madogo wenyewe machachari balaa
madogo wenyewe machachari balaa
Kwahiyo unataka kubishana na MUNGU?! Yeye kamuumba mtu abalehe umri huo wewe unapanga wa kwako?!Wanafunzi wote wa kike wachomwe sindano maalumu ya kuchelewesha balehe kwa miaka 10 mbele. Yani mtoto wa kike abelehe akiwa na umri wa miaka 20. Namuomba mkuu wa nchi asimamie hili jambo kama alivyopambana kusimamia Tanzania ya viwanda. Utawala wake huu amefanya mambo makubwa sana hawezi kushindwa na hili.
Hahaha... Utawakataza kwa maneno, lakini vichakani wapo tuu...