Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ni science gani inayosema kuwa masturbation inasababisha bao moja? Unayozungumza hapa ni mambo ya kijiweni tu. Hakuna utafiti wowote wa kitaaluma unaokubali unayosema.

Zakumi,
Mambo mengine ni ya kutumia akili ya kawaida tu....lakini hata kama unaona ni sayansi ya vijiweni, poa; vijiweni nako kuna vichwa! Ngoja nikuulize....Hivi unaweza kufanya masturbation ukawa unapiga bao tatu au nne at any given time unayoamua kujistarehesha? Binafsi, nazani ni jambo gumu....nashawishika kuamini kwamba wengi wao wanaopiga masturbation wanapiga bao moj, PERIOD!

So, kama umedumu na hii tabia na kila unapoenda unapiga bao moja, biashara inaisha! Unatarajia matokeo gani kwenye ubongo wako? Unakumbuka ile simulizi ya Mwanasayansi wa Urusi ambae kila alipokuwa anampa mbwa chakula, alikuwa anapiga kengele! Ikafika wakati, kila kengele inapolia, mbwa yule anaanza kutoka maudenda coz' ameshakuwa conditioned kwamba inapolia kengele, means chakula! The same principle inayotumika kwenye Panya wa SUA wanao-detect TB! Hawa wanakuwa conditioned! Sasa kama wewe mwenyewe umeji-condition kupiga bao moja moja,(as i said, more often than not, musturabation watu wanapiga bao moja moja!) unatarajia ukikutana na mwanamke utapiga bao zaidi ya moja?!

Si kila ambacho hakijakuwa proved scientifically ni kwamba doesn't exist!
 
Wanajamvi ni nini kinasababisha mwanaume apige bao moja tu kwa siku labda na baada ya hapo hawezi rudia mpaka kesho yake?
Au uume kusinyaa katikati ya tendo kabla hujafika?
Na nini dawa yake?

Acha kula chipsiyai, na kuku-kifafa
 
Zakumi,
Mambo mengine ni ya kutumia akili ya kawaida tu....lakini hata kama unaona ni sayansi ya vijiweni, poa; vijiweni nako kuna vichwa! Ngoja nikuulize....Hivi unaweza kufanya masturbation ukawa unapiga bao tatu au nne at any given time unayoamua kujistarehesha? Binafsi, nazani ni jambo gumu....nashawishika kuamini kwamba wengi wao wanaopiga masturbation wanapiga bao moj, PERIOD!

So, kama umedumu na hii tabia na kila unapoenda unapiga bao moja, biashara inaisha! Unatarajia matokeo gani kwenye ubongo wako? Unakumbuka ile simulizi ya Mwanasayansi wa Urusi ambae kila alipokuwa anampa mbwa chakula, alikuwa anapiga kengele! Ikafika wakati, kila kengele inapolia, mbwa yule anaanza kutoka maudenda coz' ameshakuwa conditioned kwamba inapolia kengele, means chakula! The same principle inayotumika kwenye Panya wa SUA wanao-detect TB! Hawa wanakuwa conditioned! Sasa kama wewe mwenyewe umeji-condition kupiga bao moja moja,(as i said, more often than not, musturabation watu wanapiga bao moja moja!) unatarajia ukikutana na mwanamke utapiga bao zaidi ya moja?!

Si kila ambacho hakijakuwa proved scientifically ni kwamba doesn't exist!

Hakuna uhusiano wowote wa masturbation na kupiga bao moja tu. Mambo ya kupiga bao yako kwenye sayansi ya baiolojia. Kama wewe unataka kutumia akili yako endelea kufanya hivyo.
 
Na hiyo Conditional Reflex Action iko kwenye nini?
 
supu ya pweza na karanga mbichi na pilipili vinakuhusu. mia
 
goli moja kweli unaridhika!? mwee matatu ndio full shangwe.
 
Clemence ametoa ushauri mzuri wenye sababu zinazoweza kuwa ni chanzo, wanawake wa kuokota Corner bar au Kimboka hawna mvuto wa kweli na kuna wasi wasi mwingi ukiwa nae, kwahiyo hata kwenda round nyingi ni ngumu unless umelewa kidogo.

Kingine ni mazoea, ukimzoea sana mkeo unamuona kama kaka yako ila ukitoka huko nje kwa vicheche unaenda hata round tatu mpaka nne. Tatizo lako kama si medical basi liko kichwani tu
 
Ni tangawizi mbichi iliyosagwa nakupata juisi yake kwa kila siku kikombe kimoja cha robo au zaidi ya hapo si mbaya kwa matatizo ya kuwahi kukojoa na kushindwa kusimamisha vizuri
 
Hebu iweke vizuri,ueleweke,vipimo na namna ya kutumia hiyo dawa!
 
Tangawizi na vitunguu swaumu vinaitwa dawa kila siku, mnasahau hivi vitunguu na hata tangawizi kila leo ndio zinatumika kwenye mapishi mengi tu..
 
Mmmh! Inaonekana hili tatizo linazidi kuwakumba wanaume kwa kasi, mana kila siku uvumbuzi wa dawa mpya waongezeka,....lol
 
Ni hao wenye matatizo yao mimi niko saaafi tukiamuaa tupige mzigo usiku kucha hapa shwari tu,kama mdogomdogo hapa shwari ninawaonea huruma hao!!!!
 
watu wanaweza wasikuelewe. tangawizi kikombe nusu, kwani unatakiwa uwe umesaga tangawizi ngapi, zenye concentration kiasi gani (nzito, nyepesi etc), manake mwingine anaweza kukatakata tangawizi zikafika nusu kikombe akazisaga akanywa, mwingine akasaga tangawizi moja tu ila mchuzi wake ukawa nusu kikombe hicho, akanywa, je? watu wasage tangawizi ngapi, na wakati wa uchanganyaji maji yawekwe kiasi gani? je? iwe kali au ichanganywe na maji ili isiwe kali, etc, na je? vipi ukichanganya tangawizi na kitunguu swaumu humohumo kwenye juice moja ya icho nusu kikombe, inaruhusiwa?...thats what people would want to know...
 
Pengine that's what you'd like to know. Ila ajabu mtoa mada kakimbilia mitini!
 
yap, i would also want to know, kitu kama icho ukikisikia kwa mara ya kwanza, lazima utapenda kujua kiundani what the person means ili usipitwe na yanayoendelea duniani. i hope akieleza kama nilivyoomba ataelewesha wengi.
 
We ukinya tangawizi mbichi nusu kikombe si utahisi koo na kifua vinasagika......hahahaha bora ubaki ulivo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Siku utakayopata matatizo utatafuna hata shubiri!
 
Mzizi Mkavu hebu tuambie hii dawa inakubalika? ni kiasi kikubwa mno cha tangawizi kwa mara moja usalama wa koo na utumbo ni vipi hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom