Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.
Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.
Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha viongozi.
Tumeshalaumu molinga, zahera, na makocha kibao ila msolla na ersi wanabaki pale pale