Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.

Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.

Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya Kiislamu. Haya maadili yote utayaona katika Vitabu vyao,lakini hawayafuati.

Sasa,nimeandika haya mambo, sijui jambo litatokea. Labda nitasomewa Al Badiri.

Of course, hata mtu akiwa Mkristu, au dini nyingine, usidhani kwamba anafuata maagizo yote ya dini yake. Lakini tatizo hili kwa Waislamu linajitokeza sana.

Uislamu unaieleza dini kwa ufasaha, so much so that Wakristu ambao hawana Brain
Power, wanaipendelea dini ya Kiislamu .

Lakini Waislamu hawaifuati dini yao,kwa kukosa Imani na dini yao.
Mada ya kijinga haina kichwa wala miguu hata mtoto Wa darasa la saba atarajiae kufanya mtihani mwezi Wa 9 hawezi kuja na upupu kama huu..ila kwa sababu inawasagia kunguni waislam basi na wachangiaji imepata wa kutosha tu

Kwani nyie mafundisho yenu mnayafuata kama ulivyokuja na ujinga wako hapa???

Nguruwe si mnakula nyie?? Na kuanza kuleta pointi dhaifu eti najisi ni kitokacho si kiingiacho kwahiyo hata nyama ya mtu ni luksa pia maana ni kiingiacho, kula nyoka ni sawa kadhalika mbwa according to this weak point, agano la kale mmewachia wasabato nyie mnalitumia kwenye vifungu pendwa vinavyowafurahisha tu kama vile malaki 3, 10..kutoa fungu la kumi na kula walawi kwenye Malawi siyo??

Mafundisho yenu yanasema litoe goliti kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzio haya mbona unayavunja na kuja kuwasema waislam??

Kuna uislam na waislam, njoo na ponti za Ku argue uislam sio kuwa ng'ong'a waislam maana kila binadamu ni mwenye kukosea upo????

Na utapenyeza sana uislam na rate ya watu kuslim lazima iwe kubwa maradufu maana huko kuna vitu mnafanya mtu kwenye akili yake anaona mmmh hapa si kweli mfano tafuta wale wanaoungamanaga kwa viongozi wao wa dini tafuta age inayo range 25-50 watafute 1000 waulize Mara ya mwisho wamefanya hivyo lini utawapata 10 tena wamefanya mwaka Jana maana ukishakuwa mtu mzima kuna vitu huwezi shikiwa akili

Uislam lazima upate much followers koz ndio dini ipo realistic, logically na inafit kila zama, huwezi nikand niswali msikiti flani, naswali inaoonikuta swala, huwezi nikomand nikienda mkoani nikajitambulishe kwa jumba flani la ibada eti ooh ooh so nitakuwa nanyi kwa miezi mitatu, mke wangu asilimia 99 ibada zake atamalizia nyumbani hivyo keshastirika tayari na fitna, natoa nilicho nacho tena kwaajili ya mwenyezi mungu huwezi nikafilisha michango out of my will, binadamu wote

Tufanye kazi tuache majungu haya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Huyo katekwa inahusiana vip una uislamu? kama sio ujinga wako? mbona hao watekaji wanataka pesa kwa maslahi yao.

Usipende kuleta mtafaruku mambo yatokee nigeria uje kuhukumu watanzania ,tafuta kazi ya kufanya kama ni mtoto wa kiume.!!
Wakulaumiwa ni hao waliompeleka Nigeria,kwenye makundi ya kihalifu,ni sawa kumpeleka mwanafunzi,Sudan,Urusi au Ukraine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.

Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.

Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.

Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.

Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.

Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
Swadaqta! huyo msukuma hajui chochote hata ukristo haujui 😅😅😅ushamba ni jadi yake na elimu tatizo.

Achana nae.!!
 
Hii sio sawa. Bali kinyume chake ndio mafundisho ya Uislamu.

Wanachokifanya waislamu inawezekana ni tofauti na mafundisho yao.

