kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Hapa ndio kuna suluhisho, wataalam wakae chini waumize vichwa hili linafanikishwajeKinachotakiwa kwa sasa ni kutunga sheria ambayo eidha serikali iwajibike kwa malezi ya mama na mtoto au na binti naye ahusike katika adhabu hili litasaidia kuhamasisha mabinti wajichunge wasipate mimba
Ha ha haa dah!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Fala sana kakamkubwa
"Tunawaonea huruma tunawapa"
Mkuu hayo maneno nimeyanukuu kutoka kwa mlevi mmoja hivi huku mtaani. Lakini pamoja na hayo yote unaweza ukajifanya unauchungu sana hapa jf kumbe wanaozungumziwa ni pamoja na wewe. Angalia nafsi yako inafanya nini juu ya hili. Kumbuka hapa kwenye ubakaji jamii na serikali imetolea macho kwa wanafunzi tu lakini huku mtaani wapo watoto wa kike wengi under 18 wanatiwa mimba na hauitwi ubakaji. Na ukitafakari sana haya mambo yanafeli kwa sababu yapo kisiasa zaidi.Mkuu acha uongo watu wenye tabia kama zako ndiyo hurubuni watoto kwa lift na vipesa vya maandazi kisha mnawapa mimba then mnawatelekeza. Kwanini ukubali kufanye naye mapenzi huku ukijua ni mtoto bado?
We umetaka tutoe mapendekezo ya nini kifanyike,na ndo tumekuja na mapendekezo hivyo. Wapo walioshauri adhabu itolewe kwa wote umelaumu pia. Mapendekezo juu ya kutokomeza mimba za utotoni ni ya maamuzi magumu. Ila kwanini waangaliwe zaidi wanafunzi wakati kuna wanaozaa wakiwa na umri chini ya miaka 18? Tuachane na siasa tuutafute ukweli ulipo. Kumfungulia mashtaka aliempa mimba mwanafunzi ukamuacha aliempa mimba mtoto wa miaka 14 eti kisa hasomi ni uonevu.Mkuu nini inaweza kuwa side effects za hiyo sindano? na je hii haitakuwa kukiuka haki za msingi za binadamu za kubalehe na hata kuvunja katiba ya nchi kwa kuingilia privacy za mtoto wa kike?. Usije ukawapa ulaji watetezi wa haki za binadamu
View attachment 1282450ku a hii comment ya mkuu Heci japo ilieditiwa ifanyiwe kazi
wahuni husema mwanamke ni kama embe, wewe ukisubiri liive wengine wanakula na chumvi.Mkuu tunda la mwanafunzi wa primary au secondary linaivaje? hebu chukulia hilo tunda ni mwanao au mdogo wako. Hivi jamii yetu inaelekea wapi kwa fikra kama hizi zako?
Ni kuhakikisha mabinti wanabana mapaja tuHabari za asubuhi wadau!
Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi hata polisi maana mambo humalizwa nyumbani. Lakini pia huenda kuna mimba zinanyofolewa zikiwa hazijaonekana kwa wengine. Lakini hata kwa takwimu hizi ambazo serikali inazo bado hali si nzuri.
Sababu ziko nyingi sana za hawa wanafunzi kupata mimba na tukisema tuzitaje tunaweza kutaja sababu lukuki , kwa hiyo hapa natamani tungejadili namna gani tunaweza kumaliza tatizo hili. Wadau karibu sana tutoe mchango wetu ni kivipi tunaweza kuondokana na hii tabia ya dada zetu , wadogo zetu na shangazi zetu na mama zetu wadogo kupewa ujauzito wangali wadogo na kukatishwa haki yao ya kupata elimu.
Usishangae. Probably hata yeye alilawitiwa akiwa ana umri mdogo ndio maana anaonesha tabia za ajabu za kingono as a traumatic effect!
