Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

Nadhani lazima uwe na birth verification number ya Rita ndio ujaze pale au mnajazaga nn
Kuna kutuma post baada ya kumaliza kufanya application online ? Na kama hakuna birth certificates una appload wapi Ile kiwe kwenye complete form
 
Vipi mwaka huu form zinatumwa Post na je kuna sehemu ya ku upload ile certificate copy ya birth certificate Ili iwe kwenye complete form mwisho kabla huja submit
 
Sawa !
Page namba 7 umeisoma baada ya kuprint hiyo fomu Yako ?
Kuna list of attachments za kuambatanisha, Sasa nauliza mfano certified copy ya birth certificate unai attach wapi ili u-submit
Labda unaaply bodi nyingine sio ya heslb ukimaliza utaona Kuna fomu utaprint soma maelekezo
 
Uki
Sawa !
Page namba 7 umeisoma baada ya kuprint hiyo fomu Yako ?
Kuna list of attachments za kuambatanisha, Sasa nauliza mfano certified copy ya birth certificate unai attach wapi ili u-submit
just verificarion no.
 
Baada ya kuongeza BV kwenye birthday vérification imestuck mazima hata nimejaribu kurefresh nothing happened
 
Nimefanya kila kitu na kukesha na kesha. Kama unaweza kunisaidia tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…