Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Dr hili ni tatizo ambalo sasa nimeamua kuomba msaada kwenu maana nilipoanza kufanya sex nikiwa form 4 hali hii ilinitokea nikaipotezea nikiamini kuwa ni kwa sababu ni mara ya kwanza na pia sikutaka kuumiza kichwa changu ukizingatia nilikuwa ktk mwaka wa mwisho wa masomo ya o-level. But hii hali imezidi kunipa wakati mgumu ktk maisha yangu hadi sasa nipo chuo kikuu naona kile nachokitafuta ktk elimu yangu itakuwa haing maana kama hali itakuwa hivi. Yaani napata shida sana na huwa naumia sana kiasi kwamba hadi sasa najaribu kuwapotezea wasichana maana najua mwisho wa siku mim ndo nitaumia maana nasimamisha mara moja na hapo hapo ktk maandalizi mim najikuta naejakulate then raha yote na furaha huniishia na naishia kuumia tu moyon kiasi kwamba si simamish tena hadi najiona sifai kabisa. So plz jaman napenda niwe nam mwenye furaha ya maisha pia hata kuweza kusoma kwa furaha. Naomba kama kunauwezekano wa kutatua hili tatizo langu naomba mnisaidie jamani. Nakosa raha sion umuhimu wa kuendelea kusoma na kuwa hata hapa dunian kama nitaendelea kuwa ktk hali hii. Naombani sana plz kama unafahamu kuna dawa may be naomba hata nitafute unisaidie. Nakuomba usinitanie utaniumiza sana sina hamu hata ya kuishi. Plz kwa yule atakayekuwa tayar kunisaidia atanitumia number then nitamtafuta.
 
Pole sana.
Upo sehemu sahihi.
watakuja wataalamu hapa.
Ngoja nikapige kama 2 ndio nilale.
OTIS
 
pole mdogo wangu! hiyo hali imekukuta mara ngapi?
hiyo ni "anxiety"! cha kwanza kufanya ni kujiamini unapokutana na mwanamke
na kuona hilo tukio kama la kawaida sana!
pili wapaswa kujiandaa kisaikolojia kwa ajili ya tukio hilo!
***natumai utapata mambo mazuri***
kwa hilo la kutaka kuhacha masomo, sidhani unasoma ili upate mwanamke?
angalau una erection, wapo wengine mashine hata haishtuki, shukuru Mola
kwa hilo!
 
Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo

wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya
kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.

Mkuu Jaribu kutumia Asali na Mdalasini kabla hujakutana na huyo Mpenzi wako Unywe hiyo Dawa Changanya unga wa Mdalasini na Asali Safi mbichi ya nyuki kijiko kikubwa cha kulia wali. tumia hiyo Dawa ikiwa bado haijakusaidia Nione mimi nihtaweza kukusaidia vizuri au soma hapa bonyeza
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3295579
 
Tafuta korodani za swala aliye na kundi la vimwana (sio wale vijana wanaokaa wanaume peke yao) Lile dume la mbegu. Ukilipata hilo kama katandikwa risasi unawahi kuzikata za motomoto unakula, kama kategwa unakata hivyohivyo kabla hajachinjwa, unakula za moto moto (usile na ngozi yake) unakula zile gololi tu.

Hii dawa ni baadhi ya dawa nilizoziona kwenye vitabu vya zamani sana vya marehemu babu yake babu yangu (ambavyo nnavyo mimi kwa sasa) vimeandikwa kwa mkono lakini utafikiri vimechapwa, sijaijaribu, nimeisoma tu.
 
nguvu za kiume sio peke yako 75% za watanzania hawana nguvu hii husababishwa na ufanyaji wagono sana utakuta kija kesha tembea na wasichana zaid ya 1000 au hata zaid ya hawa nilosemantics
 
nguvu za kiume sio peke yako 75% za watanzania hawana nguvu hii husababishwa na ufanyaji wagono sana utakuta kija kesha tembea na wasichana zaid ya 1000 au hata zaid ya hawa nilosemantics

sio kwamba as you do much you make it more perfect sasa huoni mademu wakiwa wengi ni poa sana..
 
Kwani ni lazima ku do? Kama ngoma inakataa, achana nayo, soma sana uwe na maisha mazuri, kwani kusex huwa anapoteza sana muda, mshukuru sana Mungu sex ikitataa. Sisi ngoma inavyo simama noma, tunatumia gharama kubwa kujipoza. We mshukuru sana Mungu kwa hilo!
 
Hayo ni matatizo ya kisaikolojia tu!na yapo ndani ya uwezo wapo!

kinachokutokea ni kwa sababu unaingiwa na uwoga ikifika ule muda so unashindwa kuji-control,nadhani unahitaji kujihusisha zaidi na hawa viumbe ili uwazoeee.Piga nao hadithi, nenda nao movie, jisogeze karibu naw ili uondoe uwoga nao.

na pia pindi tatizo linapokutokoea kama ulivyosema, usisononeke, wala kukata tamaa, we chukulia kama ni hali ya kawaida na endelea na round nyingine.
 
we kamanda acha woga ukipata demu kula menu ushibe
jiandae kisaikolojia tu na ujiamini hiyo yote itakwisha kaka.
 
Pole sana dogo tatizo lako si kubwa kama unavyo fikiria na linatibika.
Cha kufanya mwone mtaalamu wa saikolojia tatizo litaisha.
 
Tafuta korodani za swala aliye na kundi la vimwana (sio wale vijana wanaokaa wanaume peke yao) Lile dume la mbegu. Ukilipata hilo kama katandikwa risasi unawahi kuzikata za motomoto unakula, kama kategwa unakata hivyohivyo kabla hajachinjwa, unakula za moto moto (usile na ngozi yake) unakula zile gololi tu.

Hii dawa ni baadhi ya dawa nilizoziona kwenye vitabu vya zamani sana vya marehemu babu yake babu yangu (ambavyo nnavyo mimi kwa sasa) vimeandikwa kwa mkono lakini utafikiri vimechapwa, sijaijaribu, nimeisoma tu.

Hii kiboko!
 
Du atakuaja mwingine atamwambia kasake za simba dume!
 
pole mdogo wangu! hiyo hali imekukuta mara ngapi?
hiyo ni "anxiety"! cha kwanza kufanya ni kujiamini unapokutana na mwanamke
na kuona hilo tukio kama la kawaida sana!
pili wapaswa kujiandaa kisaikolojia kwa ajili ya tukio hilo!
***natumai utapata mambo mazuri***
kwa hilo la kutaka kuhacha masomo, sidhani unasoma ili upate mwanamke?
angalau una erection, wapo wengine mashine hata haishtuki, shukuru Mola
kwa hilo!

ahsante but ktk kipind cha advance chote nimekuwa nikijaribu kama 7times but the problem still ndo linaongezeka. Sasa nipo chuon naogopa hata kumtongoza msichana hata kama nikiwa nimevutiwa naye najikaza tu.
 
Back
Top Bottom