Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Skia kijana.. WANAUME sahiv tunapitia changamoto ya kubebesha wanawake MIMBA.
 
Njooni huku Bariadi Simiyu muone kinachofanyika - kuanzia misosi na mengineyo. Yaani ni kufyatua tu sisi hatuna shida 💪💪💪

Kuna dawa mwanamke anakunywa mara moja tu asipopata mimba basi huyo labda hana mayai wallahi!

 
Uvimbe kwenye kizazi ni janga kubwa mno kwa wanawake wa mijini kwa sasa
 
Kuridhika inategemeana,maana hata nyie wanaume mmetofautiana utundu,mwingine utajikuta unaelemewa ndani ya dakika zako mbili ulizozisema😅😅
🤣🤣🤝🤝
Ila kasema ye hajawekeza kwenye hayo mambo
 
Sekta hiyo hamna mpinzani kabisa nyie ndo maana nchi hii kisiasa mmekuwa mtaji kwa CCM miaka yote hiyo siku mkiamua kutubadilishia tutawashukuru sana, population ya wasukuma iko juu sana kuliko kabila lolote ukanda mzima nadhani wa Afrika mashariki
 
Sekta hiyo hamna mpinzani kabisa nyie ndo maana nchi hii kisiasa mmekuwa mtaji kwa CCM miaka yote hiyo siku mkiamua kutubadilishia tutawashukuru sana, population ya wasukuma iko juu sana kuliko kabila lolote ukanda mzima nadhani wa Afrika mashariki
Shida ilikuwa ni elimu. Tulichelewa kidogo ila sasa mambo yanabadilika kwa kasi ndiyo maana hata CCM wanahaha. Mara Gwajima, mara Bashite, mara Biteko...ngoja tuone lakini nadhani kutapambazuka tu muda si mrefu!

NB: Ukiona binti huko ana shida ya kupata mimba basi mwambie tu anitafute. Nampa dawa anakunywa mara moja tu tena kijiko kikubwa kimoja basi kwisha kazi....hata mapacha akitaka 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Mimi hapa nataka mapacha wa kikeee😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…