Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania hawaamini Bunge wala mahakama.

Uoga wa Mama ndiyo umetengua wagombeaji na kuogopa kushindana lakini kibaya ni kurudisha nchi nyumba

Washauri wa Mama muelezeni aache uoga. Misimamo ya Lissu unatakiwa uanze kuzoea maana sasa unazalisha wakina Lissu wengi
 
Kwanza sipati picha Ma Gen Z watakapokuwa watu wazima ndani ya nchi hali itakuwaje endapp tabaka tawala litanyanyasa tabaka tawaliwa. Naona tukijifunza kuishi kulingana na wakati itakuwa vizuri sana!
 
Back
Top Bottom