Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

Nakwema kwenye kusubmit kwenye hatua ya demographic, inaload mda wote.
Hapo akikisha Iko kipengele Cha verfication code kina load na kuleta jina la mwombaji ukiona inashindwa kufech jina Jua ni mtandao auwezi kuendelea mbele mbaka hapo pa fix na ukiforce kuendelea mbele ndo itaload Hadi kesho bila mafanikio
 
Jina la mwombaji linakuja tena kwa haraka likisindikizwa na alama ya tik ya kijani lkna abado
 
Oky kama uko kote umefanikiwa log out alafu log in utaona mabadiliko itakuruhusu kuendelea na hatua nyingine. Kama bado screenshot task bar yako ya icho kipengele weka hapa Tuone ndo tutajua zaidi shida nini
 
Nimevuka demographic, issue tena mdhamini ..inazunguka tu..picha na NIDA uploaded successfully.

Any update or network tu
Ingiza datails kwa ilivyo kwenye kitambulishi kwa mfano ID mpiga kura T-230....
 
Oky kama uko kote umefanikiwa log out alafu log in utaona mabadiliko itakuruhusu kuendelea na hatua nyingine. Kama bado screenshot task bar yako ya icho kipengele weka hapa Tuone ndo tutajua zaidi shida nini
 
Attachments

  • Screenshot_2023_0820_224743.png
    Screenshot_2023_0820_224743.png
    15.4 KB · Views: 18
Wakuu mie nimefungua akaunti ila kila ninapojaribu ku login inaniandikia "Invalid category" wakati hatua zote za awali nimejaza kikamilifu.
 
Back
Top Bottom