Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

Mchakato wote wa katiba ulikuwa duscussed JF na sehemu kubwa ya maudhui yake. Katiba inasema wakulima sijui wapewe pembejeo kwa lazima among other things which can not be guaranteed for various reasons.

Ilikuwa katiba mbovu for the most na ina mambo mengi yasiyotekelezeka in practice zaidi ya fantasy tu za Kabudi na Jaji Warioba. Sasa unadhani kuifanyia draft upya ni shughuli ya miezi mitatu embu tuwe realistic.
 
Hao itakuwa ni wasilamu wa hapo mtaani kwako ila huku kwetu kitu kama hicho hakuna.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Uteuzi wa selikali ni wa upendeleo?
Nani anaoendelewa na nani anadhurumiwa?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mfano nikatafuta percentage ya mawaziri waislamu na wakristo katika serikali ya tanzania ili kuona ni kiasi gani kuna upendeleo kwa dini fulani, nitahitaji hiyo takwimu kutoka chanzo gani wakati vitu viko bayana na hesabu nazijua?
 

Anasema watu waseme kweli, je anamaanisha hilo? Ni vyema ukaijua tabia ya mtu. Huwa inasemwa tazama matendo na sio maneno. Mfano mrahisi ni jana, kuna mjumbe toka kanda ya kusini, alitoa malalamiko ya kuwa wapinzani wanatoka huko upinzani na kupewa nafasi. Majibu aliyopewa yalikuwa ni kebehi zaidi kuliko ilivyopaswa. Inaonekana unatetea jambo ambalo hujalifanyia utafiti.

Yote kwa yote ujumbe wa Ponda umefika, hata akichukuliwa hatua ni kwa mapungufu machache ya waraka wake, lakini ndani vya huo waraka kuna ukweli wa zaidi ya 80%. Na uzuri ukweli huwa unajitetea wenyewe. Ni watu wachache sana huwezi kusimamia hadharani ukweli ulio kinyume na watawala. Na hii ni toka zama za manabii.
 
Wenzie lazima waukane huo waraka kwa ajili ya usalama wao, lakini ukweli ulio ndani ya waraka haukaniki. Halafu ukweli hauhitaji kutetewa na watu wengi, maana ukweli huwa unajitetea wenyewe.
Tindo,
Ahsante sana.
 
Mwacheni shekh ponda aongee,kuwa muisilamu Tanzania sawa na Mtoto kwa mama wa kambo.Kwani sio ukweli kukamatwa kuvamiwa misikiti ni kitu cha kawaida,
 
Acheni kujifungia kwenye misikiti nendeni mkasome,!

Huku mtaani unakuta toto liko busy msikini linakariri yale maandishi yenu ya kuandika toka kulia kwenda kushoto, mwisho wa siku linaishia kupata 0 shuleni. Alafu mnataka teuzi kwa kigezo cha dini?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 

Duuu, unajua kwanini unapanic mpaka unachemsha na kuanza kukufuru, ni kwasababu unajitahidi kupambana na ukweli. Ukweli una nguvu ya ajabu boss.
 
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hivi unadhani watu kukaa kimya unadhani ndio hawauoni ukweli? Mambo mengine ni aibu kwa kweli. Ukweli hauwezi kuzuiwa na nguvu ya bunduki.
Mimi nmeuliza hao wanaopendelewa ni kwa takwimu zipi?

Unajua kumbe tunaweza kuwa tunamkosoa Magufuli ila ni kwa vitu vya kipumbavu sana.!

Sasa mtu leo hii anataka uteuzi wa kigezo cha dini tanzania hii kweli?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Duuu, unajua kwanini unapanic mpaka unachemsha na kuanza kukufuru, ni kwasababu unajitahidi kupambana na ukweli. Ukweli una nguvu ya ajabu boss.
Ukweli upi? Kutaka magufuli katika teuzi zake awe anaangakia dini ya mtu? Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!
Yani waislamu hata asome vipi yeye hufikiri kidini tu! Ujinga sana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 

Acha upotoshaji usio na msingi wowote ili utetee mambo yasiyo na msingi. Kulikuwa na rasimu ya Warioba, hii ilipelekwa kwenye bunge maalum la katiba, na rais aliyeikataa hivi sasa alikuwa mjumbe wa bunge lile, na chama chake ndio kiliikamilisha. Katiba pendekezwa ilikuwa inasubiri tu kupigiwa kura ili iwe katiba rasmi. Inaonekana umeingia kwenye kutetea jambo usilolijua ndio maana unaishia kuja na hoja za kuokoteza.

Narudia tena, unapotakana kushindana na ukweli, lazima ujue unachokiongea, vinginevyo utaonekana juha fulani.
 

Shekhe Ponda ana lake jambo. Anahangaika kupata kitu ambacho kamwe hawezi kukipata duniani wala ahera
 

Kwenye sensa ilitakiwa ijazwe dini ya mtu, hiyo haukuwepo, hivyo kila taasisi inajikusanyia data yenyewe. Usione watu wanaongea ukadhani wanaongea haya mambo kwa bahati mbaya. Ila kwakuwa una maslahi binafsi na Magufuli, unaweza kumtetea, hiyo ni haki yako.

Huo waraka hawataki wateuliwe kwa uislamu wao, lakini ni wendawazimu kuona watu wa dini fulani wakiwa wengi, huku wa dini nyingine wakiwa wachache wakati wana uwezo. Isitoshe huo waraka umegusia kuhusu chaguzi zetu na tume iliyopo. Ni nani asiyejua kinachoendelea kwenye chaguzi zetu? Je hicho kilio cha tume ya uchaguzi ni cha juzi?
 
Ukweli upi? Kutaka magufuli katika teuzi zake awe anaangakia dini ya mtu? Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!
Yani waislamu hata asome vipi yeye hufikiri kidini tu! Ujinga sana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app

Acha kupanick, ujue hapa unapambana na ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…