ingia google eRITA Portal (
https://erita.rita.go.tz/birth) utafanya registration kwa kuingiza detail zake, mfumo utakuelekeza kila kitu, uta upload cheti chake cha kuzaliwa watakupa control no. then utailipia (3,500 tzs), utasikilizia kama siku moja au mbili itategemeana na wao, itakuwa approved, kisha utaidownload.
ukirudi kwenye mfumo wa heslb, birth verification number ni namba ya kumbukumbu iliyopo kwenye risiti baada ya malipo inayoishia na BV (123...BV) sawa na Appplication code kwenye eRITA portal.