Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.

Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.

Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha viongozi.

Tumeshalaumu molinga, zahera, na makocha kibao ila msolla na ersi wanabaki pale pale
 
Mambo
Mambo ya yanga waachie wenyewe ayakuusu huo ushauri kampe mo na babra sio yanga
 
The return of champion chaliiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Hatimaye tumetolewa Caf champion league, Ila tunalo la kujifunza, nashauri timu ipewe ushirikiano kocha pia apewe muda wa kutosha msimu ujao hatupaswi kuacha wachezaji wengi tujitahidi kuwa maintain majority ili kuepuka kuwa na sura mpya kila msimu. Mengine wengine ongezeni.
 
Yanga haina tatizo.Tatizo ni TFF,waamuzi,bodi ya ligi na Karia.
Kwa yanga hii wewe unaona inaweza kutolewa kizembe kizembe tu champions league?
 
Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.

Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.

Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha viongozi.

Tumeshalaumu molinga, zahera, na makocha kibao ila msolla na ersi wanabaki pale pale
Kwa Yanga hii haiwezikani kuimprove,kocha tunaye sana lakini tatizo ni siasa za GSM nichangamoto sijui anaye fanya scoutting,management ni shida,wewe mchezaji anasajiliwa hata vibari havifatiliwi mpaka dilisha linafungwa.
 
Si ameongezwa nahiii....👇😂
IMG_20210919_134409.jpg
 
Viongozi hawana shida....! Ni Karia na Bodi ya Ligi ndio chanzo cha Tatizo la Yanga.Ngoja Mzee Wa Kilo 800 ajitokeze utasikia tu...!
 
Mambo
Mambo ya yanga waachie wenyewe ayakuusu huo ushauri kampe mo na babra sio yanga
Tujifunze kusikia tusiyoyapenda pengine ndio msaada kwetu.binafsi siioni kazi ya engineer kwenye team yetu zaidi anaangalia msalahi ya boss wake tu.
 
Kazi ya engineer sisi tunaiona, wewe Kama auioni basi, Engineer ni mjumbe wa kamati ya usajili kwaiyo unataka asishiriki kwenye zoezi la usajili au unatakaje? Nyie makoro tunawajua wala amtusumbui mmekazana engineeer na gsm maana mnajua ni tishio kwenu kama sio tishio mkae kimya wanayanga wenyewe ndo wanaamua mambo yao wala awapangiwi na mtu, tena mnavyobwata ivyo ndo kabisaa mnaharibu
 
Sio kila MTU anayekosoa huyu ni simba,mie ni yanga kwa taarifa yako.namjua engineer kwa kiasi tulikuwa wote kigoma kwenye fainali ya FA,Tabora hajui mpira wa Tanzania unahitaji nini, IPO utaligundua hili, na kama yupo kamati ya usajiri si kashamaliza kusajiri,awaache akina bin kleb seif magari David mosha waongozwe jahazi hawa wanawajua fiki wenzao wa simba kimbinu.lakini kukomaa na hersi na mwaka huu ubingwa tuwapatie tu watani mapema,tatizo mapenzi huficha ukweli.unaipenda sana yanga hutaki kusikia bays juu ya timu hii,lakini ukweli viongozi kunae shida
 
Kazi ya engineer sisi tunaiona, wewe Kama auioni basi, Engineer ni mjumbe wa kamati ya usajili kwaiyo unataka asishiriki kwenye zoezi la usajili au unatakaje? Nyie makoro tunawajua wala amtusumbui mmekazana engineeer na gsm maana mnajua ni tishio kwenu kama sio tishio mkae kimya wanayanga wenyewe ndo wanaamua mambo yao wala awapangiwi na mtu, tena mnavyobwata ivyo ndo kabisaa mnaharibu
Nyie msiokuwa na akili ya kufikiria ndio mnaowalea hawa watu kwa kuonekana mashabiki wote oya oya wasiojitambua. Huyo Engineer mpaka sasa ana miaka mingapi Yanga na hakuna hatua yoyote tuliopiga zaidi ya kuwa wasindikizaji tu. Kila msimu timu inabomolewa. Hakuna mafanikio yoyote Yanga yalioweza kupata chini ya huyu mtu
 
Mtateseka sana na engineer, labda nikuulize swali engineer ni kocha? Kocha akishatoa mapendekezo kwa kamati ya usajili wao wanachofanya ni kufanya usajili kwa kufata ripoti ya kocha na si vinginevyo, kwaiyo kabla ujarukia mambo usiyoyajua uwe unauliza kwanza majukumu ya kila kamati ni yapi, na kamati ya usajili pia inayapitia mapendekezo ya kocha kwanza kujiridhisha na wachezaji husika, unapobwata tu apa kwa habari za udaku utateseka Sana wewe, Gsm anapotoa pesa ya usajili lazima aakikishe pesa yake inafanya kilicholengwa na sio vinginevyo, ndo maana engineer yupo na anasimamia ilo kwa uweledi mkubwa,
 
Yanga wamebweteka wanasubiri mataji waliyoahidiwa na ule msukule wa GSM
FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Yangaaa yaangaa (sauti ya kabwili)

Simba bahati waliyopata Mo ni shabiki lia lia wa simba na haogopi kupata hasara.

mngeshinda yanga GSM angepata hasara kuwasafirisha
 
Haji manara janaa amefurahiiiii sanaaaa.full shangwweee
 
Back
Top Bottom