Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Ni kina dada wachache sana, hasa wenye shepu nzuri ambao hawatoi mimba, au kula madawa ya kuzuia mimba au kufanya umalaya mkubwa (japo hawakai kwenye madanguro kama yale ya yaliyobomolewa milango juzi juzi Dar.

Hao wasichana wakishajiona ni wazuri, wanadhani kwamba watapata waume hata kama miaka imeenda. Kwa hiyo, wanajiachia kwa kila mwanaume mwenye dau kubwa.

Hivi mnajua kwamba kila wakati mwanamke anapopokea mbegu za mwanaume tofauti DNA zake zinabadilika? Kama kina mabadiliko makubwa kulingana na idadi ya wanaume "waliompitia" mimba KAMWE haiwezi kukaa !!!
 
Njia za uzazi mpango zinawafanya wawe madume kihisia na ki homone hata kuwafikisha kileleni ngumu coz una do na dume mwenzio ki homorne !

Atashikaje mimba sasa!!?eeh!!?

Baadae itakua common ku test mitambo ndio tunaoa !!
 
Njia za kuzuia mimba ukitoa (calendar, withdraw) zina madhara makubwa ikiwemo tatizo la hedhi, uke mkavu, joto la uke kupungua au kutepeta, uvimbe kwenye kizazi.

BAbu/Bibi zetu hawakutumia njia hizi za kisasa lakini walikua wanazaa watoto kwa kupishana umri vizuri tu.

Njia za kisasa sio salama.
Cc ERoni
 
Madaktari wengi wa hovyo sana siku hizi wanashindwa na manabii hawawezi kuwaondolea wanawake wengi stress.
 
Umeeleza kitaalam sana ephen_. Wewe unatumia njia gani, tuanze na wewe 😅
 
Yaani mkuu tatizo ni la wanawake bt wew unatuingiza hadi sisi wanaume

Wanaume wanaingia vip hapa kwa mwanamke mwenyewe kuamua kutumia hivyo vitu na kupelekea kutoshika mimba?

Sijui ni kwanin bt % nyingi ya matatizo ya mwanamke ni lazima mwanaume ahusishwe na kuonekana mwanaume amechangia.. This mentality has to end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…