Yaani hawa madaktari uchwara bwana, kila kitu kichungu ni dawa kwa tatizo lililoko mtaani saa hiyo. Acheni ujinga, kama mtu ana matatizo ya nguvu za kiume aende hospital akapate ushauri wa kidaktari. Upungufu wa nguvu za kiume ni matokeo ya mambo mawili tu; moja, msukumo wa damu - msukumo wa damu ndio unao'determine' uume(samahani) kusimama, ndio maana watu wenye matatizo ya Low Blood Pressure mara nyingi wako subject to matatizo ya kutosimamisha. mbili, content ya mbegu za kiume, ambayo ni matokeo ya lishe duni. Mbegu za kiume ni Protein in nature, ndio maana wanaume wanashauriwa kula karanga (ambazo ni rich in protein and fat) wanapojiandaa kwa mechi.
Sasa hili la glass za tangawizi limetokea wapi? Afadhali hata angeniambia pilipili ningemuelewa kwa sababu pilipili ina'boost' msukumo wa damu!! Ila tangawizi, ama kweli. Atuletee vipimo vya kitaalamu kwanza