Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

Acha upotoshaji usio na msingi wowote ili utetee mambo yasiyo na msingi. Kulikuwa na rasimu ya Warioba, hii ilipelekwa kwenye bunge maalum la katiba, na rais aliyeikataa hivi sasa alikuwa mjumbe wa bunge lile, na chama chake ndio kiliikamilisha. Katiba pendekezwa ilikuwa inasubiri tu kupigiwa kura ili iwe katiba rasmi. Inaonekana umeingia kwenye kutetea jambo usilolijua ndio maana unaishia kuja na hoja za kuokoteza.

Narudia tena, unapotakana kushindana na ukweli, lazima ujue unachokiongea, vinginevyo utaonekana juha fulani.
http://constitutionnet.org/sites/de..._katiba_inayopendekezwa_na_bunge_maalum_1.pdf

Rasimu ya katiba hiyo hapa nikipata muda ntakuja kukuonyesha yepi ayatelekezi including niliyokwambia awali?

Kwa ivyo ni katiba hii ndio unasema ipite kama ilivyo au kuna nyingine ambayo wengine atuijui.

Asilimia kubwa ya katiba ya jaji warioba ni fantasy kuna mambo mengi ayatekelezeki sijui ukomo wa ubunge miaka kumi (Mbowe angekubali hilo) ebu vitu vingine tufikirie kwanza kabla ya kutetea au kupinga tu kama sehemu ya ushabiki.
 
Nimeusoma na waraka pia. Nakiri ni kweli katika awamu hii kumekuwa na bias kubwa ya kijinsia, kikanda na hata kidini hasa katika teuzi za kazi za uongozi wa serikalini, na ninapenda niseme labda ni bias (probably unintended) kwa sababu wakati yote hayo yanaonekana sijapata kuona wala kusikia waathiriwa wakilalamika na badala yake nawaona wakiwa mstari wa mbele kumwaga sifa tuuu! Awamu zilizopita pia nilisikia malalamiko lakini nashangaa sana kwani awamu zilizopita hali hii ya 'bias' haikuwa mbaya hivi lakini malalamiko yalikuwa makubwa disproportionately.
Lakini niseme pia katika ule waraka kuna malalamiko mengine nadhani watu walishauriwa tu vibaya. Mfano ile kesi ya UDOM iliyozungumzwa, kwanini watu walalamikie kuondolewa watu wa qualifications ndogo na kuwekwa wa better qualifications (nimeona majina yaliyochukua nafasi ni professors na doctors, na waliotolewa ni chini ya hapo), hayo mbona ni maboresho ya kawaida? Ningesikitika kama system inafanya purging ya watu kwa udini na kuingiza watu wa inferior qualifications alimradi tu ni wa dini wanayotaka! Hilo la UDOM nitawaomba ndugu zagu waislam walitafakari tofauti.
Huko kwenye mambo ya teuzi na kwingineko, wacheni mambo ya kusifia tu badala yake leteni data (kuna sheria ya takwimu siku hizi, kuweni waangalifu), wekeni data mbele ya wanaohusika (siyo hapa mtandaoni, hapa njooni kuleta taarifa ya jitihada na matokeo), semeni waziwazi mbele ya anayetakiwa kuchukua hatua mnazotaka, msimwogope, mwenyewe anawaambia siku zote msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kwahiyo mkuu katika maboresho hapo UDOM ndio waondolewe waislam 11 waletwe wakristo 11? .Hakuna hata mkristo alikuwa na sifa sawa za waliondolewe achanganywe katika hao 11?

Kuna tatizo hapo nawala sibahati mbaya.
 
http://constitutionnet.org/sites/de..._katiba_inayopendekezwa_na_bunge_maalum_1.pdf

Rasimu ya katiba hiyo hapa nikipata muda ntakuja kukuonyesha yepi ayatelekezi including niliyokwambia awali?

Kwa ivyo ni katiba hii ndio unasema ipite kama ilivyo au kuna nyingine ambayo wengine atuijui.

Asilimia kubwa ya katiba ya jaji warioba ni fantasy kuna mambo mengi ayatekelezeki sijui ukomo wa ubunge miaka kumi (Mbowe angekubali hilo) ebu vitu vingine tufikurie kwanza kabla ya kutetea au kupinga tu kama sehemu ya ushabiki.

Nasema hivi, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Hatua ya rasimu ilishavukwa. Kuna katiba pendekezwa inayosubiri kupigiwa kura. Bunge maalumu la katiba lilikaa zaidi ya mwezi kupitia hiyo rasimu ya Katiba, na kuwa na katiba pendekezwa. Sasa unaponiambia mambo ya rasimu ya Warioba, najua fika ww ni kilaza fulani usiyejua lolote.
 
Kilichofika bungeni nimekuwekea sasa kama ni rasimu, katiba, randama inayopendekezwa or whatever the nonsense you want to call it.

