Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
HaaaaaaahDar mpaka moro,, ndio ilikua ngoma yangu kali kabisa,,
Hakuna msg yoyote unayoipata kwenye "3-0" zaidi ya mipasho tu kama ya kina Nasma na Khadija Kopa,,
Pamoja sanaDar mpka Moro ni noma mazee, kuna kipindi nilienda Nairobi, Kenya. Lilikuwa linapigwa club jamaa wanacheza kinoma
HaaaaaaahKuna siku naenda Moro, likapigwa Hilo Dar mpaka Moro kwenye basi....Yani Lina vibe flani hivi🤣
Ila beat la tatu bila majani alilikunja haswaTatu ni ngoma haina mashiko hata siku moja mbele ya Dar mpaka moro....Ila ilipata kik kutokana na mashabiki wa juma nature .
Chege alipita kiukali humoDar mpaka Moro ni noma
Daaah umenikumbusha mbali sana kuna katukio kamoja hivi😆
Yule jamaa anajua mpaka basi ..Ila beat la tatu bila majani alilikunja haswa
Mzee baba andaa battle .Ila beat la tatu bila majani alilikunja haswa
Mkuu tutupie nyengine zaidi.
Hii ni ya moto sana. Daah good memory.