Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

Wazazi wao wafanye kazi ili kipato nyumbani kiwe kikubwa ,hivyo itapelekea kwanza kuheshimiwa na kuogopwa na wanao...ila kwakua wazazi na hasa mama zao kuwatamkia watoto ,chai IPO vitafunio mtajua mtapata wapi sio sawasawa...mengine wanayofanya watoto hatuwezi shuhudia tena/kupungua ,vinginevyo tutaendelea kulalamikia serikali kuhusu kilakitu
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi!

Wazazi wenyewe wamepinda wengine wanawaogopa watoto wao wenyewe
 
Kinachotakiwa kwa sasa ni kutunga sheria ambayo eidha serikali iwajibike kwa malezi ya mama na mtoto au na binti naye ahusike katika adhabu hili litasaidia kuhamasisha mabinti wajichunge wasipate mimba
Hapa ndio kuna suluhisho, wataalam wakae chini waumize vichwa hili linafanikishwaje
 
Mkuu acha uongo watu wenye tabia kama zako ndiyo hurubuni watoto kwa lift na vipesa vya maandazi kisha mnawapa mimba then mnawatelekeza. Kwanini ukubali kufanye naye mapenzi huku ukijua ni mtoto bado?
Mkuu hayo maneno nimeyanukuu kutoka kwa mlevi mmoja hivi huku mtaani. Lakini pamoja na hayo yote unaweza ukajifanya unauchungu sana hapa jf kumbe wanaozungumziwa ni pamoja na wewe. Angalia nafsi yako inafanya nini juu ya hili. Kumbuka hapa kwenye ubakaji jamii na serikali imetolea macho kwa wanafunzi tu lakini huku mtaani wapo watoto wa kike wengi under 18 wanatiwa mimba na hauitwi ubakaji. Na ukitafakari sana haya mambo yanafeli kwa sababu yapo kisiasa zaidi.
 
Screenshot_20191205-124336.png
ku a hii comment ya mkuu Heci japo ilieditiwa ifanyiwe kazi
 
Mkuu nini inaweza kuwa side effects za hiyo sindano? na je hii haitakuwa kukiuka haki za msingi za binadamu za kubalehe na hata kuvunja katiba ya nchi kwa kuingilia privacy za mtoto wa kike?. Usije ukawapa ulaji watetezi wa haki za binadamu
We umetaka tutoe mapendekezo ya nini kifanyike,na ndo tumekuja na mapendekezo hivyo. Wapo walioshauri adhabu itolewe kwa wote umelaumu pia. Mapendekezo juu ya kutokomeza mimba za utotoni ni ya maamuzi magumu. Ila kwanini waangaliwe zaidi wanafunzi wakati kuna wanaozaa wakiwa na umri chini ya miaka 18? Tuachane na siasa tuutafute ukweli ulipo. Kumfungulia mashtaka aliempa mimba mwanafunzi ukamuacha aliempa mimba mtoto wa miaka 14 eti kisa hasomi ni uonevu.
 
Watoto wadogo wanapata vishawishi kutoka kwa wakubwa
Umri mdogo na maamuzi ya kuelewa kibaya na kizuri mtoto anakuwa bado hajui
Ndio maana anakuwa na maamuzi ya hivyo
Lazima wazazi wawaonye watoto na kuwapa funzo kuhusu maisha pia elimu itolewe sana shuleni.
Comments nyingi humu naona watu hawaelewi tatizo bali kuongea wanayoona ni sawa kwao lakini pindi wakiwa na watoto ndio watayajua tena waliofika miaka 14 na kuendelea
 
Mkuu tunda la mwanafunzi wa primary au secondary linaivaje? hebu chukulia hilo tunda ni mwanao au mdogo wako. Hivi jamii yetu inaelekea wapi kwa fikra kama hizi zako?
wahuni husema mwanamke ni kama embe, wewe ukisubiri liive wengine wanakula na chumvi.
 
Habari za asubuhi wadau!

Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi hata polisi maana mambo humalizwa nyumbani. Lakini pia huenda kuna mimba zinanyofolewa zikiwa hazijaonekana kwa wengine. Lakini hata kwa takwimu hizi ambazo serikali inazo bado hali si nzuri.

Sababu ziko nyingi sana za hawa wanafunzi kupata mimba na tukisema tuzitaje tunaweza kutaja sababu lukuki , kwa hiyo hapa natamani tungejadili namna gani tunaweza kumaliza tatizo hili. Wadau karibu sana tutoe mchango wetu ni kivipi tunaweza kuondokana na hii tabia ya dada zetu , wadogo zetu na shangazi zetu na mama zetu wadogo kupewa ujauzito wangali wadogo na kukatishwa haki yao ya kupata elimu.
Ni kuhakikisha mabinti wanabana mapaja tu
 
SULUHISHO NI MOJA EIDHA WANAFUNZI KUPUNGUZA TAMAA YA CHIPS AU WANAUME TUKATWE DHAKARI BASI VINGINEVYO HAMNA NAMNA
 
Usishangae. Probably hata yeye alilawitiwa akiwa ana umri mdogo ndio maana anaonesha tabia za ajabu za kingono as a traumatic effect!