Moja ya mapendekezo ni ukomo wa ubunge usizidi miaka kumi kwa maana hiyo

Zitto
Mbowe
Msigwa
Mdee
Matiko
Lema
Sugu
Bulaya
Mnyika

Na wengineo wote wanaogombea kwa mara tatu na zaidi safari hii wanatakiwa kuwa chonjo jibu basi kwanza unakubaliana na “katiba inayopendekezwa” kama ilivyo genius wewe?

Wacha maneno mingi answer that
 
Kilichofika bungeni iko hapo sasa kama ni rasimu, katiba inayopendekezwa or whatever the nonsense you want to call it.

Moja ya mapendekezo ni ukomo wa ubunge ni miaka kumi kwa maana hiyo

Zitto
Mbowe
Msigwa
Mdee
Matiko
Lema
Sugu
Bulaya
Mnyika

Na wengineo wote wanaogombea zaidi ya mara tatu safari hii wanatakiwa kuwa chonjo jibu basi kwanza unakubiana na “katiba inayopendekezwa” kama ilivyo genius wewe?

Wacha maneno mingi answer that

Unadhani hata ukiwataja hao wabunge ndio natishika? Bunge maalumu la katiba lilikaa na waliondoa hicho kipengele cha ukomo wa ubunge. Hivyo ndani ya katiba pendekezwa hakuna ukomo wa ubunge.

Narudia tena, ww sio kilatha bali ni kilaza, huna lolote ujualo zaidi kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
Unadhani hata ukiwataja hao wabunge ndio natishika? Bunge maalumu la katiba lilikaa na waliondoa hicho kipengele cha ukomo wa ubunge. Hivyo ndani ya katiba pendekezwa hakuna ukomo wa ubunge.

Narudia tena, ww sio kilatha bali ni kilaza, huna lolote ujialo zaidi kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
Pathetic unadhani ni hilo ndio lilikokuwa alitekelezeki, nitafute cha kufanya kuliko kujibizana na kiazi katiba katiba maudhui yenyewe ata amsomi kujua uhalisia wake.

Ilikuwa ni katiba ya ovyo ina mambo mengi ambayo ayatekelezeki kisheria tatizo wewe ni echo tu unapokea sound kutoka kwa wengine na kusogeza mbele bila kujua merit ya hoja zenyewe.

Ciao
 
Wana CCM kila atakae ongea "UKWELI" lazima apingwe. Tumewazoea.

Turudi kwenye "HOJA KUU" ya swala la "KUTENDA HAKI", dini zote zinalitilia mkazo hili swala. Na hata mungu amewaonya vikali na amewa ahidi kuwapa adhabu kali sana wale wote wanao "PINDISHA/KUNYIMA/KUDHULUMU/KUPUNJA" haki.

Hata kama utadhulumu "PIPI MOJA" katika kontena zima la 40FT basi jiandae na adhabu kali sana kwa mola wako.

Kuomba "TUME HURU" ni kwasababu "HAKI ITENDEKE". Sio swala la kichama hilo.
Sasa kuna ukweli gani hapo,yaani wewe na unyumbu wako unakubali uteuzi ni 80% kwa 20%?

Ndio maana wanamkamata kwa uchochezi na uongo.
 
Kwahiyo mkuu katika maboresho hapo UDOM ndio waondolewe waislam 11 waletwe wakristo 11? .Hakuna hata mkristo alikuwa na sifa sawa za waliondolewe achanganywe katika hao 11?

Kuna tatizo hapo nawala sibahati mbaya.
Pale chuo kikuu cha waislamu Morogoro kuna Mwalimu mkristo hata wa QM tu?

Serikali haina dini bwashee!
 
Ukweli wake hauhitaji kudhibitishwa na polisi maana uko wazi. Wanachofanya hao polisi ni yale yale yanayofanywa kwenye nchi zote za utawala kwa mabavu. Hata mitume wa kweli waliuwawa na watawala kutokana na ukweli wao. Hayo ni marudio tu, lakini ukweli wenyewe tumeujua. CUF nao waliunga mkono huo waraka, ngoja tuone kama mchepuko wenu nao mtaukamata.
Kama kawaida yenu kudandia hoja haya iwekeni na hii kwenye Ilani ya uchaguzi.
 
Waislamu wasumbufu sana duniani, hakuna dini imejaa vilaza kama waislamu, wao kila kitu nii udini tu, kila unachofanya wao ni mohamed kwanza mengine yatafuata. Dini ya kipuuzi tu
 
Kama kawaida yenu kudandia hoja haya iwekeni na hii kwenye Ilani ya uchaguzi.

Ww ni mshamba fulani uliyejichanganya kwenye mitandao ya kijamii, na wala hujui mitandao inafanya vipi kazi. Huku sio darasani useme kuna syslabus, na sasa watu wakijadili nje ya mitaala, basi wamerukia jambo. Kwenye mitandao habari inayo heat ndio inayojadiliwa maana ndio inayogusa hisia za watu.

