Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Ndg zangu habari za jioni? Naombeni dawa ya kutibu miguu yangu inapelekea hadi kiuno kuuma na mwili kuchoka, takribani miaka kumi sasa, nimeenda kila hospital bila mafanikio. Mzizi Mkavu na wenye uzoefu nisaidieni.

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO MIGUU NA MIKONO KUFA GANZI

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

Nina kuuliza Swali je una uzito wa mwili kilo ngapi? Una miaka mingapi? umeowa au umeolewa?

Unao ugonjwa wa kisukari? unao ugonjwa wa Maradhi ya Presha? Kapime huenda una Ukosefu

wa Kupungua kwa virutubisho Mwilini? Ukipata majibu wasiliana na mimi kwa Private messege

au niandikie Email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Samahani mkuu una umri gani kunasehemu najaribu kukutaftia solution.
 
Miguu kuwaka moto,maumivu makali kwenye nyayo na mikono/miguu kufaganzi ni matatzo yanayowasumbua watu wengisana. Matatizo hayo yanaweza kusababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili(miguuni/mikononi pembezoni)hivyo kupelekea kupotea kwa uwezo wa neva za sehemu hizo kufanya kazi.

Pia miguu kuwaka moto na kufaganzi ni dalili ya magonjwa kama vile kisukari,preassure,maumivu ya tumbo/vidonda vya tumbo,upungufu wa virutubisho mwilini n.k.pia matumizi holela ya madawa huchangia kusababisha tatizohilo,Kama unasumbuka na kuteseka kwa tatzo hilo umepona.

Nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu na kuondoa tatzohilo kwa mdawa wa wikimbili(2)tu,ndani ya mda wa sikumbili ukianza kutumia dawa hii hatakama miguu na nyayo zilikuwa zinauma na kuwaka moto,miguu itatulia na nyayo zitatulia,maumivu yote yataisha,ni dawa ya kunywa na kupaka,na baada ya dozi utakuwa safikabisa.kama unaitaji ntafute 0759217720.
 
Kama nilivyoeleza hapo kwenye heading, tatizo limenianza kama miezi miwili au mitatu sasa ila kwa sasa naona kama imezidi, yaani hata nikivaa ndala hadi niiweke na mkono, sijaenda hospital ila nnatumia vidonge NEUROBION, kwahiyo naomba kujuzwa tatizo hili linatokana na nini? je linahusiana na malaria? maana nna malaria.
 
una ugonjwa ambao kitaalam unaitwa 'peripheral neuropathy'. Mishipa yako ya fahamu imeharibika; kuna sababu nyingi za ugonjwa huu. Pata elimu kidogo hapa chini kuhusu ugonjwa huo.
Peripheral Neuropathy

Peripheral neuropathy is a common condition that causes sensory loss, pain, weakness and numbness, in the hands and feet. The condition can affect other areas of the body too.

What is Peripheral Neuropathy?

The numbness, tingling, loss of sensation, and weakness of the hands and feet is called as peripheral neuropathy. It is caused by the damage of a single or multiple nerves in the affected limb or body part. These nerves connect your brain and spinal cord to the muscles, skin and other organs. Any damage to these nerves can result in losing the ability to feel pain, hot or cold sensations. Thus, people with peripheral neuropathy often complain of loss or abnormal sensation in their fingers, hands, toes and feet. A few people also have problems moving their limbs as well.

What Causes Peripheral Neuropathy?

The main cause of peripheral neuropathy in most cases is diabetes. People with diabetes suffer from nerve damage that lead to damage of the sensory nerves that helps one feel sensations, motor nerves that helps give the muscles strength and tone, autonomic nerves that helps with involuntary functions such as sweating. It is not necessary people with high diabetes suffer from peripheral neuropathy. It may even occur in people with controlled blood sugar levels.
There are other causes of peripheral neuropathy. These include:
Use of drugs, especially chemotherapy drugs
Advanced age
Cancer
Certain types of arthritic conditions
Long term heavy alcohol use
Underlying neurological disorders such as fibromyalgia, spina bifida, etc.
Severe injury of the peripheral nerves, due to an accident
Underlying inflammatory diseases such as systemic lupus erythematosis, multiple sclerosis, sarcoidosis
Vitamin B12, vitamin A, vitamin E, vitamin B1 deficiency
Electric shock can lead to loss of nerve sensation
Shingles
HIV
Genetic diseases such as Charcot-Marie-Tooth disease, etc.
Use of toxic drugs such as ethyl alcohol, statins, organic metals, heavy metals, etc.