Jamaa comment yake inashangaza sana na aina hii ya Raia wa hivi wapo wengi sana Mfumo wa maadili ni wa hovyo sana na unazidi kudidimia Tanzania yetu hii,

Tunachoweza kufanya ni kulinda cha kwako kwa kuweka nguvu kubwa sana
 
Serikali kuna sehemu inakosea hasa kwenye upande wa hukumu kugusa wanaume peke yao,ni muda sasa serikali nayo kuwaangalia hawa wanawake.
Kama nao wanawake wangekuwa kwenye sehemu ya hukumu hata kidogo nao wangeogopa zaidi,ila kwakuwa wanajua hukumu ipo kwa wanaume tu so wao hawajali sana
Hili swala ni gumu sana kumaliza kuliko watu wanavyolichukulia. Niwape mfano hai . Nikiwa mwaka 2 chuoni 2003 hakukuwepo badoo,facebook, whatsap...enzi hizo. Nilibahatika kupata temporary employment shule moja ya kanisa kijiji fulani. Nilikua nafundisha form2 & 4. Shule ilikua kijijini kweli km 60-70 kutoka mjini. Kulikua na usafiri wa bus linatoka saa 11 alfajiri kwenda mjini na kugeuza saa saba kurudi kijijini. Shule ilikua ya boarding. Wanafunzi wa kiume walikua wanatupenda maana na sisi tulikua wadogo ,ila walikua wanatuheshimu sana. Wanafunzi wa kike ilikua shida . Alikua anaweza kukufuata anakwambia mwalimu nimechoka kukaa huku porini naomba ijumaa nauli niombe permission kwamba naumwa naenda mjini kwa mama mdogo ,halafu unipe number uniambie nikukute wapi,tukae mpaka j'pili turudi kila mtu kivyake. Na hii was very popular sana .A-level was more worse kwa sababu mpaka wengine ile recess ya pasaka walikua wanaenda kukodi vyumba guest mjini na kujiuza.Na vijana wa vyuo tuliokua pamoja walifanya yao ,na wengine hawakuta kujichafua. Kwa hali hii kama alivyosema ndugu yangu hapo juu,sheria ikate pande zote wanawake kwa waschana. Maana wanafunzi hao walikua wanataka mtu wa kuwapeleka kula chips na kubadili mazingira ya shuleni tu. Wanafunzi wako victims kwa sababu hawaombi hata hela nyingi . So Serekali iweke ugumu kwa pande zote ,watoto ,wazazi wa kike na wakiume .Angalau wataweza kupunguza.Mtoto akipewa mimba afungwe na mzazi wake , wa kiume pia iwe hivyo. Ni maoni yangu kama mdau
 
Serikali kuna sehemu inakosea hasa kwenye upande wa hukumu kugusa wanaume peke yao,ni muda sasa serikali nayo kuwaangalia hawa wanawake.

Kama nao wanawake wangekuwa kwenye sehemu ya hukumu hata kidogo nao wangeogopa zaidi,ila kwakuwa wanajua hukumu ipo kwa wanaume tu so wao hawajali sana

Mi nakubaliana na wewe wewe mkuu, mi napendekeza yafuatayo;
1. Mwanaume/mvulana anayempa mwanafunzi mimba sheria iko wazi na iendelee.
2. Msichana anayepata mimba akiwashuleni naye iwekwe adhabu yake, kama aliempa mimba anafungwa miaka 30 kwa nini yeye asifungwe miaka angalau 10?. Wanapeana mimba kwa mapenzi yao na wala msichana hajabakwa wamekubaliana wenyewe.
3. Wale wanaobakwa nao mazingira ya kubakwa yaangaliwe isijekuwa katengeneza mwenyewe mazingira ya kubakwa.
4. Kama ikigundulika waliopewa mimba wakatengeneza dili ionekane ni ya kubakwa kumbe sio kweli wao pamoja na wazazi wao nao wawajibishwe.

Hii itakuwa fair sana kwa kweli hawa mabinti wataogopa na wataongeza misimamo. Unadhani binti akikomaa hataki wewe mwanaume utafanya nini, huna cha kufanya utakubali tu yaishe.

Tukomeshe mimba mashuleni bana, zimekuwa haziishi kwa sababu adhabu ni ya upande mmoja tu ndio maana wasichana wanaona kwao sawa tu maana hawawajibiki katika hizo adhabu.
 
Hapo unazungumzia kama aliyempa mimba ni mwanafunzi mwenzie au mbaba mwenye ukomavu wake? Namaanisha hiyo ya mtoto mwenye mimba na yeye afungwe walau miaka 10
 
Back
Top Bottom