Hili swala ni gumu sana kumaliza kuliko watu wanavyolichukulia. Niwape mfano hai . Nikiwa mwaka 2 chuoni 2003 hakukuwepo badoo,facebook, whatsap...enzi hizo. Nilibahatika kupata temporary employment shule moja ya kanisa kijiji fulani. Nilikua nafundisha form2 & 4. Shule ilikua kijijini kweli km 60-70 kutoka mjini. Kulikua na usafiri wa bus linatoka saa 11 alfajiri kwenda mjini na kugeuza saa saba kurudi kijijini. Shule ilikua ya boarding. Wanafunzi wa kiume walikua wanatupenda maana na sisi tulikua wadogo ,ila walikua wanatuheshimu sana. Wanafunzi wa kike ilikua shida . Alikua anaweza kukufuata anakwambia mwalimu nimechoka kukaa huku porini naomba ijumaa nauli niombe permission kwamba naumwa naenda mjini kwa mama mdogo ,halafu unipe number uniambie nikukute wapi,tukae mpaka j'pili turudi kila mtu kivyake. Na hii was very popular sana .A-level was more worse kwa sababu mpaka wengine ile recess ya pasaka walikua wanaenda kukodi vyumba guest mjini na kujiuza.Na vijana wa vyuo tuliokua pamoja walifanya yao ,na wengine hawakuta kujichafua. Kwa hali hii kama alivyosema ndugu yangu hapo juu,sheria ikate pande zote wanawake kwa waschana. Maana wanafunzi hao walikua wanataka mtu wa kuwapeleka kula chips na kubadili mazingira ya shuleni tu. Wanafunzi wako victims kwa sababu hawaombi hata hela nyingi . So Serekali iweke ugumu kwa pande zote ,watoto ,wazazi wa kike na wakiume .Angalau wataweza kupunguza.Mtoto akipewa mimba afungwe na mzazi wake , wa kiume pia iwe hivyo. Ni maoni yangu kama mdauSerikali kuna sehemu inakosea hasa kwenye upande wa hukumu kugusa wanaume peke yao,ni muda sasa serikali nayo kuwaangalia hawa wanawake.
Kama nao wanawake wangekuwa kwenye sehemu ya hukumu hata kidogo nao wangeogopa zaidi,ila kwakuwa wanajua hukumu ipo kwa wanaume tu so wao hawajali sana
Serikali kuna sehemu inakosea hasa kwenye upande wa hukumu kugusa wanaume peke yao,ni muda sasa serikali nayo kuwaangalia hawa wanawake.
Kama nao wanawake wangekuwa kwenye sehemu ya hukumu hata kidogo nao wangeogopa zaidi,ila kwakuwa wanajua hukumu ipo kwa wanaume tu so wao hawajali sana
Hapo unazungumzia kama aliyempa mimba ni mwanafunzi mwenzie au mbaba mwenye ukomavu wake? Namaanisha hiyo ya mtoto mwenye mimba na yeye afungwe walau miaka 10Mi nakubaliana na wewe wewe mkuu, mi napendekeza yafuatayo;
1. Mwanaume/mvulana anayempa mwanafunzi mimba sheria iko wazi na iendelee.
2. Msichana anayepata mimba akiwashuleni naye iwekwe adhabu yake, kama aliempa mimba anafungwa miaka 30 kwa nini yeye asifungwe miaka angalau 10?. Wanapeana mimba kwa mapenzi yao na wala msichana hajabakwa wamekubaliana wenyewe.
3. Wale wanaobakwa nao mazingira ya kubakwa yaangaliwe isijekuwa katengeneza mwenyewe mazingira ya kubakwa.
4. Kama ikigundulika waliopewa mimba wakatengeneza dili ionekane ni ya kubakwa kumbe sio kweli wao pamoja na wazazi wao nao wawajibishwe.
Hii itakuwa fair sana kwa kweli hawa mabinti wataogopa na wataongeza misimamo. Unadhani binti akikomaa hataki wewe mwanaume utafanya nini, huna cha kufanya utakubali tu yaishe.
Tukomeshe mimba mashuleni bana, zimekuwa haziishi kwa sababu adhabu ni ya upande mmoja tu ndio maana wasichana wanaona kwao sawa tu maana hawawajibiki katika hizo adhabu.