Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

Hawa watahitajika siku LNG plant ikianza

Waingie online waombe kuna Makampuni mengi tu ukanda wa Sahel nimemuona kijana Mtanzania anatinga kwenye Mgodi mkubwa huko Burkina faso.

Labda hawa hawajiamini Kiinglish chao.
Tanzania hapa kuna nafasi nyingi sana ni mambo ya kisela tu na maamuzi kutoka serikalini.
 
Unatakiwa kutoa ushauri kulingana na miradi iliyopo. Miradi ya, mafuta na gesi si unaiskia kila siku. Nafasi za kazi zinapelekwa wapi?
Unaishi Tanzania?? Hao walimu wanaokosa ajira ni kwamba shule hakuna au mashule hayafunguliwi??
 
Meneja Wa Makampuni vijana vyuoni wamesomea petroleum mining and processing! Now, the country has no petroleum mines nor processing industry. Wafanyeje?! Wanajikuta nchi ina filling stations kama hizo Puma na wenzake. Waende huko kushika mkonge wa kujaza mafuta magari ya watu?! Mtihani kwelikweli. Yaani usome degree ya miaka 3 halafu ufanye kazi filling stations?!

Taifa iwaombe msamaha vijana hao kwa kuwadanganya na kuwapotosha. Wamepoteza muda wao na nguv kwa kusomea taaluma ambayo nchi haijajianda kuwekeza
 
Haya ndio mawazo sasa
 
Kwa sasa haihitaji kuwa bright kusomea hizi kozi mtu anamaliza zake form 4 anaenda kusomea oil and gas pipeworks diploma hapo anakuwa sponsored na serikali anamaliza anaenda kuchukua uzoefu kwa cheti chake cha diploma .

Anamaliza anaenda kitafuta degree akiwa na kazi tayari KIKUBWA KWA SASA WANAOKOSA AJIRA NI WALE WALIOPOITA DIRECT YAANI FORM 6 KISHA WAKAENDA KUCHUKUA DEGREE sasa wakirudi kitaa ajira zinatoka ni DIPLOMA NA VETA ila pole sana mkuu atapata tu aangalie ishu nyengine .
Wanaosoma diploma kwenye vyuo vya ufundi wapo more competent kuliko hao wanaotoka University hapa bongo.

Na makampuni hupenda kuajiri wenye diploma kwa kuwa mishahara yao huwa ni midogo kuliko wenye degree ilihali kazi wanazofanya zote ni zilezile. Mara chache sana kukuta vijana wenye diploma wakiwa wanazagaa mtaani.

Kuna mchizi mmoja nlikutana nae kwenye Research institute hapa daslaam, jamaa ana diploma ila yy ndio supervisor wa wanafunzi wote wanaotoka vyuo vikuu kwenda kufanya field pale.
 
Boss nimeandika uzi huu kuwasemea vijana wa mafuta na gesi ili serikali ifanye jambo. Yaani serikali yetu ndio yenye maamuzi linapokuja swala la ajira. Na hii ni mass employment boss. Ni tatizo kubwa hili tunapokua na miradi yetu mingi tu ndani lakini vijana hawapewi nafasi. Nafasi za kazi za mafuta na gesi zipo nyingi sana bongo. Ila zimekamatwa na wageni. Tatizo hilo linahitaji mkono wakisela. Yaani tunawaona wazungu na wahindi wana ajiriwa kwenye sekta ya mafuta na gesi Tanzania basi hizi nafasi zipo nyingi hapa nchini na wala haitaji vijana wetu waondoke nchini.
Unaweza kuzitaja kampuni hizo?
Unajua nivizuri ulivyoanzisha uzi kubali pia facts nyingine uongeze uzoefu.
Mkuu sblandes ameelezea vizuri sana hapo juu,kuna taasisi nyingi duniani zinazotoa elimu na kukuthibitisha kwamba wewe umekidhi viwango vya usalama vinavyotakiwa,hapo suala la elimu yako haliwezi kukubeba
kama hujafuzu mitihani yao ya usalama,na pindi unapofuzu inakupa kibali cha kufanya/kuomba kazi si tanzania tuu bali dunia nzima.
Shida kubwa tuliyonayo wabongo ni kwamba ukishalishwa tangopori kwamba ukiwa injinia wewe ni mtu mkubwa
na wewe unabweteka na kuanza kulalamika bila kujiongeza.
Ningefurahi kama mtu,angeomba ushauri wa namna ya kufanya hizo certification ili kuiongezea thamani hiyo degree yako ya petrolium.
 
