Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Biblia haina mtu maalumu.Imeandikwa Habari njema kwa Watu Wote.Kwa nini msiishike Quran na kuinadi mpate waumini wengi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia haina mtu maalumu.Imeandikwa Habari njema kwa Watu Wote.Kwa nini msiishike Quran na kuinadi mpate waumini wengi?
Mada ya kijinga haina kichwa wala miguu hata mtoto Wa darasa la saba atarajiae kufanya mtihani mwezi Wa 9 hawezi kuja na upupu kama huu..ila kwa sababu inawasagia kunguni waislam basi na wachangiaji imepata wa kutosha tuNasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.
Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.
Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.
Sasa,nimeandika haya mambo, sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.
Of course, hata mtu akiwa Mkristu, au dini nyingine, usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.
Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha, so much so that Wakristu ambao hawana Brain
Power, wanaipendelea dini ya Kiislamu .
Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
Wanywa pombe na wala kitimoto wana upendo kuliko waisilamu.Acha kudanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wakulaumiwa ni hao waliompeleka Nigeria,kwenye makundi ya kihalifu,ni sawa kumpeleka mwanafunzi,Sudan,Urusi au Ukraine.Huyo katekwa inahusiana vip una uislamu? kama sio ujinga wako? mbona hao watekaji wanataka pesa kwa maslahi yao.
Usipende kuleta mtafaruku mambo yatokee nigeria uje kuhukumu watanzania ,tafuta kazi ya kufanya kama ni mtoto wa kiume.!!
Swadaqta! huyo msukuma hajui chochote hata ukristo haujui 😅😅😅ushamba ni jadi yake na elimu tatizo.Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.
Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.
Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.
Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.
Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.
Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
Wale wasichana wa shule ya Chibok nao walitekwa na mtu wa karibu nao?Huyu katekwa na watu wa karibu yake.Mtu wa mbali hawezi kujua watakupata vipi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umeelezea vizuri sana.Sasa sya kama hizi,wakristo hawaonyeshwi na wanaowadanganya.Wakati katika uislamuHii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.
Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.
Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.
Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.
Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.
Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
Wanywa pombe na wala kitimoto wana upendo kuliko waisilamu.
Kuwahubiria watu kwa kutumia quran pekee kitabu kisicho na shaka ndani yake ambacho kimetelemshwa na Mwenyezi Mungu mjuzi wa yote mbona haifanyiki?Kwa nini waislamu wanapohubiri wanaitegemea sana biblia kujenga hoja?Mbona wakristu hawaitumii quran kabisa na wanafanikiwa kuwavuta watu kwao?Biblia haina watu maalumu.Kimeandikwa Habari Njema kwa Watu wote.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ina maana wale watakao kunywa ile mito ya pombe kule ahera watakosa nguvu za kushughulikia zile bikira 72 mtawaliaHizo Pombe zinawekwa eostrogeni homoni ya kike mwisho wa siku wanywa pombe wengi mnaota vitambi,matiti ,ukosefu wa nguvu za kiume na baya zaidi wengine mnakua gays kabisa.
Kunywa Pombe sio sifa .
Sio kweli,wasingeuanaWanywa pombe na wala kitimoto wana upendo kuliko waisilamu.
Ndio ukweli huu.Hizo Pombe zinawekwa eostrogeni homoni ya kike mwisho wa siku wanywa pombe wengi mnaota vitambi,matiti ,ukosefu wa nguvu za kiume na baya zaidi wengine mnakua gays kabisa.
Kunywa Pombe sio sifa .
Biblia sio kitabu cha watu maalumu.Yoyote anaweza kukisoma na kukijadili.Kimeandikwa na aliyekiandikaKuwahubiria watu kwa kutumia quran pekee kitabu kisicho na shaka ndani yake ambacho kimetelemshwa na Mwenyezi Mungu mjuzi wa yote mbona haifanyiki?Kwa nini waislamu wanapohubiri wanaitegemea sana biblia kujenga hoja?Mbona wakristu hawaitumii quran kabisa na wanafanikiwa kuwavuta watu kwao?
Kuna msomi mmoja wa Kiislam anasema biblia imechakachuliwa,why sasa kutumia kitabu kilichotiwa mikono kulinganisha na kile kilichoshushwa?Inakuwaje kile kilichoshushwa hakiwezi kujitegemea?
Narudia tena wanywa pombe na wala nguruwe wana upendo kuliko waislamuSio kweli,wasingeuana
1.Waprotestant na Wakatoiki Ireland ya Kaskazini .Ndio upendo huu
2.Askof Kibetwere na wenzake wasingewachoma moto,waumini kanisani,wazee,wanawake,watoto na wengineo,watu karibia 760 aliwaua,ndii upendo huu?
3.Padre,Rwanda,aliwamiminia risasi kanisani,waliokimbia vita,akawaua,ndio upendo huu?
4.Kijana wa Kizungu,aliwamimi nia risasi,waumini weusi kanisani,kawaua kisa rangi yao tu,ndio upendo huu?
5.Lord Resistance Army,wakristo hawa,wanauwa watu kaskazini ya Uganda na Kongo,ndio upendo huu?
6.Mchungaji Mackanzie,Shakahola Kenya,amewaua malaki ya watu hapo Kenya,ndio upendo huo?
7.nk
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hao wanywa pombe ndio wabaya zaidi.Narudia tena wanywa pombe na wala nguruwe wana upendo kuliko waislamu
Mnywa pombe hakubagui, hakutengi, hakuteki, hakulipui, hakuchinji,
Ebu jitaidini muwafikie hao wanywaji kwa upendo.
Sjakataa kwamba ni kwa watu wote.Mbona hata quran ni kwa watu wote shida inakuja kwamba ninapomtaka mtu aingie kwenye dini yangu nategemea kitabu kilichochakachuliwa kujenga hoja.Kwa nini usitumie kitabu alichoandika Allah kwa mkono wake kuwavuta wasio waislam kwenye uislam?Why kutumia bible?Biblia sio kitabu cha watu maalumu.Yoyote anaweza kukisoma na kukijadili.Kimeandikwa na aliyekiandika
"Nendeni kwa mataifa yote,muhibiri Injili"
Sasa kinahubiriwa wewe ambaye,hukukiandika waumia!,aliyeakiandika anasema kihubiriwe kwa mataifa yote.
Marko 16:15View attachment 2712479
View attachment 2712481
Labda wewe siyo Muisilam, na ndiyo maana tunasema duniani kwa Muumini ni sawa na gereza, lakini kwa kafiri sawa na peponiHamna ugumu wowote kwenye kufuata sheria za uislamu
Baada ya kuichambua what next?Kama wewe unaogopa sawa ila sisi tunaishika bible yenu na kuichambua yote kifungu kwa kifungu
Hilo siyo jibu kwa hilo swaliBiblia haina mtu maalumu.Imeandikwa Habari njema kwa Watu Wote.