ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
mwisho wa utamu huja uchungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nguvu za kiume sio peke yako 75% za watanzania hawana nguvu hii husababishwa na ufanyaji wagono sana utakuta kija kesha tembea na wasichana zaid ya 1000 au hata zaid ya hawa nilosemantics
Tafuta korodani za swala aliye na kundi la vimwana (sio wale vijana wanaokaa wanaume peke yao) Lile dume la mbegu. Ukilipata hilo kama katandikwa risasi unawahi kuzikata za motomoto unakula, kama kategwa unakata hivyohivyo kabla hajachinjwa, unakula za moto moto (usile na ngozi yake) unakula zile gololi tu.
Hii dawa ni baadhi ya dawa nilizoziona kwenye vitabu vya zamani sana vya marehemu babu yake babu yangu (ambavyo nnavyo mimi kwa sasa) vimeandikwa kwa mkono lakini utafikiri vimechapwa, sijaijaribu, nimeisoma tu.

Du atakuaja mwingine atamwambia kasake za simba dume!
pole mdogo wangu! hiyo hali imekukuta mara ngapi?
hiyo ni "anxiety"! cha kwanza kufanya ni kujiamini unapokutana na mwanamke
na kuona hilo tukio kama la kawaida sana!
pili wapaswa kujiandaa kisaikolojia kwa ajili ya tukio hilo!
***natumai utapata mambo mazuri***
kwa hilo la kutaka kuhacha masomo, sidhani unasoma ili upate mwanamke?
angalau una erection, wapo wengine mashine hata haishtuki, shukuru Mola
kwa hilo!
Kula tu korodani zote dawa.