Makumi ya maroli ya kubeba shehena ya clinker yamekwama TPA huko Tanga kwa sababu ya kijinga kabisa!
Wheel loader ya TPA Tanga imevuta miss tokea jana na mafundi wanatengeneza kwa kujisikia eti kwa madai wanamkomoa operator kwa sababu huwa hawapi chochote.
Ifahamike tatizo hilo utatuzi wake huwa si zaidi ya nusu saa ajabu tokea jana saa 6 mchana hadi wakati hakuna utatuzi wowote uliofanyika kwa sababu ya operator na mafundi eti wanakomoana.
Hii ni aibu kwa TPA.