Ila kwakuwa ww ni bendera fuata upepo ukisikia neno, na ww unalirukia kisha kuanza kulitumia ili uonekane unaenda na fashion. Umesikia neno watu wanarukia matukio, na ww unalitumia kama lilivyo, ili uende na fashion. Wenzako nimewahi kuwauliza, hizo mada zenye mashiko wanazojadili huku kwenye mitandao ni zipi ili tuingie tuzione, maana wote huwa tuko kwenye post hizi hizi. Hebu ww weka hiyo link mnayojadili mambo makubwa, tuje tuyaone ili tujifunze kujadili mambo makubwa kama nyie.
 
Hebu andika vizuri kwanza ueleweke na sidhani kama umesoma ulicho kiandika mkuu.
 
Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana.

Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria.

Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata.
Kwanza Tanzania hakuna dini mbili pekee.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
*KUSHIKILIWA KWA SHEIKH PONDA ISSA PONDA KUHUSIANA NA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU*

Nimeusoma Waraka ulioandikwa na Taasisi ya Shura ya Maimamu inayoongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda. Kilichonisukuma kuutafuta na kuusoma Waraka huo ni kufuatia taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kukamatwa kwa Sheikh Ponda ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kuhusiana na Waraka huo. Ninakiri kuusoma Waraka huo kupitia Jamii Forums ambao ndio wamechapisha pia picha ya Ponda iliyopo hapa chini.

Waraka huo una mambo mengi na yenye kufikirisha akili. Kuna mahali kuna takwimu zinazoonyesha utafiti kwa upande wa waandishi ili kuthibitisha kile walichokiandika. Kuna malalamiko, kuna ushauri, na tahadhari. Kwa ujumla, Waraka ule unaweza kuchukuliwa kuwa ni maoni ya wahusika kwa Serikali na jamii ya Watanzania.

Tunashauri kuwa hekima kubwa inahitajika katika kushughulikia jambo hilo. Wahusika (Mamlaka) wanao uhuru wa kutolea ufafanuzi mambo kadhaa yaliyojitokeza ndani ya Waraka. Waraka umekuja kama hoja na hivyo ipo haja ya hoja kutumika katika kujibu au kupangua hoja! Sio kila hoja inaweza kuwa na ukweli wote, lakini si kila hoja inaweza kuwa na uwongo wote.

Mamlaka zinatakiwa kushughulikia suala hili kwa weredi, umakini na utulivu. Ni vizuri kujikita katika kuangalia ukweli, uwongo au uhalisia uliomo ndani ya Waraka. Mamlaka zinaweza kuepuka mtego wa kuangalia 'personalities' zilizo nyuma ya Waraka bali zijihusishe zaidi na hoja zilizomo. Kama hoja zilizomo ni za Ponda kama Ponda, basi zitakufa zenyewe. Lakini kama hoja zilizomo zinaishi na zinawakilisha sehemu kubwa ya watu, basi hoja hizo zitaishi hata Ponda asipokuwepo. Malalamiko hujibiwa na kushughulikiwa. Ushauri hupokelewa na kufanyiwa kazi au kukataliwa. Tuhuma huchunguzwa na kutolewa taarifa. Tunadhani hayo yote yanaweza kufanywa na Mamlaka.

Mwito wetu kwa Waislamu wote ambao wanatajwa kuwa wamewakilishwa kupitia Waraka huo ni kuwaomba kuwa watulivu wakati wadau wengine wanalitafakari na kulishughulikia suala hilo.

Ninaomba hekima, utulivu, uvumilivu, na upendo katika hili kwa wote wanaohusika.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

*Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula -* Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Duniani
 
Hebu andika vizuri kwanza ueleweke na sidhani kama umesoma ulicho kiandika mkuu.

Mimi nachomeka flash tu, ni juu yako kuangalia hiyo episode, unaitaka huitaki utajua ww.
 
tunajenga nyumba moja sioni sababu ya kugombea matofali!! ninacho kiona kwa sasa haswa tunapo elekea kwnye uchaguzi mkuu kuna wahamiaji au mabeberu wanataka kutusaidia kujenge nyumba yetu na hao ndio wanao taka kutuchochea na kutugawanya kupitia mkondo huo....
ndugu zangu wa damu watanzania tusikubali kabisa kuchonganishwa na kufitinishwa na watu wapembeni wasio tutakia heri
tuache uchonganishi
 
Nitajie siku ccm imewahi kuishi nje ya mbeleko ya serikali. Vyama vingine vyote vimekuwa vikipambana bila kutegemea wazazi kama ccm ilivyo miaka yote ya uhai wake.
Huwezi kutofautisha Dola na chama kilichoshika hiyo dola! Kujeni na vitu mbadala, tangible wananchi tuwaelewe. Tatizo hamueleweki mnataka nini na mtafanya nini
 
Back
Top Bottom