Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

Tatu bila - Tmk wanaume halisi
View attachment 2750306
Dar mpaka moro - Tmk wanaume family
View attachment 2750312
Chege anakwambia "Mtoto blueband"🤣
Aisee old is gold bhana, kwa upande watu mm ni mpenzi sana wa bongo fleva, the real bongo fleva enzi za akina prof jay, dull sykes na alikiba, sio hii ya asaiv, hii ya akina diamond na marioo imejaa tamaduni zisizo za kwetu.
Bongo fleva ya asaiv imejaa tamaduni na miondoko ya Nigeria na South africa(Amapiano) kitu ambacho sipendi na inaniuma sana kwa sababu tunapoteza asili ya muziki wetu.
Siwez kumlaumu diamond na marioo maana nao pia wanatafuta riziki, but I wish tungebaki kweny uleule muziki wetu.
Wenzetu Nigeria na South Africa muziki wao unauza na unapendwa kwa sababu wamebaki kweny uhalisia wao, hata Congo bado wanaendelea na muziki wao, sisi tuna nn lakini.
 
Mzee baba andaa battle .

Bongo.com (TNG SQUAD) VS Gere (WEUSI)

Hili battle tulikuwa tunalipenda sana advance ..
Bongo.com ilikua Ngoma hatari Sana...
Bongooooooooooo
Bongo.com TNG tumekuja kuwashika na mikamata wanakwisha kabisa...
Da aliyepiga Ile beat ana siti yake maalumu peponi [emoji2]
 
Bongo.com ilikua Ngoma hatari Sana...
Bongooooooooooo
Bongo.com TNG tumekuja kuwashika na mikamata wanakwisha kabisa...
Da aliyepiga Ile beat ana siti yake maalumu peponi [emoji2]
Huyo atakuwa ni P Funk majani maana ndiyo alikuwa na beats zenye ujazo kipindi kile. Nikikumbuka beat ya sitaki demu ya Nature au starehe ya Feroud ilikuwa noma sana...
 
Ni Beat kutoka Bongo record kwa P Funk Majani.
 
Tatu bila labda ungeilinganisha na Kazi ipo,japo bado ingegalagazwa. Hujaitendea haki kabisa Dar mpka Moro.

Sema Nature alilewa sifa na ule ukawa mwanzo wa mwisho wake,kuna mwingine alisema jamaa alifika kwenye kilele cha mafanikio kwa ujanja ujanja wa zile Mugambo na Hakuna kulala, kwahiyo anguko lake lilikuwa ni suala la muda tu.
 
Dar mpk moro ni kali ile tatu bila no mipasho tu ma ilipata kiki kutokana na nature kiwa na mashabiki wengi ila kiuhalsia wa ngoma dar mpk moro ni kali
 
Huyo atakuwa ni P Funk majani maana ndiyo alikuwa na beats zenye ujazo kipindi kile. Nikikumbuka beat ya sitaki demu ya Nature au starehe ya Feroud ilikuwa noma sana...
Kuhusu beat za ujazo unapaswa kukumbuka;
Nipe tano
Nikusaidieje
Jirushe
Kama unataka dem
Mikasi nk
 
Kuhusu beat za ujazo unapaswa kukumbuka;
Nipe tano
Nikusaidieje
Jirushe
Kama unataka dem
Mikasi nk
nipe tano & jirushe hao ni daz nundaz sio?.....
ila zaman wasanii walikua wanajua kutunga nyimbo!
siku hizi tunasikiliza matusi tu
 
Mzee wangu hapendi kabisa mziki ila Dar mpaka Moro ndo ulikua ringing tone ya simu yake.
 
Back
Top Bottom