Wakristo na Wayahudi ni special ranked katika Uislamu. Wanaitwa Ahlul kitaab, yaani walioteremshiwa Kitabu. Kuna sheria maalum zinawapa favors katika ndoa, vyakula na vita.

Pia katika Uislamu kuna udugu daraja tatu; udugu wa watu wote kwa kuwa Baba yetu ni mmoja Adam. Halafu unafuatia udugu wa Dini za Ibrahim (uyahudi, ukristo na uislamu) kwa kuwa Ibrahim ni Baba wa imani katika dini hizi, na ni common point of reference. Halafu ndio kuna udugu wa waislamu wao kwa wao.

Vilevile kati ya wayahudi na wakristo, uislamu unawapendelea zaidi wakristo.

Quran 5:82 inasema:
"Bila shaka utawakuta wabaya zaidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo..."
Umeelezea vizuri sana.Sasa sya kama hizi,wakristo hawaonyeshwi na wanaowadanganya.Wakati katika uislamu
1.Kula chakula cha mkristo ni halal,bora kisiwe chakula cha haramu kama pombe,nguruwe,nyamafu nk
2.Ndoa ya kikristo ni halali katika uislamu,walioana kikristo,wakiingia katika uislamu,hawafungi ndoa tena katika uislamu.
3.Ujirani wa muislamu kwa mkristo ni ujirani mwema,uislamu umesisitiza.nk

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Biblia haina watu maalumu.Kimeandikwa Habari Njema kwa Watu wote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuwahubiria watu kwa kutumia quran pekee kitabu kisicho na shaka ndani yake ambacho kimetelemshwa na Mwenyezi Mungu mjuzi wa yote mbona haifanyiki?Kwa nini waislamu wanapohubiri wanaitegemea sana biblia kujenga hoja?Mbona wakristu hawaitumii quran kabisa na wanafanikiwa kuwavuta watu kwao?
Kuna msomi mmoja wa Kiislam anasema biblia imechakachuliwa,why sasa kutumia kitabu kilichotiwa mikono kulinganisha na kile kilichoshushwa?Inakuwaje kile kilichoshushwa hakiwezi kujitegemea?
 
Hizo Pombe zinawekwa eostrogeni homoni ya kike mwisho wa siku wanywa pombe wengi mnaota vitambi,matiti ,ukosefu wa nguvu za kiume na baya zaidi wengine mnakua gays kabisa.

Kunywa Pombe sio sifa .
Ina maana wale watakao kunywa ile mito ya pombe kule ahera watakosa nguvu za kushughulikia zile bikira 72 mtawalia
Na kuwa gays
 
Wanywa pombe na wala kitimoto wana upendo kuliko waisilamu.
Sio kweli,wasingeuana
1.Waprotestant na Wakatoiki Ireland ya Kaskazini .Ndio upendo huu
2.Askof Kibetwere na wenzake wasingewachoma moto,waumini kanisani,wazee,wanawake,watoto na wengineo,watu karibia 760 aliwaua,ndii upendo huu?
3.Padre,Rwanda,aliwamiminia risasi kanisani,waliokimbia vita,akawaua,ndio upendo huu?
4.Kijana wa Kizungu,aliwamimi nia risasi,waumini weusi kanisani,kawaua kisa rangi yao tu,ndio upendo huu?
5.Lord Resistance Army,wakristo hawa,wanauwa watu kaskazini ya Uganda na Kongo,ndio upendo huu?
6.Mchungaji Mackanzie,Shakahola Kenya,amewaua malaki ya watu hapo Kenya,ndio upendo huo?
7.nk

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hizo Pombe zinawekwa eostrogeni homoni ya kike mwisho wa siku wanywa pombe wengi mnaota vitambi,matiti ,ukosefu wa nguvu za kiume na baya zaidi wengine mnakua gays kabisa.

Kunywa Pombe sio sifa .
Ndio ukweli huu.
 