Kuna dogo jirani yangu anasomea petroleum engineering field chuo kiliwapeleka karakana ya tazara wakawa wanafanyishwa kazi za kuosha train
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi hapaa.
 
Ud, Petrol. Eng. ilikua hot kinoma, ni intake ya vipanga tu, na wako wachache, nyie mpo 50, wao wapo 15

picha linaaza PT jamaa kapangiwa Urafiki Textile Mills, baada ya graduu jamaa kala benchi kitaa
Inaumizaaa sanaaa kwa kweli. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sayansi kwenyewe napo moto unawaka labda asomee physics na math ila kemia na biology wimbo ule ule na wana art..

Ajabu ni kwamba nchi still ina uhaba wa walimu lakin haitaki kuajili hahah
Nimecheka kwa sauti mnooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss mtu anayesomea hizo fani hasomei kuuza petroli na dizeli kama unavyoeleza hapa.
Kuuza petroli na dizeli kila mmoja anaweza kufanya na wala haihitaji mtu awe na degree ya petroleum. Ni mtaji wako tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
naona hujui lolote madaktari siku hizi wanauza mat4ki tiki maji mmoja yupo hapo kituo cha NATA kama unaelekea buzuruga maafisa wauguzi ndio usiseme wapo wanasajili laini wengine wanaendesha boda boda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka afu sijui kwann
 
Wanaosoma diploma kwenye vyuo vya ufundi wapo more competent kuliko hao wanaotoka University hapa bongo.

Na makampuni hupenda kuajiri wenye diploma kwa kuwa mishahara yao huwa ni midogo kuliko wenye degree ilihali kazi wanazofanya zote ni zilezile. Mara chache sana kukuta vijana wenye diploma wakiwa wanazagaa mtaani.

Kuna mchizi mmoja nlikutana nae kwenye Research institute hapa daslaam, jamaa ana diploma ila yy ndio supervisor wa wanafunzi wote wanaotoka vyuo vikuu kwenda kufanya field pale.
Afu kwenye hili suala inaboa mnoo, serikali iangalie upyaa.
 
Unaweza kuzitaja kampuni hizo?
Unajua nivizuri ulivyoanzisha uzi kubali pia facts nyingine uongeze uzoefu.
Mkuu sblandes ameelezea vizuri sana hapo juu,kuna taasisi nyingi duniani zinazotoa elimu na kukuthibitisha kwamba wewe umekidhi viwango vya usalama vinavyotakiwa,hapo suala la elimu yako haliwezi kukubeba
kama hujafuzu mitihani yao ya usalama,na pindi unapofuzu inakupa kibali cha kufanya/kuomba kazi si tanzania tuu bali dunia nzima.
Shida kubwa tuliyonayo wabongo ni kwamba ukishalishwa tangopori kwamba ukiwa injinia wewe ni mtu mkubwa
na wewe unabweteka na kuanza kulalamika bila kujiongeza.
Ningefurahi kama mtu,angeomba ushauri wa namna ya kufanya hizo certification ili kuiongezea thamani hiyo degree yako ya petrolium.
Jibu la mambo yote hayo ni serikali boss. Serikali ndio yenye maamuzi kwenye kuajiri. Na tunachotaka kuona ni hawa vijana wanaajiriwa hapa nchi kwasababu tuna miradi mingi tu. Kinacho ulizwa mbona miradi ipo na watu wa mafuta na gesi hawapewi kipaumbele? Jibu swali kama wewe ndio upo kwenye maamuzi ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom