IKUGHA1964
Member
- Mar 14, 2014
- 17
- 6
Pole sana, chuma majani ya mgagani yafikiche na yakishalainika weka matone ya maji kidogo. Changanya thn dondshea matone mawili sikioni. Ila yatatokea maumivu kiasi usijali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa ushauri wako ndugu,majani ya mgagani naweza yapata wapi kama unaweza kunisaidia nitashukuru.Pole sana, chuma majani ya mgagani yafikiche na yakishalainika weka matone ya maji kidogo. Changanya thn dondshea matone mawili sikioni. Ila yatatokea maumivu kiasi usijali.
Asante nitafanyia kazi ushauri wako,sitaacha kuleta feedback.Ubarikiwe.Dawa nzuri isiyo na maumivu ni mafuta ya kuku wa kienyeji. Chemsha nyama ya kuku engua mafuta weka matone matatu kila asubuhi na usiku kwa siku 3. Utanitafuta najua
Habari wana jf,mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 26,mwaka 2012 mwezi wa tano niliumwa sikio sana kiasi kwamba ukipita upepo kwangu ni maumivu.Nikaenda hospitali wakaniambia uchafu umejaa,wananisafisha,nikapona kabisa..Mwaka jana desemba likauma sikio la kushoto mana la mwanzo lilikuwa la kulia,maumivu na dalili zilzile,nikaenda hospitali tofauti na ya mwanzo,pia wakaniambia ni uchafu umejaa,nikauliza chanzo ni nini wakaniambia inatokea tu.Basi nikasafishwa nikapona,sasa tangu juzi limenianza la kushoto tena,linaniuma kwelikweli,tayari nimeshawaza kwamba utakuwa ni uchafu tu.Jamani mwenye kujua jinsi ya kuzuia uchafu usiingie sikioni naomba aniambie ili niepukane na hii adhabu.asanteni.

Unfortunately huyo daktari wa magomeni amefariki hivi karibuni.
Hata hivyo nenda ukacheck, wanaweza kufahamu jinsi ya kukusaidia.
Magomeni ni kati ya Kagera na Mapipa upande wa kushoto kama unaelekea Kariakoo.

Huyo jamaa yupo mwebe chai niliwahi kwenda ila imekua miaka mingi sasa ila ukifika hapo utapata taarifa kamili sio mbali kutoka barabara ya morogoro kwa upande wa kushoto kama unatokea mjini