Kwa Yanga hii haiwezikani kuimprove,kocha tunaye sana lakini tatizo ni siasa za GSM nichangamoto sijui anaye fanya scoutting,management ni shida,wewe mchezaji anasajiliwa hata vibari havifatiliwi mpaka dilisha linafungwa.Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.
Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.
Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha viongozi.
Tumeshalaumu molinga, zahera, na makocha kibao ila msolla na ersi wanabaki pale pale
Tujifunze kusikia tusiyoyapenda pengine ndio msaada kwetu.binafsi siioni kazi ya engineer kwenye team yetu zaidi anaangalia msalahi ya boss wake tu.Mambo
Mambo ya yanga waachie wenyewe ayakuusu huo ushauri kampe mo na babra sio yanga
Kazi ya engineer sisi tunaiona, wewe Kama auioni basi, Engineer ni mjumbe wa kamati ya usajili kwaiyo unataka asishiriki kwenye zoezi la usajili au unatakaje? Nyie makoro tunawajua wala amtusumbui mmekazana engineeer na gsm maana mnajua ni tishio kwenu kama sio tishio mkae kimya wanayanga wenyewe ndo wanaamua mambo yao wala awapangiwi na mtu, tena mnavyobwata ivyo ndo kabisaa mnaharibuTujifunze kusikia tusiyoyapenda pengine ndio msaada kwetu.binafsi siioni kazi ya engineer kwenye team yetu zaidi anaangalia msalahi ya boss wake tu.
Sio kila MTU anayekosoa huyu ni simba,mie ni yanga kwa taarifa yako.namjua engineer kwa kiasi tulikuwa wote kigoma kwenye fainali ya FA,Tabora hajui mpira wa Tanzania unahitaji nini, IPO utaligundua hili, na kama yupo kamati ya usajiri si kashamaliza kusajiri,awaache akina bin kleb seif magari David mosha waongozwe jahazi hawa wanawajua fiki wenzao wa simba kimbinu.lakini kukomaa na hersi na mwaka huu ubingwa tuwapatie tu watani mapema,tatizo mapenzi huficha ukweli.unaipenda sana yanga hutaki kusikia bays juu ya timu hii,lakini ukweli viongozi kunae shidaKazi ya engineer sisi tunaiona, wewe Kama auioni basi, Engineer ni mjumbe wa kamati ya usajili kwaiyo unataka asishiriki kwenye zoezi la usajili au unatakaje? Nyie makoro tunawajua wala amtusumbui mmekazana engineeer na gsm maana mnajua ni tishio kwenu kama sio tishio mkae kimya wanayanga wenyewe ndo wanaamua mambo yao wala awapangiwi na mtu, tena mnavyobwata ivyo ndo kabisaa mnaharibu
Nyie msiokuwa na akili ya kufikiria ndio mnaowalea hawa watu kwa kuonekana mashabiki wote oya oya wasiojitambua. Huyo Engineer mpaka sasa ana miaka mingapi Yanga na hakuna hatua yoyote tuliopiga zaidi ya kuwa wasindikizaji tu. Kila msimu timu inabomolewa. Hakuna mafanikio yoyote Yanga yalioweza kupata chini ya huyu mtuKazi ya engineer sisi tunaiona, wewe Kama auioni basi, Engineer ni mjumbe wa kamati ya usajili kwaiyo unataka asishiriki kwenye zoezi la usajili au unatakaje? Nyie makoro tunawajua wala amtusumbui mmekazana engineeer na gsm maana mnajua ni tishio kwenu kama sio tishio mkae kimya wanayanga wenyewe ndo wanaamua mambo yao wala awapangiwi na mtu, tena mnavyobwata ivyo ndo kabisaa mnaharibu
Mtateseka sana na engineer, labda nikuulize swali engineer ni kocha? Kocha akishatoa mapendekezo kwa kamati ya usajili wao wanachofanya ni kufanya usajili kwa kufata ripoti ya kocha na si vinginevyo, kwaiyo kabla ujarukia mambo usiyoyajua uwe unauliza kwanza majukumu ya kila kamati ni yapi, na kamati ya usajili pia inayapitia mapendekezo ya kocha kwanza kujiridhisha na wachezaji husika, unapobwata tu apa kwa habari za udaku utateseka Sana wewe, Gsm anapotoa pesa ya usajili lazima aakikishe pesa yake inafanya kilicholengwa na sio vinginevyo, ndo maana engineer yupo na anasimamia ilo kwa uweledi mkubwa,Nyie msiokuwa na akili ya kufikiria ndio mnaowalea hawa watu kwa kuonekana mashabiki wote oya oya wasiojitambua. Huyo Engineer mpaka sasa ana miaka mingapi Yanga na hakuna hatua yoyote tuliopiga zaidi ya kuwa wasindikizaji tu. Kila msimu timu inabomolewa. Hakuna mafanikio yoyote Yanga yalioweza kupata chini ya huyu mtu
Championiiii wa buzaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The return of champion chaliiiiiiiiiiiiiiiiiii.