Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mkuu kila nikijaribu ku login hata kufunguka tu haifunguki inaniandikia " Invalid category" sasa sijui shida ni nini wakati taarifa zote za awali nimejaza kikamilifu.Hyo network tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila nikijaribu ku login hata kufunguka tu haifunguki inaniandikia " Invalid category" sasa sijui shida ni nini wakati taarifa zote za awali nimejaza kikamilifu.Hyo network tu
Naweza nkakusaidiaMkuu kila nikijaribu ku login hata kufunguka tu haifunguki inaniandikia " Invalid category" sasa sijui shida ni nini wakati taarifa zote za awali nimejaza kikamilifu.
Nimekucheki PM.Naweza nkakusaidia
Msaada, nisaidie App nzuri ya Kuresize-photo, plz plz
iache mda soon inakubaliMsaada tafadhali.
Ninashindwa kuendelea na maombi ya mkopo, nimeshalipia control number nimeingiza taarifa za awali na kuunda neno la siri lakini kila ninapo jaribu kuingia kwenye akaunti yangu inanionyesha ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT:
Naomba mnisaidie sijui tatito ni nini.View attachment 2728902
Ndiyo. Kila kitu unamaliza online mkuu.This year hakuna kusubmit kupitia post?
Hiyo ni mpaka uwasiliane nao kupitia huduma kwa wateja wanatatua tatizo ndani ya siku tatu za kazi.Msaada tafadhali.
Ninashindwa kuendelea na maombi ya mkopo, nimeshalipia control number nimeingiza taarifa za awali na kuunda neno la siri lakini kila ninapo jaribu kuingia kwenye akaunti yangu inanionyesha ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT:
Naomba mnisaidie sijui tatito ni nini.View attachment 2728902
Kuna kipengele cha local undergraduate applicants ndo hukujaza thus why inaniandikia 'invalid category'.Msaada tafadhali.
Ninashindwa kuendelea na maombi ya mkopo, nimeshalipia control number nimeingiza taarifa za awali na kuunda neno la siri lakini kila ninapo jaribu kuingia kwenye akaunti yangu inanionyesha ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT:
Naomba mnisaidie sijui tatito ni nini.View attachment 2728902
Wasiliana nao huduma kwa wateja ni fasta tu wanarekebisha wenyewe then uki login unakuta hiyo sehemu ipo fresh.Mimi tatizo langu APPLICANT'S BASIC INFO hamna, sijajua nilikosea wapi ila nimekamilisha kila kitu hadi taarifa za mdhamini.
Kwakuwa applicant's basic info hamna, maana yake ni kwamba taarifa za benki hakuna na picha yangu haipo. Nimeamua kureverse application ili nianze upya ila kwenye hicho kipengele bado kuna tatizo naambiwa an error occurred, please try again later.
Nifanyeje niweze kuingiza taarifa hizi muhimu, na picha, pamoja na bank account details?!
Thanks in advance.
Napiga simu yangu asubuhi hawapokei. Pengine kama namba nyingineWasiliana nao huduma kwa wateja ni fasta tu wanarekebisha wenyewe then uki login unakuta hiyo sehemu ipo fresh.
Same to me! Ina load usiku kucha leo ni siku ya nne bado ina load!Nimevuka demographic, issue tena mdhamini ..inazunguka tu..picha na NIDA uploaded successfully.
Any update or network tu
Nimekwama kwenye ku attach file ya pdf kwa mdhamini id card inaandika invalid file format nishindwa nifanyaje msaadaHello.... kipengere cha Education info niki-reverse application kwaajiri yakukiedit taarifa haziongezeki... Nikimjazia mwanafunzi aliyemaliza form 6 nakumbana na "form six result not found" na nikimjazia mtu wa diploma system inaandika "diploma result not found"..... mabadiliko hayatokei kabisa kwa category ya EDUCATION INFO
Vipi Mkuu ulifanikiwa hii stage maana mimi bado ina load tu hadi leoSame to me! Ina load usiku kucha leo ni siku ya nne bado ina load!
Try logging out uingie tenaVipi Mkuu ulifanikiwa hii stage maana mimi bado ina load tu hadi leo