What are the Symptoms of Peripheral Neuropathy?

The symptoms of neuropathy tend to vary in individuals. Some of the signs and symptoms include:
Numbness and tingling that slowly develops over in feet or hands.
The numbness gradually starts moving upwards in the legs and arms
Burning sensation in the affected part
Sharp, jabbing pain
Sensitivity to slightest touch
Changes in the color, texture and appearance of the hair, skin or nail
Changes in blood pressure
Heat intolerance
Muscle weakness
Loss of coordination
Bowel problems, digestive problems in case of damage to the autonomic nerves
The condition can affect a different number of nerves. This leads to different types of neuropathy, that includes:
Mononeuropathy (single nerve affected)
Multiple mononeuropathy (two or more nerves in different body areas affected)
Polyneuropathy (multiple nerves affected)

Diagnosis of Peripheral Neuropathy

As peripheral neuropathy is not a condition in itself, but a symptom of various other conditions, it is very difficult to diagnose. Thus, the doctor will conduct a physical examination, neurological examination and note your medical history.
Some of the tests for diagnosis peripheral neuropathy include:
Blood tests to check for thyroid, liver, kidney function
Electromyography to check for nerve function test
Skin biopsy
Lumbar puncture to check for diseases
Nerve biopsy

Treatment for Peripheral Neuropathy

Some types of peripheral neuropathy are curable. A few remain incurable. The treatment usually aims at curing the underlying disease.

This includes:
Use of medications such as NSAIDs, anti-seizure medications
Immunosuppressive drugs
Capsaicin that helps in improving the symptoms of neuropathy
Antidepressants

A therapy called the transcutaneous electrical nerve stimulation (TENS) helps in reducing the symptoms of neuropathy. Infrared therapy is another such procedure that helps in improving the sensation of the feet.
The prognosis for peripheral neuropathy depends on the extent of the damage to the nerves. In most cases, the underlying cause such as diabetes, if controlled, helps get rid f the symptoms of neuropathy. If left untreated, it may progress to diabetic foot, that requires amputation.

If one experiences constant pain, numbness, tingling and loss of sensation, they should speak to their doctor. It is important to control the symptoms of peripheral neuropathy to prevent complications such as an infection or complete loss of sensation in the affected part.
 
Kama nilivyoeleza hapo kwenye heading, tatizo limenianza kama miezi miwili au mitatu sasa ila kwa sasa naona kama imezidi, yaani hata nikivaa ndala hadi niiweke na mkono, sijaenda hospital ila nnatumia vidonge NEUROBION, kwahiyo naomba kujuzwa tatizo hili linatokana na nini? je linahusiana na malaria? maana nna malaria.

TATIZO LA MIGUU/MIKONO KUFA GANZI

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

USHAURI WANGU:
Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda. Achana na kula Ma Vidonge pasipo na Ushauri wa Daktari Nenda kamuone Daktari akutibie ukishindwa kupona hospitalini nione mimi nitaweza kukupa Dawa zangu
 
Kwa nini unaumwa na hauendi hospitali? Nenda ukafanyiwe vipimo, inaweza kuwa dalili ya mwanzo ya kisukari.
 
Anayejua dawa ya kuondoa gazi ya mkono

TATIZO LA MIGUU/MIKONO KUFA GANZI :

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda.

Dawa ya miguu na mikono kufa ganzi Dawa ya Tiba Mbadala:
Kitunguu maji.Kitunguu kinaweza kutbu magonjwa yafuatayo;kisukari,Bp,viungo kufa ganzi,wakina mama wanaotaabika na matatizo ya hedhi.

