Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

Msaada tafadhali.

Ninashindwa kuendelea na maombi ya mkopo, nimeshalipia control number nimeingiza taarifa za awali na kuunda neno la siri lakini kila ninapo jaribu kuingia kwenye akaunti yangu inanionyesha ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT:
Naomba mnisaidie sijui tatito ni nini.
 
iache mda soon inakubali
 
Hiyo ni mpaka uwasiliane nao kupitia huduma kwa wateja wanatatua tatizo ndani ya siku tatu za kazi.
 
Kuna kipengele cha local undergraduate applicants ndo hukujaza thus why inaniandikia 'invalid category'.
 
Mimi tatizo langu APPLICANT'S BASIC INFO hamna, sijajua nilikosea wapi ila nimekamilisha kila kitu hadi taarifa za mdhamini.
Kwakuwa applicant's basic info hamna, maana yake ni kwamba taarifa za benki hakuna na picha yangu haipo. Nimeamua kureverse application ili nianze upya ila kwenye hicho kipengele bado kuna tatizo naambiwa an error occurred, please try again later.
Nifanyeje niweze kuingiza taarifa hizi muhimu, na picha, pamoja na bank account details?!
Thanks in advance.
 
Wasiliana nao huduma kwa wateja ni fasta tu wanarekebisha wenyewe then uki login unakuta hiyo sehemu ipo fresh.
 
Wasiliana nao huduma kwa wateja ni fasta tu wanarekebisha wenyewe then uki login unakuta hiyo sehemu ipo fresh.
Napiga simu yangu asubuhi hawapokei. Pengine kama namba nyingine
 
guys kuna kitu kama nimekiona hiv.kwa watu waliosoma form four private mtandao kama unaload sana.lakin hapa nimejaribu ku maplyia mtu wa aliesoma school ya gov form 4 naona haizingui
sasa sijui na nyie kama mmeona hicho kitu.au n m mwenyew ndo najiwaza
 
Nimekwama kwenye ku attach file ya pdf kwa mdhamini id card inaandika invalid file format nishindwa nifanyaje msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…