Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

Wachomwe sindano za kuzuia mimba kila baada ya miaka kumi
 
Nadhani suluhishi pekee.

Ilikua ni kuwashtaki na kuwatupa gerezani wanaopata ujauzito baasi...

Swala la ubakaji ilikua ni kuondoa/sijui Kama nayo ni amputation...kufyekelea mbali kabisa kifaa alichotumia mbakaji...halafu unamuacha huru anarudi kwenye familia yake akamuoneshe mkewe
 
Bahati mbaya mnaiga ya ukatili tu kwa kagame.ila kuiga kufanikiwa kwao kuhusu kutopata mimba wanafunzi hamuigi.pumbavu kabisa yaani hakuna mtu hata mmoja anayepambana kwa dhati na tatizo la mimba kwa wanafunzi. Na mlivyo Mazezeta mnadili baada ya mimba.Nenda rwanda katembee na mwanafunzi uone siyo kumpa mimba
 
Jambo rahisi sana.
"Mtoto wa mwenzio ni wako"
Tukiisimamamia kauli mbiu hii,watoto wetu wa kike watakuwa salama sana.
 
Watu wanalinda mbwa lkn si watu.Watu wazima ndio waharibifu wa kwanza kwa watoto wa wenzao.
Na ndio sababu na wa kwao wanaharibiwa.
Hatuonyi watoto wa kiume kuharibu dada zao ,bali tunajisifu tumezaa midume.
Familia zetu haziungani ktk malezi.Hatuheshimu walimu ambao ndio wajenzi wa ubongo wa watoto kujitambua na kujiamini.
 
Kwahiyo unataka kubishana na MUNGU?! Yeye kamuumba mtu abalehe umri huo wewe unapanga wa kwako?!

Hiki kiburi tutakuja kukijibia siku moja.....ndio maana siku hizi kansa za uzazi, magonjwa ya ajabu hayaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…