Matumizi yake: Ni unatakiwa uchukue kitunguu maji Chekundu 1 kikubwa halafu ukatekate kiasi cha kikombe 1 cha chai na uvitafune vipande vyote kila asubuh tena inafaa ukiongezea nyanya,pilipili na ndimu ikawa ndio kachumbari kwa muda wa wiki 1 inshaallah utaona mabadiliko katika mwili wako.

Dawa ya pili ya Miguu na mikono kufa ganzi:
Tafuta Vidonge vya Vitamin B12 uwe unakula kila siku kidonge kimoja baada ya kwisha kula chakula.

Dawa ya Tatu :
Nenda kapime Hospitali mkojo au damu yako ili kuhakikisha huan ugonjwa wa kisukari au maradhi ya Presha. tumia hizo dawa kisha uje unipe Feedback.@njiti kinyemela
 
Attachments

  • kitunguuu.jpg
    kitunguuu.jpg
    51.3 KB · Views: 230
  • hand_carpal_tunnel_symptoms01.jpg
    hand_carpal_tunnel_symptoms01.jpg
    13.5 KB · Views: 164
  • handtingling.jpg
    handtingling.jpg
    18.7 KB · Views: 170
  • photos.demandstudios.com-getty-article-62-165-stk79557cor_XS.jpg
    photos.demandstudios.com-getty-article-62-165-stk79557cor_XS.jpg
    10.4 KB · Views: 166
Samahani wakuu naomba kuuliza nina tatizo la miguu kuwaka moto [kuuma]je hili tatzo linasababishwa na nini?
 
Husababishwa na 'GOUT' au RHEUMATISM' ya kwanza inatibika kwa kupunguza uric acid damuni, ya pili inapoozeka haina tiba
 
Samahani wakuu naomba kuuliza nina tatizo la miguu kuwaka moto [kuuma]je hili tatzo linasababishwa na nini?

TATIZO LA MIGUU/MIKONO KUFA GANZI AU KUWAKA MOTO:

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu,

Fanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga mboga na matunda.

DAWA YA MIGUU KUWAKA MOTO TIBA MBADALA FANYA HIVI:

kwa mtu ambae mwili wake una waka moto chukua rawanda na kazbara hindi twanga

chemsha kunywa kwani hizo ni balghami itaondoka haaraka kunywa glasi 2 kwa siku

muda wa siku 7 tu hakikisha umekula chakula usinywe dawa kabla hujala chakula ni

khatari.@
UGORO87
 
Mkuu MziziMkavu hapo kwenye red kuna tatizo Rwanda nchi au mmea ?.Kazbara hindi ndiyo nini unajua si twatoka huku bara mambo mengi ya Pwani hatuna uzoefu nayo.

kwa mtu ambae mwili wake una waka moto chukua
rawanda na kazbara hindi twanga
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu hapo kwenye red kuna tatizo Rwanda nchi au mmea ?.Kazbara hindi ndiyo nini unajua si twatoka huku bara mambo mengi ya Pwani hatuna uzoefu nayo.

kwa mtu ambae mwili wake una waka moto chukua
Rawanda na kuzbara hindi twanga
Mkuu Ngongo hii Rawanda na Kuzbara hindi ni dawa zinazo patikana kwenye maduka ya dawa za kisuna nenda kaulize utapata hizo hizo. Kuna Tofauti kati ya Rwanda na Rawanda Mkuu. Rwanda ni nchi na Rawanda ni dawa.

attachment.php

Kwa lugha ya kiarabu Kuzbara kwa lugha ya kiswahili (Gilgilani) kwa lugha ya kiingereza inaitwa Coriander Seeds
 
Attachments

  • kuzabara.jpg
    kuzabara.jpg
    87.1 KB · Views: 4,440
mi nilipata ajali nilivunjika mguu pajani nmefanyiwa operation ya kuwekwa antenna but ganzi inanisumbua sana napata maumivu msaada
 
Back
Top Bottom