Kuwahubiria watu kwa kutumia quran pekee kitabu kisicho na shaka ndani yake ambacho kimetelemshwa na Mwenyezi Mungu mjuzi wa yote mbona haifanyiki?Kwa nini waislamu wanapohubiri wanaitegemea sana biblia kujenga hoja?Mbona wakristu hawaitumii quran kabisa na wanafanikiwa kuwavuta watu kwao?
Kuna msomi mmoja wa Kiislam anasema biblia imechakachuliwa,why sasa kutumia kitabu kilichotiwa mikono kulinganisha na kile kilichoshushwa?Inakuwaje kile kilichoshushwa hakiwezi kujitegemea?
Biblia sio kitabu cha watu maalumu.Yoyote anaweza kukisoma na kukijadili.Kimeandikwa na aliyekiandika
"Nendeni kwa mataifa yote,muhibiri Injili"
Sasa kinahubiriwa wewe ambaye,hukukiandika waumia!,aliyeakiandika anasema kihubiriwe kwa mataifa yote.
Marko 16:15View attachment 2712479
View attachment 2712481
 
Sio kweli,wasingeuana
1.Waprotestant na Wakatoiki Ireland ya Kaskazini .Ndio upendo huu
2.Askof Kibetwere na wenzake wasingewachoma moto,waumini kanisani,wazee,wanawake,watoto na wengineo,watu karibia 760 aliwaua,ndii upendo huu?
3.Padre,Rwanda,aliwamiminia risasi kanisani,waliokimbia vita,akawaua,ndio upendo huu?
4.Kijana wa Kizungu,aliwamimi nia risasi,waumini weusi kanisani,kawaua kisa rangi yao tu,ndio upendo huu?
5.Lord Resistance Army,wakristo hawa,wanauwa watu kaskazini ya Uganda na Kongo,ndio upendo huu?
6.Mchungaji Mackanzie,Shakahola Kenya,amewaua malaki ya watu hapo Kenya,ndio upendo huo?
7.nk

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Narudia tena wanywa pombe na wala nguruwe wana upendo kuliko waislamu

Mnywa pombe hakubagui, hakutengi, hakuteki, hakulipui, hakuchinji,
Ebu jitaidini muwafikie hao wanywaji kwa upendo.
 
Narudia tena wanywa pombe na wala nguruwe wana upendo kuliko waislamu

Mnywa pombe hakubagui, hakutengi, hakuteki, hakulipui, hakuchinji,
Ebu jitaidini muwafikie hao wanywaji kwa upendo.
Hao wanywa pombe ndio wabaya zaidi.
1.Ndio wanaowabagua familia zao,kutowasaidia,kwa kupoteza pesa kwenye pombe
2.Ndio wanaotekeleza familia zao,
3.Watoto wao wanakosa ada,uniform,mahitaji ya shule
4.Wanaugua maradhi ya kuharibika viungo vya ndani,na kusabaisha pesa za walipa kodi,kuwauguza.
5.Wanywa Pombe,huanguka njiani,na kugeuzwa wanawake na wahuni
6.Pombe zinaharibu nguvu kazi ya taifa.
7.Pombe za kienyeji hawachangii pato la taifa,wanywaji hawadai risiti,wala muuza pombe hatoi risiti.
Hawa ni wauaji wa kimya kimya(silent killer).
 
Biblia sio kitabu cha watu maalumu.Yoyote anaweza kukisoma na kukijadili.Kimeandikwa na aliyekiandika
"Nendeni kwa mataifa yote,muhibiri Injili"
Sasa kinahubiriwa wewe ambaye,hukukiandika waumia!,aliyeakiandika anasema kihubiriwe kwa mataifa yote.
Marko 16:15View attachment 2712479
View attachment 2712481
Sjakataa kwamba ni kwa watu wote.Mbona hata quran ni kwa watu wote shida inakuja kwamba ninapomtaka mtu aingie kwenye dini yangu nategemea kitabu kilichochakachuliwa kujenga hoja.Kwa nini usitumie kitabu alichoandika Allah kwa mkono wake kuwavuta wasio waislam kwenye uislam?Why kutumia bible?
 
Back
Top Bottom