka yenyewe na sasa hivi sihisi mingurumo yoyote.
 
Kitunguu saum pia ni dawa nzuri,saga weka kwenye kitambaa halafu kamulia sikioni uaweza pia ukakaanga kwenye mafuta halafu mafuta hayo utie matone kwenye sikio,ingawa bila kukaanga unapata maumivu lkn ndo tiba nzuri.
 
Wakuu niliwahi kuomba ushauri humu wa tatizo masikio kutoweza kusikia vizuri, sasa nimesikia kuna Dr. anayeshughulia hilo tatizo yupo Magomeni.

Sasa nimepanga kwenda ila sijafahamu hospital yenyewe ilipo na gharama za kumuona pamoja na tiba.

Kwa wale waliowahi kupata huduma au waliokuwa na tatizo kama langu naomba mnipe ushauri, maana kuna wanaosema kwamba masikio yanaweza kuziba ama uchafu pia husabisha kutosikia vizuri.

Nipeni ushauri wa jinsi ya kupata huduma ya kitabibu inayoendana na tatizo.
 
Huyo jamaa yupo Mwebe Chai niliwahi kwenda ila imekua miaka mingi sasa ila ukifika hapo utapata taarifa kamili sio mbali kutoka barabara ya Morogoro kwa upande wa kushoto kama unatokea mjini
 
Unfortunately huyo daktari wa magomeni amefariki hivi karibuni.

Hata hivyo nenda ukacheck, wanaweza kufahamu jinsi ya kukusaidia.

Magomeni ni kati ya Kagera na Mapipa upande wa kushoto kama unaelekea Kariakoo.
 
Ni kweli Dr. Ole amefariki ila pale kuna mwanaye anafanya kazi hizo za E.N.T. Na mara nyingi alikuwa anazifanya kwa kuwa baba yake alishakuwa mtu mzima na magonjwa ya uzeeni. R.I.P Dr. Ole.

Hivyo mdau ukifika Mwembe Chai ile njia ya marehemu Shekhe Yahya ulizia hospital ya Dr. Ole ya masikio watakuonesha, huwezi potea kabisa ni rahisi kufika. Nilifika pale miaka zaidi ya kumi imeshapita ila hospitali iko pale pale na tiba nzuri pia.
 
Unfortunately huyo daktari wa magomeni amefariki hivi karibuni.

Hata hivyo nenda ukacheck, wanaweza kufahamu jinsi ya kukusaidia.

Magomeni ni kati ya Kagera na Mapipa upande wa kushoto kama unaelekea Kariakoo.

Asante mkuu, vipi kwani alikuwa mwenyewe tu kwa kutibu hili tatizo au kuna Madokta wengine hapohapo?
 
Huyo jamaa yupo mwebe chai niliwahi kwenda ila imekua miaka mingi sasa ila ukifika hapo utapata taarifa kamili sio mbali kutoka barabara ya morogoro kwa upande wa kushoto kama unatokea mjini

Unaweza kuniambia jinsi ulivyopata huduma? yaani alikutibu kwa namna gani?
 
Back
Top Bottom