Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

Hili game.. Mtulize 🔥🔥🔥

 
kiasi.. juakali.. bush party...tshirt na jeans


 
Nani alikuwa kwenye uzinduzi wa albamu ya ugali.. pale diamond jubilee.. 🔥🔥🔥
 
Dar mo
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.

Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.

Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka moro ya Tmk wanaume family

Mkwaju wa kundi gani ulikuwa mkali hapa wanangu wa hip hop ?
Dar mpaka moro ilitisha sana
 
Kama kunaendeka nijue, kama kunaendeka nijue..

Wapiii...

Dar mpaka Moroo ..
 
Back
Top Bottom