kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
- Thread starter
-
- #21
Kwa upande wako wewe unashauri serikali ifanye nini ili iondoe au ipunguze hiyo kadhia ya wanafunzi kupewa mimba?
Amin amin nakwambia ukiona tunda limeliwa ujue lishaiva ya nini uteseke
Wa
Wanaume badilikeni acheni kutembea na wanafunzi. Solution ndio hiyo hakuna nyingine.
Hili tatizo halitaisha milele.
Usishangae. Probably hata yeye alilawitiwa akiwa ana umri mdogo ndio maana anaonesha tabia za ajabu za kingono as a traumatic effect!Mkuu tunda la mwanafunzi wa primary au secondary linaivaje? hebu chukulia hilo tunda ni mwanao au mdogo wako. Hivi jamii yetu inaelekea wapi kwa fikra kama hizi zako?
Uswahilini vitoto vingi miaka 14 hadi 16 inatiana sana na vinatoa sana mimba na vingine vinagawa nyuma....
Wanafunzi wote wa kike wachomwe sindano maalumu ya kuchelewesha balehe kwa miaka 10 mbele. Yani mtoto wa kike abelehe akiwa na umri wa miaka 20. Namuomba mkuu wa nchi asimamie hili jambo kama alivyopambana kusimamia Tanzania ya viwanda. Utawala wake huu amefanya mambo makubwa sana hawezi kushindwa na hili.
Wake zetu tuwanunulie uniform
Haya mambo yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na jamii yenyewe. Unakuta binti mwanafunzi amepewa mimba na familia zinaamua kuyamaliza bila kuyafikisha kwenye vyombo vya sheria au wakati mwengine suala linafika hadi mahakamani lakini familia ya mhanga (binti) wanakataa kutoa ushirikiano kwa Serikali kwa aidha kumtorosha binti au kumrubuni asitoe ushahidi kwa ushawishi wa familia au mtuhumiwa mwenyewe. Kigezo kinachotumika kwa hizo familia ni je, kama baba wa mtoto atafungwa, mtoto atalelewa na nani ikiwemi huduka muhimu. So familia hujikuta zikiyamaliza haya mambo nyumbani na ndio chanzo cha visa hivi kutoisha maana watuhumiwa wanajua watayamaliza tu
Unawaambiaje wanaume ambao ni wanafunzi na wanawapa mimba wanafunzi wenzao?Wa
Wanaume badilikeni acheni kutembea na wanafunzi. Solution ndio hiyo hakuna nyingine.
Hili tatizo halitaisha milele.
Wanataka wenyewe. Wakati mwingine wanaomba hela tunawapa,lift tunawapakia,mwisho wanaomba pen...zi tunawakatalia,wanaanza kulia tunawahurumia tunawapa.
Serikali kuna sehemu inakosea hasa kwenye upande wa hukumu kugusa wanaume peke yao,ni muda sasa serikali nayo kuwaangalia hawa wanawake.
Kama nao wanawake wangekuwa kwenye sehemu ya hukumu hata kidogo nao wangeogopa zaidi,ila kwakuwa wanajua hukumu ipo kwa wanaume tu so wao hawajali sana
Sheria katika suala la hisia za ngono bado nitatizo.
Tatizo ni chanzo cha malezi nyumbani na changamoto ya utandawazi .
Hali ni mbaya kiukweli selikali iingilie Kati suala hili
Ukiona hii situation imetokea ujue kulikuwa na makubaliano otherwise binti aweamebakwa. Sasa huyo wa sekondari au primary anafanya kitu hiko akijua fika kuna side effect ukiachana na uroda ambao anaupata aidha kwa kujitakia au kukubali kushawishiwa. Kinacho matter hapa sanasana ni malezi, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo elimu katika ngazi ya familia ni muhimu sana kama unamuacha binti yako anazurura ovyo ovyo si mchana si usiku what do yo expect. Pia binti mwenyewe akijielewa kwa kumshtaki anaye mrubuni haraka iwezekanavyo haya mambo yata pungua kwa kasi kubwaMkuu tunda la mwanafunzi wa primary au secondary linaivaje? hebu chukulia hilo tunda ni mwanao au mdogo wako. Hivi jamii yetu inaelekea wapi kwa fikra kama hizi zako?
Usishangae. Probably hata yeye alilawitiwa akiwa ana umri mdogo ndio maana anaonesha tabia za ajabu za kingono as a traumatic effect!
Haya mambo yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na jamii yenyewe. Unakuta binti mwanafunzi amepewa mimba na familia zinaamua kuyamaliza bila kuyafikisha kwenye vyombo vya sheria au wakati mwengine suala linafika hadi mahakamani lakini familia ya mhanga (binti) wanakataa kutoa ushirikiano kwa Serikali kwa aidha kumtorosha binti au kumrubuni asitoe ushahidi kwa ushawishi wa familia au mtuhumiwa mwenyewe. Kigezo kinachotumika kwa hizo familia ni je, kama baba wa mtoto atafungwa, mtoto atalelewa na nani ikiwemi huduka muhimu. So familia hujikuta zikiyamaliza haya mambo nyumbani na ndio chanzo cha visa hivi kutoisha maana watuhumiwa wanajua watayamaliza tu
Elimu juu ya uzazi wa mpango itolewe mapema na wazazi wasione aibu kuzungumza na watoto wao.
Mtoto wa mwenzio ni wako pia tusaidiane kwenye malezi.